FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Huukuti ujuha huo Madrassa. Tunawafahamu wakuja.Sawa ustadh ndio tatizo letu tulioanzia MADRASA!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huukuti ujuha huo Madrassa. Tunawafahamu wakuja.Sawa ustadh ndio tatizo letu tulioanzia MADRASA!!
Tatizo lako niuelewa finyu tu, hakuna zaidi.Sasa vitu vitapanda Bei g Sababu ya Vita ya urusi na Ukraine kwani Vita imeisha?
SI angeacha tu maisha yaendelee na yeye alishakubali kuwa vitu lazma vipande Bei.
Vikao vya Nini?
Tatizo lako niuelewa finyu tu, hakuna zaidi.
Ndo hivyo yaan hatupo proactive tunafanya reaction baada ya madhara kutokea .samia ni sikio la kufa wanafikiri wanawakomoa sukuma gangMaigizo tu haya. Kwann wasingejadili kabla ya kupandisha?
Au ndo Create a problem, then solve it to be seen as if you are working [emoji847]
Unanifurahisha unapopokea ' makonde na kwenzi' za usoni na utosini kutoka kwa wanaJF waliojipanga. Ha ha haaaa,!"utuli" ndiyo nini wewe usiyejuwa hata lugha yako ya taifa?
Labda hakuitwa.Cha kushangaza kwenye uzinduzi wa Royal Tour alikuwepo
bure kabisaChief Hangaya hakutambua kuwa Marekani wanauza mafuta kwa gallon na sio kwa litre!!!
Sasa hapo kunajipya ganiKila tunavyoishi duniani mapya lazima yawepo. Hujayasikia? au hujayapenda?
Shangaa hata wewe!sasa anajadili mafuta gani wakati alishatuambia kuwa bei zetu ni ndogo kuliko marekani
kikao cha dharula au walienda kulaRais Samia ameitisha kikao ikulu udiku huu kujadili kupanda kwa bei ya mafuta , huku kikao hiko kikihudhuriwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, Waziri wa Nishati January Makamba, Kamishna Mkuu wa TRA Alphayo Kidata na wajumbe wengineo
Tutarajie tamko la namna gani baada ya kikao hiko ndugu mdau wa jamii forums?
=======
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameitisha Kikao cha dharura usiku wa leo tarehe 08 Mei Ikulu ya Dar es Salaam kujadili tatizo la kupanda kwa bei ya mafuta nchini.
Miongoni mwa waliohudhuria kikao hicho ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Nishati January Makamba, Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato ya Tanzania (TRA) Alphayo Kidata na makatibu wakuu wao.
Katika kikao hicho, Rais Samia amewaagiza viongozi hao kutafuta suluhisho la haraka katika kukabiliana na tatizo hilo la Upandaji wa bei ya Mafuta nchini.