Lanlady
JF-Expert Member
- Feb 27, 2019
- 1,836
- 6,303
"Waandalieni chai na sharubati. Msisahau vitafunwa" Bajeti ikapigwa. Vyakula vikaandaliwa.
Ila kwa hapo sioni mlaji. So, naamini vilibaki na pengine kumwaga.
Bora hata ningekuwa mimi, ningetake away.
Duh, nchi hii! Yaani kwenye kikao nyeti, meza imejaa vyupa, glass na sahani. Si wangeweka jug moja la juisi na sahani moja ya karanga! Khaaa!