Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Ukipata majibu unitag plzHivi makamu yuko wapi mbona anakosa kwenye vikao muhimu Kama hichi?
Isitoshe alishawahi kuwa waziri wa fedha, hivyo anaufahamu mzuri sana juu ya uchumi Sasa anakosaje kwenye swala Kama hili!
Akitaka aachwe akalee wajukuu zake au akacheze filamu na piraa maana ndicho anachoweza mama piraa.Anza kujitengenezea nishati yako mwenyewe ya bure, inatokana na haja kubwa yako unayoenda kila siku, usitegemee kushuka bei ya mafuta kuliko bei ya kununulia. Njia pekee ni kuzalisha yako tu. teknolia ipo tena nyepesi sana.
Kushusha bei ya mafuta usitegemee kuwa kutakuwa kukubwa, zitachomolewa tozo tu za hapo kwnye mafuta na kwenda kubandikwa kwengine. From direct taxation to indirect taxation.
Kutumai vitu ambavyo haviingii akilini bila kuwa na njia mbadala ni ujuha. Unatakiwa uwe na njia mbadala ya kuipata nishati.
Mimi nafurahi haya yanatokea kwa kuwa ndiyo yanayofungua ubunifu "necessity is the mother of invention". Pia yanafunguwa fursa " No problems No opportunities".
Kwa hiyo mwache mama na watendaji wake wachemshe bongo tuone watakuja na lipi jipya na sisi huku nje tuchemshe bongo tuone tutakuwa na ubunifu upi mpya.
Ahsante Sheikh Kipanya kwa kuonesha mfano.
Na vipi nikivutwa pembeni nikaenda kubinywa kende nikuite tubinywe wote au..?Ukipata majibu unitag plz
No hapo usinitag kabisa 😂😂Na vipi nikivutwa pembeni nikaenda kubinywa kende nikuite tubinywe wote au..?
Nipe hiyo linkNilipata siku nyingi. na nikaandika Hadi makala imo humu, Serikali itatoa ruzuku na kushusha bei ya
Maigizo tu hayo ili wapate picha za kupost mitandaoni kuwapumbaza raia. We unaona kuna la maana hapo linaendelea, hao wote lao ni moja kuwanyonya raia na kuboresha maisha ya familia zao.Hivi makamu yuko wapi mbona anakosa kwenye vikao muhimu Kama hichi?
Isitoshe alishawahi kuwa waziri wa fedha, hivyo anaufahamu mzuri sana juu ya uchumi Sasa anakosaje kwenye swala Kama hili!
Wanatudharau😠Kuna wakati nawaza, hawa watu wanatuchukuliaje?
Kabisa mzee. Mzee magufuli alikuwa anawakomoa mafala hawa wanakuta pipi, karanga na maji tu. Unatoka nyumbani haujala unategemea kula kwenye kikao cha dharula.Waafrika tunapenda sana kula imagine kikao serious kama hicho kimejaa machupa na majuisi sijui makorosho kwani wangekula baada ya kumaliza ingekuwaje? Hatuko serious kabisa kila sehemu tunawaza kula kula hovyo tu.
Nipe hiyo link
Wewe unachojua ni udini tu!Na mama'ko akafa kwa njaa kwa kuwa hukuweza kumpa kula yake? Na wewe ukasema mama'ko kafa kwa njaa kwa sababu vitu vimepanda bei, au siyo?
hasikhlizwi ,anaonekana kwa sasa ni mkudaHivi makamu yuko wapi mbona anakosa kwenye vikao muhimu Kama hichi?
Isitoshe alishawahi kuwa waziri wa fedha, hivyo anaufahamu mzuri sana juu ya uchumi Sasa anakosaje kwenye swala Kama hili!
🙄hasikhlizwi ,anaonekana kwa sasa ni mkuda
Muungwana akivuliwa nguo huchutama.Hadhi ya chombo kilivyoonekana ndivyo na jina hadhi yake inashushwa.
Lakini humu nyuki wa mama mlisema yeye hausiki na bei kupanda. Sasa yaatasomekaje vingine?Mabango yanaeeza someka Vingine
Ova
Vita imeisha?Mwacheni mama ashushe bei ya wese
Naikumbuka makala yako ya miaka ile. Ni aibu mpaka leo tunaagiza sukari na mafuta, bora tungeagiza asprin na panadow, lakini mafuta na sukali duuuu!!!!!Nilipata siku nyingi. na nikaandika Hadi makala imo humu, Serikali itatoa ruzuku na kushusha bei ya mafuta
PTanzania bado tuna tatizo la upangaji vipaumbele vyetu, baada ya Elimu, Afya na kilimo, ilipaswa ije nishati!. Ni aibu na hatari kupikia kuni na mkaa!
Wanabodi, Hii ni Makala yangu ya Nipashe Jumapili Tanzania tulipopata Uhuru ile Desemba 9, 1961, sisi Tanzania tukiwa na rasilimali lukuki, lakini sasa hapa tulipo, tukijilinganisha na baadhi ya wenzetu nchi tulizopata nazo uhuru, wengi with nothing compared, kiukweli kabisa, sisi tumeachwa...www.jamiiforums.com