Rais Samia aitisha kikao cha dharura usiku huu (Mei, 08 2022) Ikulu Dar Es Salaam kujadili mafuta

Waafrika tunapenda sana kula imagine kikao serious kama hicho kimejaa machupa na majuisi sijui makorosho kwani wangekula baada ya kumaliza ingekuwaje? Hatuko serious kabisa kila sehemu tunawaza kula kula hovyo tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha ukoloni wewe.
Watu wapo kazini tunalaumu hata chakula!
Kwani ukila unaishiwa hoja?
Ni viongozi gani huwa hawali?
 
Acha ujinga,Kodi za dhuluma hasitakiwi sio tuu na mama bali na kiongozi yeyote..

Nachosema mimi ni kwamba Serikali haikusanyi Kodi inavyotakiwa kwa hiyo nitolee uchafu wa Mwendazake usoni kwangu.
Wewe ndiyo shida, nenda ulaya kama utapata bidhaa isiyo na kodi na hiyo kodi inakusanywa yoooote kwa sheria kali, nayo ni dhuluma????, nyie makataa vya dhuluma halafu kodi hamkusanyi kipi bora???Nonsense
 
Astaghfirullah,
Umekuwa kipofu na mwenye mahaba kiasi hicho!
 
Ukimuona MTU hawatetei watu wa hali ya chini ujue huyo MTU hana dini yeyote ndani ya moyo wake !!! Ni opportunistic tu !!!

Uko 100% sawa, isitoshe hata Waislamu kama Wakristu wengi sana wanaumizwa na kupanda kwa gharama ya maisha, hivyo hana Dini kwa maana ya Falsafa ya Dini, kama ulivyoandika ni kama akina Zito tu, kutumia watu lkn matendo yao na Uislamu ni vitu viwili tofauti!
 
Wewe hiyo suluhisho unayotoa ulikuwa unaipinga sana kipindi watu wanaisema humu hadi nikakudhania ni ka uvccm kalikoweka akili pembeni na kubaki kijani tu kichwani! Ulidai serikali itoe kodi halafu nchi itapata wapi mapato? Au ndo zile za kumpenda mama had kupitiliza so umeona kikao cha ghafla ukajua mawazo yako ya awali hayana maana?
 
Bei za mafuta zilivyonivuruga sijamtambua hata mmojawao kwenye hiyo picha naona chupa za chai tu, pengine kwa sababu picha ilipigwa usiku kwa dharura kwenye kikao cha dharura.
 
Siku udini (hizi za kuletewa na watawala wa kikoloni) ukikuisha na kuanza kuujua ubinadamu utainjoi maisha. Kwa sasa endelea kutafakari ya kuwa Mungu anampenda mtu yeyote hata asiye na dini ila mwenye kutenda mema au anapenda wa dini flani flani tu? Ukilijua hilo basi rudi na tafakari za mambo ya kidunia
 
Kwanza sijaacha kupinga hiyo suluhisho ila tuu serikali itoe njia mbadala wa kufidia mapato yatakapotea vinginevyo hakuna haja ya kufuta Kodi hasa zinazoenda kwenye barabara moja kwa moja..

Na nadhani pia serikali itaelewa hili,Bora ifute excise duty na tozo zingine lakini zinazoenda Road fund/Tanroads na Tarura zisiguswe.
 
Hivi makamu yuko wapi mbona anakosa kwenye vikao muhimu Kama hichi?

Isitoshe alishawahi kuwa waziri wa fedha,hivyo anaufahamu mzuri sana juu ya uchumi Sasa anakosaje kwenye swala Kama hili!
Hili ndio swali fikirishi.
 
Wewe ndiyo shida, nenda ulaya kama utapata bidhaa isiyo na kodi na hiyo kodi inakusanywa yoooote kwa sheria kali, nayo ni dhuluma????, nyie makataa vya dhuluma halafu kodi hamkusanyi kipi bora???Nonsense
Wewe ni mjinga,nani kasema wasikusanyw Kodi? Nachosema kubambikiana Kodi sijui kufungia biashara na kupora pesa ,hivi ni vitu vya kipumbavu vilikuwa vinafanywa na awamu ya 5..

Hizi ni dhuluma na zinatakiwa kutotendwka tena.Ila Kodi zikusanywe kwa mujibu wa sheria na kila mtu alipe Kodi,atakayekiuka sheria kali zichukuliwe..

Tafuta utakuna nimeanzisha nyuzi nyingi Sana za kuitaka serikali ikusanye Kodi.
 
Hapa ndo akili zako huwa zinakutoka. Yaani unaona kama dini ulianzisha wewe na inakuingizia kipato hivyo hutaki ikufie. Eti hakuna viongozi bora wa nchi hii zaidi ya waislamu, naanza kumuona J.K. Nyerere ni kwa nini alikataa kabisa kuongelea udini πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kaka hujapata maono kuwa nini itatokea?[emoji28]
Nilipata siku nyingi. na nikaandika Hadi makala imo humu, Serikali itatoa ruzuku na kushusha bei ya mafuta

P
 
Serikali ilipewa muda wa siku 5 kutoa jibu. Watakuwa wanaandaa majibu ya kumfikishia Tulia.

Wanaandaa majibu ya jumla sio kwa kumuogopa Tulia na bunge lake kibogoyo.
 
Ko ukipewa jina rukhsa ndo umefanya makubwa? πŸ˜‚ huyu nae utasema ye ni royal tour ko kafanya makubwa. Ila waliofungua uwekezaji huna habari nao!! Waliopambania uhuru wa nchi hiina nchi zingine hawana la maana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…