Rais Samia aitisha kikao cha dharura usiku huu (Mei, 08 2022) Ikulu Dar Es Salaam kujadili mafuta

Rais Samia aitisha kikao cha dharura usiku huu (Mei, 08 2022) Ikulu Dar Es Salaam kujadili mafuta

Hivi makamu yuko wapi mbona anakosa kwenye vikao muhimu Kama hichi?

Isitoshe alishawahi kuwa waziri wa fedha, hivyo anaufahamu mzuri sana juu ya uchumi Sasa anakosaje kwenye swala Kama hili!
Ukipata majibu unitag plz
 
Anza kujitengenezea nishati yako mwenyewe ya bure, inatokana na haja kubwa yako unayoenda kila siku, usitegemee kushuka bei ya mafuta kuliko bei ya kununulia. Njia pekee ni kuzalisha yako tu. teknolia ipo tena nyepesi sana.

Kushusha bei ya mafuta usitegemee kuwa kutakuwa kukubwa, zitachomolewa tozo tu za hapo kwnye mafuta na kwenda kubandikwa kwengine. From direct taxation to indirect taxation.

Kutumai vitu ambavyo haviingii akilini bila kuwa na njia mbadala ni ujuha. Unatakiwa uwe na njia mbadala ya kuipata nishati.


Mimi nafurahi haya yanatokea kwa kuwa ndiyo yanayofungua ubunifu "necessity is the mother of invention". Pia yanafunguwa fursa " No problems No opportunities".

Kwa hiyo mwache mama na watendaji wake wachemshe bongo tuone watakuja na lipi jipya na sisi huku nje tuchemshe bongo tuone tutakuwa na ubunifu upi mpya.

Ahsante Sheikh Kipanya kwa kuonesha mfano.
Akitaka aachwe akalee wajukuu zake au akacheze filamu na piraa maana ndicho anachoweza mama piraa.
 
Haya ni maigizo. Ina maana walishindwa kuwa sensitive na tatizo kipindi linaanza na kujiandaa nalo bila kutuambia lolote halafu ghafla waanze kujifanya wanavikaonvya dharula?!

Hivi vikao hakuna lolote watalofanya zaidi ya kupiga picha za kuwapumbaza raia wakati wao wanaendelea kupiga faida kwenye ulanguzi wa mafuta.

Huu ni ufala sana. Hawa jamaa ni wa kutolewa. Umri unakwenda wao maisha yao na familia zao yanazidi kuboreka. Mimi na wewe kila siku tunaamka kutafuta pesa ya kujikimu na gharama maisha na hakuna pesa ya maendeleo tunaweka pembeni wakati wenzetu wanapiga mabilioni wanakuwa na pesa za kuwawekea hadi vilembwe.

Hii si sawa, tufanye maamuzi magumu hawa jamaa watoke, wameshindwa hawawezi na hawataweza kuipeleka Tanzania mbele kutoka hapa ilipo. Ugumu wetu wa maisha na mvurugo wa uchumi kwao ni content za kutuhadaa.

Ujinga ujinga tu. [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
 
Hivi makamu yuko wapi mbona anakosa kwenye vikao muhimu Kama hichi?

Isitoshe alishawahi kuwa waziri wa fedha, hivyo anaufahamu mzuri sana juu ya uchumi Sasa anakosaje kwenye swala Kama hili!
Maigizo tu hayo ili wapate picha za kupost mitandaoni kuwapumbaza raia. We unaona kuna la maana hapo linaendelea, hao wote lao ni moja kuwanyonya raia na kuboresha maisha ya familia zao.

Majizi yamerudi serikalini.
 
Waafrika tunapenda sana kula imagine kikao serious kama hicho kimejaa machupa na majuisi sijui makorosho kwani wangekula baada ya kumaliza ingekuwaje? Hatuko serious kabisa kila sehemu tunawaza kula kula hovyo tu.
Kabisa mzee. Mzee magufuli alikuwa anawakomoa mafala hawa wanakuta pipi, karanga na maji tu. Unatoka nyumbani haujala unategemea kula kwenye kikao cha dharula.
 
Nipe hiyo link
P
 
Hivi makamu yuko wapi mbona anakosa kwenye vikao muhimu Kama hichi?

Isitoshe alishawahi kuwa waziri wa fedha, hivyo anaufahamu mzuri sana juu ya uchumi Sasa anakosaje kwenye swala Kama hili!
hasikhlizwi ,anaonekana kwa sasa ni mkuda
 
Nilipata siku nyingi. na nikaandika Hadi makala imo humu, Serikali itatoa ruzuku na kushusha bei ya mafuta

P
Naikumbuka makala yako ya miaka ile. Ni aibu mpaka leo tunaagiza sukari na mafuta, bora tungeagiza asprin na panadow, lakini mafuta na sukali duuuu!!!!!
 
Back
Top Bottom