Mkata-tamaa
Senior Member
- Nov 21, 2018
- 180
- 312
Sio kushuka...sema tutarajie bei ya mafuta kurudi kwenye bei yake ya awali...wakifikisha sh 1,500 kwa Lita apo ndo tutasema wameshushaTutarajie kushuka kwa bei ya mafuta.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kushuka...sema tutarajie bei ya mafuta kurudi kwenye bei yake ya awali...wakifikisha sh 1,500 kwa Lita apo ndo tutasema wameshushaTutarajie kushuka kwa bei ya mafuta.
[emoji23][emoji23][emoji23]Waafrika tunapenda sana kula imagine kikao serious kama hicho kimejaa machupa na majuisi sijui makorosho kwani wangekula baada ya kumaliza ingekuwaje? Hatuko serious kabisa kila sehemu tunawaza kula kula hovyo tu.
Tunaweza ku-criticize serikali kwa namna yoyote ile, ila sio kila kitu tuseme tu kwa vile we have the freedom to express our views.
Unasema swala la kutoa 920tsh sio swala la majadiliano, upo serious kweli? Every coin counts kama hujui, na kodi yoyote, ongezeko lolote linaathiri mapato ya serikali hivyo ni lazima kuangalia athari za kupunguza/kuongeza chochote
Kwani ni mara ya ngapi ana itisha hivi vikao?kikao cha dharura unaitisha Rais then unawaagiza wakatafute Suluhu sho ?
Wewe kama Rais unatakiwa ukitisha kikao cha dharura uwe na suluhisho tena la haraka.
Hali ya mafuta ya kula ni mbaya hata kuliko mafuta ya petrol nchini , lita moja ni Tsh 9,000 wakati petrol ni Tsh 3,341
Huwezi kukusanya kodi toka kwa wafanyabiashara wanao kufadhiri mambo yako!! Ndio maana hawatoi orodha ya wafadhiri wa Royal Tour!Mimi nashangaa sana, ukienda pale kariakoo hakuna mtu anajali risiti hata ukichukua mzigo wa milioni 10.
Huwezi kuwaambia wabongo walipe kodi kwa hiari alafu utegemee watalipa.
Matokeo yake ndio haya matozo kwenye simu na mafuta.
Ukiona kiongozi anabuni matozo ya hovyo kama haya ya kwenye simu ujue kashindwa kukusanya kodi kunakostahili
Alisema Rais hakoseiUpumbavu mtupu,ndo shida ya kuongozwa na mtu alie unga unga elimu.
Kwanza yeye alituambia vitu vyote vitapanda bei sababu ya mafuta kupanda bei,alikuwa wapi hapo awali wakati akisema hayo maneno kutafuta suluhisho? Sasa hivi wananchi wameumia vya kutosha ndo anajifanya kuitisha kikao,huu ni upumbavu wa hali ya juu.
Kiongozi wa Taifa huwezi toka hadharani kusema kila kitu kitapanda bei,mafuta yatapanda bei huku ukijuanwafanya biashara wa Tanzania huwa wanasubiria palipo na weaknesses wanapitia hapo,badala ya kutafuta suluhisho wewe kila siku wimbo ni ule ule,vitu vitapanda bei! Jitafakari sana wewe Dada kama hicho kiatu kinakutosha,kama kinakupwaya sio lazima uongoze,sifa ya kuwa Rais tayari unayo,is better you quit out of the state house,Nalog out!
Na mama'ko akafa kwa njaa kwa kuwa hukuweza kumpa kula yake? Na wewe ukasema mama'ko kafa kwa njaa kwa sababu vitu vimepanda bei, au siyo?Kama wanavuka lengo kwanini wanazidi kuongeza matozo kwenye bidhaa?
Ona matozo ya kwenye simu,!.. Ona ya kwenye mafuta!
Makamba akaja na ngonjera eti tumefuta sh 100 ya tozo kwenye mafuta, mamako akapiga kelele hoo hiyo tulishaipangia bajeti, kwanini hiyo inayovuka lengo hapo TRA isifidie?
Hamna rais hapo.
Kachoka, alikuwa kwenye Royal TourHivi makamu yuko wapi mbona anakosa kwenye vikao muhimu Kama hichi..?
Isitoshe alishawahi kuwa waziri wa fedha,hivyo anaufahamu mzuri sana juu ya uchumi Sasa anakosaje kwenye swala Kama hili!
Ukifika Singida...kuna kituo cha mafuta kinaitwa" kwa Ridhwani" hicho kweli ni chake. Hivyo vingine sijui.Embu zitaje [emoji28][emoji38][emoji16] watanzania bwana
Rais Samia ameitisha kikao ikulu udiku huu kujadili kupanda kwa bei ya mafuta , huku kikao hiko kikihudhuriwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, Waziri wa Nishati January Makamba, Kamishna Mkuu wa TRA Alphayo Kidata na wajumbe wengineo
Tutarajie tamko la namna gani baada ya kikao hiko ndugu mdau wa jamii forums?
=======
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameitisha Kikao cha dharura usiku wa leo tarehe 08 Mei Ikulu ya Dar es Salaam kujadili tatizo la kupanda kwa bei ya mafuta nchini.
Miongoni mwa waliohudhuria kikao hicho ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Nishati January Makamba, Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato ya Tanzania (TRA) Alphayo Kidata na makatibu wakuu wao.
Katika kikao hicho, Rais Samia amewaagiza viongozi hao kutafuta suluhisho la haraka katika kukabiliana na tatizo hilo la Upandaji wa bei ya Mafuta nchini.
View attachment 2217468
Basi wafikie maamuzi manake nchi hii sasa hivi kila mtu analalamika, wananchi wanalalamika, wabunge wanalalamika,waziri nishati ndio kabisa hata hajui afanye nini anaishia kulalamika na mh Rais tena sijui tusemeje manake yy anaona sawa mara aseme (vita ya Ukraine na Russia ,mara bei ya mafuta ya tz ni stahimilifu ukilinganisha na US) yaani yy mwenyewe hata haelewi afanye nini.Rais Samia ameitisha kikao ikulu udiku huu kujadili kupanda kwa bei ya mafuta , huku kikao hiko kikihudhuriwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, Waziri wa Nishati January Makamba, Kamishna Mkuu wa TRA Alphayo Kidata na wajumbe wengineo
Tutarajie tamko la namna gani baada ya kikao hiko ndugu mdau wa jamii forums?
=======
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameitisha Kikao cha dharura usiku wa leo tarehe 08 Mei Ikulu ya Dar es Salaam kujadili tatizo la kupanda kwa bei ya mafuta nchini.
Miongoni mwa waliohudhuria kikao hicho ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Nishati January Makamba, Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato ya Tanzania (TRA) Alphayo Kidata na makatibu wakuu wao.
Katika kikao hicho, Rais Samia amewaagiza viongozi hao kutafuta suluhisho la haraka katika kukabiliana na tatizo hilo la Upandaji wa bei ya Mafuta nchini.
View attachment 2217468
Anza kujitengenezea nishati yako mwenyewe ya bure, inatokana na haja kubwa yako unayoenda kila siku, usitegemee kushuka bei ya mafuta kuliko bei ya kununulia. Njia pekee ni kuzalisha yako tu. teknolia ipo tena nyepesi sana.Sio kushuka...sema tutarajie bei ya mafuta kurudi kwenye bei yake ya awali...wakifikisha sh 1,500 kwa Lita apo ndo tutasema wameshusha
Kwamba tutaambiwa twende znz, ahahahaHakuna sehemu Mwigulu kawahi kukaa akaja na solution yenye auheni[emoji24][emoji24]