Rais Samia aitisha kikao cha dharura usiku huu (Mei, 08 2022) Ikulu Dar Es Salaam kujadili mafuta

Rais Samia aitisha kikao cha dharura usiku huu (Mei, 08 2022) Ikulu Dar Es Salaam kujadili mafuta

Hueleweki, wewe hata kujieleza shida. Mama'ko bila kuchezea pira usingezaliwa wewe. Au wewe ndiyo katika wale wa singo mother? Kila anaeingia nyumbani kwenu unaambiwa "mwamkie baba'ko"?
Mama yangu hamjui piraa piraa ni wa huyo mama yako ndio anamjua piraa.
 
Waliopambania Uhuru wa nchi hii huwajui wewe, Nyerere ni mmoja wapo tu, 90% ni Waislam. Ptia jukwaa la historia la JF utawaona.
Na katika 90% kwa 10% genious aloonekana ni kutoka kwenye 10%. NB. Hata awamu ya rukhsa ilikuwa na wa dini zote ktk uongozi lkn ww umemtolea mwinyi, hivo hvo na wapigania uhuru kumtolea nyerere a.k.a father of our nation si kosa. Ujenzi wa barabara si wa kikwete tu, greda magufuli alihusika pakubwa km waziri wa wizara husika.
 
Biblia inasema...

ungu akanena maneno haya yote akasema,
2 Mimi ni Bwana, Mungu wako, niliyekutoa katika nchi ya Misri, katika nyumba ya utumwa.
3 Usiwe na miungu mingine ila mimi.
4 Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia.
5 Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, Bwana, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao,
6 nami nawarehemu maelfu elfu wanipendao, na kuzishika amri zangu.
Wewe humuabudu Mungu ila unaiabudu dini. Mungu haongelei udini bali dini ndo zinaongelea udini na kuona cha mwingine hakifai. Kila kitu ni uislamu badala ya kusema mungu anasema hivi.
 
Duh upo kwenye kipato? Uislam unanifundiha nilivyonavyo vyote si vyangu, nimevikuta na ntaondoka ntaviacha. Ni ujuha tu kufikiria kipato wakati yupo mwenye Mali yake daima. Hamuazimi isipokuwa amtakae na kwa kudra zake.
Vyote uliletewa!! Mungu hakuwahi kuwa na dini na hatokuwa nayo. Mpende Mheshimu sana Mungu kuliko unavyoheshimu viongozi wa nchi wenye imani ya kiislamu.
 
Usiuogope Uislam ni mwema sana. Usome tu utauelewa. Hata Yesu alikuwa ni Muislam.
😂😂 kaanza tena. Unamaanisha uislamu ulikuwepo hata kabla ya mtume Mohamad maana Yesu alikuwepo kabla ya mtume.
 
Hilo unalisema wewe. Hamna pakuhujumu zaidi ya maneno ya kijinga tu. Tunawafahamu, mlikuwa hivihivi wakati wa Mwinyi, mkayarudia tena wakati wa Kikwete na mtaendelea nayo kila ataposhika Muislam. Mwiso wa siku tukilinganisha tunaona kuwa hakuna viongozi bora wa nchi hii zaidi ya Waislaam.
Kirhuuuuuu!!!!....aibu naona mimi🙊🙊🙊🙊🙊...udin udin udin mtyupu.
 
Wakanunue mafuta ya bei rahisi URUSI, hili ndio jibu la kushuka kwa bei ya mafuta. Ulaya si hawayataki mafuta ya URUSI, sisi tunayataka tena leo leo.
Kuvuja kwa pakacha, ni nafuu kwa ..........
Hii nilishaisema na kushauri lakini wanaiogopa marekani wacha tupate shida
 
Kirhuuuuuu!!!!....aibu naona mimi🙊🙊🙊🙊🙊...udin udin udin mtyupu.
Unaona donge tu. Kama "udini" ni Uislam basi ni lazima uone aibu, kwa kuwa wewe unaabudu binaadam mwenzio kwa kudanganywa na wazungu.
 
Back
Top Bottom