Rais Samia aitisha kikao cha dharura usiku huu (Mei, 08 2022) Ikulu Dar Es Salaam kujadili mafuta

"Waandalieni chai na sharubati. Msisahau vitafunwa" Bajeti ikapigwa. Vyakula vikaandaliwa.
Ila kwa hapo sioni mlaji. So, naamini vilibaki na pengine kumwaga.
Bora hata ningekuwa mimi, ningetake away.
Duh, nchi hii! Yaani kwenye kikao nyeti, meza imejaa vyupa, glass na sahani. Si wangeweka jug moja la juisi na sahani moja ya karanga! Khaaa!

Screenshot_20220509-193919_1652115187773.jpg
 
Alivyosema vitu lazma vitapanda ulielewa Nini?
Kauli zipi? Mimi naona wewe ndiye uliyefeli.

Mama anachapa kazi nyinyi mnapayuka. Unafikiri nchi inalala hata Rais ashindwe kuitisha kikao usiku? Wewe una information alizonazo yeye? Alikuita wewe au kawaita watendaji wake, fikiri kabla hujapayuka hovyo.
 
"Waandalieni chai na sharubati. Msisahau vitafunwa" Bajeti ikapigwa. Vyakula vikaandaliwa.
Ila kwa hapo sioni mlaji. So, naamini vilibaki na pengine kumwaga.
Bora hata ningekuwa mimi, ningetake away.
Duh, nchi hii! Yaani kwenye kikao nyeti, meza imejaa vyupa, glass na sahani. Si wangeweka jug moja la juisi na sahani moja ya karanga! Khaaa!

View attachment 2218255
Hatimaye majibu ya kikao yapatikana 👇

Screenshot_20220509-205216.png

Screenshot_20220509-202652.png

Screenshot_20220509-202400.png
 
Hao waliofungwa wakati wa Kikwete ni kwasababu walimyima mgao katika ufisadi wao ; kuwaonesha yeye ni nani Ndio akawafanyia figisu wakafungwa! Kashfa ya Richmond ile Ilikuwa ni ya Kikwete mwenyewe lakini Lowassa akamsitiri bila kufahamu kuwa mwenzie ni nyoka wa mdimu!!
Kwi kwi kwi kwi teh teh teh, ingekuwa kashfa mahakama zingeamua walipwe? tena za Kimataifa na za Tanzania.

Thubutu, eti amsitiri. Ile namba kubwa. Kikwete ni Rais pekee duniani kwa diplomasia yake aliyewahi kuwakutanisha Marais wote wastaafu waliohai na Rais aliye madarakani, nje ya USA kwa wakati mmoja.

Utamuweza wapi yule mtu wewe? Hakuna Rais toka Tanzania ianzishwe na mpaka miaka 100 ijayo atakaeifikia "calibre" na haiba ya Kikwete.
 
Thubutu, eti amsitiri. Ile namba kubwa. Kikwete ni Rais pekee duniani kwa diplomasia yake aliyewahi kuwakutanisha Marais wote wastaafu waliohai na Rais aliye madarakani, nje ya USA kwa wakati mmoja

Ni kweli uchawa wake kwa Marekani ndio uliwafanya MARAIS wengine wa kiafrica wasimuamini na kumfikiria kuwa he was a MOLE mpaka siku moja marehemu MUGABE akamtolea uvivu na kumsuta hadharani!!

Ni kweli sidhani nchi hii itakuja ongozwa na Rais FISADI kama Vasco Dagama; kawauzia WACHINA gas na waarabu kawauzia wanyama pori wetu mpaka wameanzisha parks zao hivyo kutokuwa na haja ya kuja kwenye mbuga zetu tena; hawatakuwa na haja ya kuja huku kama ROYAL TOUR inavyotegemea kwani watakwenda UARABUNI na kuona hao wanyama kwenye mazingira natural waliyotengenezewa!!! Kweli Vasco Dagama ufisadi wake hakuna mfano na hatosheki na mpaka hivi sasa mkewe ambae alimuombea awe mbunge anadai serikali imlipe kwa kuwa Mke wa Rais!!!!
 
"Waandalieni chai na sharubati. Msisahau vitafunwa" Bajeti ikapigwa. Vyakula vikaandaliwa.
Ila kwa hapo sioni mlaji. So, naamini vilibaki na pengine kumwaga.
Bora hata ningekuwa mimi, ningetake away.
Duh, nchi hii! Yaani kwenye kikao nyeti, meza imejaa vyupa, glass na sahani. Si wangeweka jug moja la juisi na sahani moja ya karanga! Khaaa!

View attachment 2218255
Wivu tu unakusumbua,mbona vitu vya kawaida tu hata huku mitaani migahawani vipo....acha woivu.
 
Aaah migodi aliyoirudisha Kikwete iliuzwa na nani na kwa nani? Unaelewa?? Mawaziri waliofungwa wakati wa Kikwete umewasahau, na kwanini? Nikukumbushe? Waziri Mkuu aliyeweka rekodi ya kufukuzwa? Wakati nani akiwa Rais?

Hayo machache yanakutosha kwa yaliyopita, sitaki kwenda mbali zaidi.

Kwa ya juzi tu hapa: Ni nani aliyekopa pesa za kujengea treni ya umeme akaenda kujenga eyapoti kijijini kwao?

Hayo yote yana ushahidi kamili, sasa wewe umeleta porojo zako tu bila chochote chenye mashiko. Ukitaka nikurudishe nyuma zaidi, nipo tayari. Upo hapo ulipo?
Ni kweli uchawa wake kwa Marekani ndio uliwafanya MARAIS wengine wa kiafrica wasimuamini na kumfikiria kuwa he was a MOLE mpaka siku moja marehemu MUGABE akamtolea uvivu na kumsuta hadharani!!

Ni kweli sidhani nchi hii itakuja ongozwa na Rais FISADI kama Vasco Dagama; kawauzia WACHINA gas na waarabu kawauzia wanyama pori wetu mpaka wameanzisha parks zao hivyo kutokuwa na haja ya kuja kwenye mbuga zetu tena; hawatakuwa na haja ya kuja huku kama ROYAL TOUR inavyotegemea kwani watakwenda UARABUNI na kuona hao wanyama kwenye mazingira natural waliyotengenezewa!!! Kweli Vasco Dagama ufisadi wake hakuna mfano na hatosheki na mpaka hivi sasa mkewe ambae alimuombea awe mbunge anadai serikali imlipe kwa kuwa Mke wa Rais!!!!
Hayo madini yenu ya wazungu na waarabu mnayoyatetea ni ya kitapeli tu ..... yamejaa chuki tu na upumbavu.... ndio maana mimi nimeamua kua Atheist....Sio Muislam wala sio Mkristo.... ila naamani Mungu yupo na hana dini...
 
Wewe mambo ya dini nimeyaandika wapi?
 
Wivu tu unakusumbua,mbona vitu vya kawaida tu hata huku mitaani migahawani vipo....acha woivu.
Kumbuka hapo ni ofisini, sio nyumbani/ dining hall.
So, ilitakiwa mandhari iendane na agenda. Tafuta picha za vikao nyeti vya nchi tunaojilinganisha nao kiuchumi, uone kama kuna huo uchafuzi wa kwenye discussion table! Then urudi na majibu sahihi kama ni wivu au la
 
Wangeweka angalau maji tu kuonyesha kuwa wako serious.sasa unajadili kitu muhimu huku unakulakula.
Waafrika tunapenda sana kula imagine kikao serious kama hicho kimejaa machupa na majuisi sijui makorosho kwani wangekula baada ya kumaliza ingekuwaje? Hatuko serious kabisa kila sehemu tunawaza kula kula hovyo tu.
 
Vipi Dodoma hakukaliki? Ndugai alihoji akaonekana mchochezi gharama hizi zisizo na sababu zinatuumiza wananchi
 
Ila President anajitahidi sana huko Sri Lanka wanaomba bridging loan maana watu wanajipanga foleni na mabobo ya maji kusubiri mafuta ni wana hali mbaya kweli kweli.
 
Hayo madini yenu ya wazungu na waarabu mnayoyatetea ni ya kitapeli tu ..... yamejaa chuki tu na upumbavu.... ndio maana mimi nimeamua kua Atheist....Sio Muislam wala sio Mkristo.... ila naamani Mungu yupo na hana dini...
Upo huru. Hakuna wakukuzuwia, na sisi tutuwe na "madini" yetu, yanakuwashia nini?
 
Rais Samia ameitisha kikao ikulu udiku huu kujadili kupanda kwa bei ya mafuta , huku kikao hiko kikihudhuriwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, Waziri wa Nishati January Makamba, Kamishna Mkuu wa TRA Alphayo Kidata na wajumbe wengineo

Tutarajie tamko la namna gani baada ya kikao hiko ndugu mdau wa jamii forums?

=======

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameitisha Kikao cha dharura usiku wa leo tarehe 08 Mei Ikulu ya Dar es Salaam kujadili tatizo la kupanda kwa bei ya mafuta nchini.

Miongoni mwa waliohudhuria kikao hicho ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Nishati January Makamba, Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato ya Tanzania (TRA) Alphayo Kidata na makatibu wakuu wao.

Katika kikao hicho, Rais Samia amewaagiza viongozi hao kutafuta suluhisho la haraka katika kukabiliana na tatizo hilo la Upandaji wa bei ya Mafuta nchini.

Makaku wa rais hana nafasi hapo au ni picha tu kuwa yupo upande wa pili?
 
Ni kweli uchawa wake kwa Marekani ndio uliwafanya MARAIS wengine wa kiafrica wasimuamini na kumfikiria kuwa he was a MOLE mpaka siku moja marehemu MUGABE akamtolea uvivu na kumsuta hadharani!!

Ni kweli sidhani nchi hii itakuja ongozwa na Rais FISADI kama Vasco Dagama; kawauzia WACHINA gas na waarabu kawauzia wanyama pori wetu mpaka wameanzisha parks zao hivyo kutokuwa na haja ya kuja kwenye mbuga zetu tena; hawatakuwa na haja ya kuja huku kama ROYAL TOUR inavyotegemea kwani watakwenda UARABUNI na kuona hao wanyama kwenye mazingira natural waliyotengenezewa!!! Kweli Vasco Dagama ufisadi wake hakuna mfano na hatosheki na mpaka hivi sasa mkewe ambae alimuombea awe mbunge anadai serikali imlipe kwa kuwa Mke wa Rais!!!!
Hizo ni porojo, Mugame kaishia wapi, kafanywa nini na wananchi wake kwa ufisadi wake? Unaleta story za mtu bogus kama yule?

Kwa ya Kikwete utabaki porojo tu, huna hata kimoja cha maanacha kumshutumu. Ndio kwanza anadunda na anaheshimika dunia nzima. Tartiib, kama sio yeye.
 
Hizo ni porojo, Mugame kaishia wapi, kafanywa nini na wananchi wake kwa ufisadi wake? Unaleta story za mtu bogus kama yule?

Kikwete utabaki porojo tu, huna hata kimoja cha maana, cha kumshutumu. Ndio kwanza anadunda na anaheshimika dunia nzima. Tartiib, kama sio yeye.

Wacha bwana!

Km dunia nzima inamkubali atusaidie kuongea na Putin atulize mashambulizi…
 
Back
Top Bottom