Mkuu hapa umenena kiutuuzima aisee 😀 😅 😂 😀 😅 😂🤣🤣🤣🤣🤣 huu wivu ungeupeleka shambani lazma ungetoka na tani ya mahindi. Back to the point; mkuu wacha wivu aisee. Wazee wanapenda joto la mabinti wadogo, na mabinti wanapenda kula bata bila kuhangaika saaana (maana mzee engine kiuno sio 1Hz). So waache tu. Pia ujue hao wazee wanasaidia vijana wengine huku street indirectly. Maana ajira hakuna, so kuna wakulungwa wanangojea binti akishatoka kwa mzee, anakuja anamfokonyoa mpka kwenye kona ya pango, akirudi kwa mzee tayari mwepesiiii na kijana amebaki na chochote kitu
Angalizo: sihalalishi umarioo, bali msaada wa uchakataji tu!
🤣Wazee wanapenda joto la mabinti wadogo,
Sawa lakin kwan hao wazee wanao oa vibinti wanavunja sheria yeyote ile?Suala ndoa ni kisheria sio hisia za watu mkuu. Ndio maana sheria inakataza watu ambao ni ndugu kuoana hata kama hisia zao zinawabana kuoana. umenipata eeh?
Ndo hivo aisee. Kama mzew kakuzidi kete, na wewe mlie mingo binti yake ukachanganye traqo mavi yasigande.Mkuu hapa umenena kiutuuzima aisee 😀 😅 😂 😀 😅 😂
Watu wazima wameamua kuoana shida iko wapi ili mradi hakuna aliyewashikia mtutu.Jambo wakuu!
Sitaki kuwachosha, naingia kwenye mada moja kwa moja. Kumekuwa na wimbi baya la wazee kuwaoa mabinti wadogo ambao ni sawa na watoto au wajukuu zao na kibaya zaidi, baadhi ya wazee hao waliwahi kulitumikia taifa kwa nyadhifa kubwa. Tofauti na matarajio ya wengi kuwa wazee hawa walipaswa kuonyesha mfano bora kwa watanzania, badala yake wamegeuka kuwa kero kwa kugeuza uharibifu wa mabinti kuwa jambo la umaarufu. Halafu wamekuwa siku zote wakitamba kabla na baada ya kufanya vitendo hivyo wakidhani kuwa wanafanya jambo zuri. Inasikitisha sana.
Baadhi ya viongozi wakubwa wa kitaifa ambao wamejitumbukiza kwenye mchezo huu mchafu wa kuwaoa mabinti wadogo ni Profesa Kapuya, Pius Ngwandu, Abrahamu Mengi na sasa mzee Augustine Lyatonga Mrema ametangaza kufunga ndoa hivi karibuni na binti mbichi kabisa anayelingana na wajukuu zake. Namuomba Mh mama Samia uingilie kati jambo hili kwa kuagiza Wizara ya Sheria kuifanyia mabadiliko sheria ya ndoa ya mwaka 1971 ili kuwasnusuru mabinti wasiolewe na wazee vikongwe. Sheria iweke tofauti ya umri wa watu wanaofaa kuoana; ikiwa tofauti ya umri itakuwa kubwa (kwa mfano miaka kuanzia 20 na kuandelea) basi ndoa hiyo ichukuliwe kuwa ni batili na mhusika (mume) atakayekuwa ametenda kosa hilo achukuliwe hatua za kisheria ikiwa ni pamoja na kupigwa faini, kufungwa jela au vyote kwa pamoja. Watanzania wanapaswa kuiga mfano bora wa Pius Msekwa na John Malecela waliowaoa watu wazima wanaolingana nao kiumri.
Mama Samia umefanya jambo jema kuwaruhusu mabinti waliozaa kurejea shule kutimiza ndoto zao za kielimu. Hapa umeupiga mwingi mama yangu mpendwa. Adhma yako ya kutoa elimu kwa mabinti haiwezi kutimia ikiwa mabinti hao unaowapigania kurudi shule kupata elimu watakwapuliwa na wazee wenye uchu wa ngono. Nakuomba pia ushughulikie tatizo hili la mabinti wadogo kuolewa na baba au babu zao ili kuwakoa mabinti wanaoingia kwenye mtego huu wa fisi wapenda ngono.
Watu wanaweza kuchukulia jambo hili kuwa dogo lakini ukiliangalia kwa jicho la latu, hili ni tatizo kubwa sana linaweza kuathiri maadili ya kitaifa na ukosefu wa uzalendo na utii wa sheria. Ikiwa wazee wataendelea na tabia yao hii ya kuwaoa mabinti wadogo kuna uwezekano vijana wadogo wakiume nao wakaanza kuwaoa wanawake watu wazima ili kulipiza kisasi. Ndio. Ipo siku vijana watakosa mabinti wa kuwaoa na kuwageukia vikongwe. Endapo nchi itafikia hatua hii, maadili ya kitaifa yatamomonyoka kwa kiasi kikubwa. Kuliko kusubiri ukuta uanguke tujenge mpya, nakuomba mama Samia uingilie kati suala hili kabla hali haijwa mbaya sana.
Nawasilisha.
Vijana tafuteni pesa, haya mambo ya makasiriko hayana msaada ! Endeleeni kujenga six pack , wazee Wana pesa na Mali Ila hawana six pack na ndio wanapendwa sasa!Jambo wakuu!

Jambo wakuu!