imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Na chizi.Na nan?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na chizi.Na nan?
KAGAMEE huko Rwanda na Hichilema huko Zambia mmeona?Free of Speech,
Rule of Law,
Democracy
Tax regulations
Security
Haya mambo yanakimbiza uchumi wa nchi fasta
Yapi makubwa kafanya,kuendelea kuifanya TZ kuwa shamba la Bibi??Sasa kama hata mwaka hana na anafanya makubwa haya Why Can't thank her,
Bibi yako yupi tena?Yapi makubwa kafanya,kuendelea kuifanya TZ kuwa shamba la Bibi??
Safi Sana jamaa yanguFree of Speech,
Rule of Law,
Democracy
Tax regulations
Security
Haya mambo yanakimbiza uchumi wa nchi fasta
Tanzania yangu Mungu akusimamie wewe na Rais wakoKwamujibu wa shirika la takwimu la Taifa ( NBS ) hadi mwishoni mwamwaka jana na mwanzoni mwamwaka huu Pato Ghafi la Taifa kwa bei ya wakati ( GDP at current price) lilifikia TZS 148.522Trilioni ,
Kwa mujibu wa majarida maarufu ya "The Statistics Time " na "Briefly " yameitaja Tanzania kuwa na Pato Ghafi kwa bei za sasa linalofikia US$ 69.238BL au TZS 152.234 Trilioni ikiwa ni sawa na ongezeko la TZS 3.8Trilioni,
Kwalugha rahisi kwa kipindi hiki kifupi cha Rais Samia Suluhu Pato Ghafi ( GDP ) limeongezeka hadi kufikia US$ 69BL kutoka US$66BL na hii ndio inaifanya Tanzania inaingia kwenye orodha ya kumi bora za nchi tajiri zaidi Africa baada ya kuikosa nafasi hii kwa miaka kadhaa sasa
Zaidi soma > What is the richest country in Africa 2021? Top 20 by GDP
Kwamujibu wa shirika la takwimu la Taifa ( NBS ) hadi mwishoni mwamwaka jana na mwanzoni mwamwaka huu Pato Ghafi la Taifa kwa bei ya wakati ( GDP at current price) lilifikia TZS 148.522Trilioni ,

Kama mambo ndio haya basi Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais bora na wa kweli nadhani ni sasa,Tufanye kazi kwa bidii sana,Kwamujibu wa shirika la takwimu la Taifa ( NBS ) hadi mwishoni mwamwaka jana na mwanzoni mwamwaka huu Pato Ghafi la Taifa kwa bei ya wakati ( GDP at current price) lilifikia TZS 148.522Trilioni ,
Kwa mujibu wa majarida maarufu ya "The Statistics Time " na "Briefly " yameitaja Tanzania kuwa na Pato Ghafi kwa bei za sasa linalofikia US$ 69.238BL au TZS 152.234 Trilioni ikiwa ni sawa na ongezeko la TZS 3.8Trilioni,
Kwalugha rahisi kwa kipindi hiki kifupi cha Rais Samia Suluhu Pato Ghafi ( GDP ) limeongezeka hadi kufikia US$ 69BL kutoka US$66BL na hii ndio inaifanya Tanzania inaingia kwenye orodha ya kumi bora za nchi tajiri zaidi Africa baada ya kuikosa nafasi hii kwa miaka kadhaa sasa
Zaidi soma > What is the richest country in Africa 2021? Top 20 by GDP
Kwani GDP maana yake ni nini mkuu?Hiyo GDP siyo mizania halisi ya kupima utajiri wa nchi kwa sababu unaweza ukawa na GDP kubwa lakini watu wako wengi wanashindwa kumudu gharama za maisha na wanalala mitaroni, na ndio ilivyo kwa sisi Tanzania.
Kazi nzuri mno hii,Kwamujibu wa shirika la takwimu la Taifa ( NBS ) hadi mwishoni mwamwaka jana na mwanzoni mwamwaka huu Pato Ghafi la Taifa kwa bei ya wakati ( GDP at current price) lilifikia TZS 148.522Trilioni ,