Rais Samia aitisha kikao cha dharura usiku huu (Mei, 08 2022) Ikulu Dar Es Salaam kujadili mafuta

Hueleweki, wewe hata kujieleza shida. Mama'ko bila kuchezea pira usingezaliwa wewe. Au wewe ndiyo katika wale wa singo mother? Kila anaeingia nyumbani kwenu unaambiwa "mwamkie baba'ko"?
Mama yangu hamjui piraa piraa ni wa huyo mama yako ndio anamjua piraa.
 
Waliopambania Uhuru wa nchi hii huwajui wewe, Nyerere ni mmoja wapo tu, 90% ni Waislam. Ptia jukwaa la historia la JF utawaona.
Na katika 90% kwa 10% genious aloonekana ni kutoka kwenye 10%. NB. Hata awamu ya rukhsa ilikuwa na wa dini zote ktk uongozi lkn ww umemtolea mwinyi, hivo hvo na wapigania uhuru kumtolea nyerere a.k.a father of our nation si kosa. Ujenzi wa barabara si wa kikwete tu, greda magufuli alihusika pakubwa km waziri wa wizara husika.
 
Wewe humuabudu Mungu ila unaiabudu dini. Mungu haongelei udini bali dini ndo zinaongelea udini na kuona cha mwingine hakifai. Kila kitu ni uislamu badala ya kusema mungu anasema hivi.
 
Duh upo kwenye kipato? Uislam unanifundiha nilivyonavyo vyote si vyangu, nimevikuta na ntaondoka ntaviacha. Ni ujuha tu kufikiria kipato wakati yupo mwenye Mali yake daima. Hamuazimi isipokuwa amtakae na kwa kudra zake.
Vyote uliletewa!! Mungu hakuwahi kuwa na dini na hatokuwa nayo. Mpende Mheshimu sana Mungu kuliko unavyoheshimu viongozi wa nchi wenye imani ya kiislamu.
 
Usiuogope Uislam ni mwema sana. Usome tu utauelewa. Hata Yesu alikuwa ni Muislam.
πŸ˜‚πŸ˜‚ kaanza tena. Unamaanisha uislamu ulikuwepo hata kabla ya mtume Mohamad maana Yesu alikuwepo kabla ya mtume.
 
Huyo piraa hata mimi simjuwi mimi nalijuwa pira tu, ambalo bila hilo pira usingekuwepo, kama unabisha kamuulize mama'ko.
Mama yangu alifanya ujanani sio huyo anaefanya uzeeni 63+, naona mama yako amemkubali kafiir piraa.
 
Kirhuuuuuu!!!!....aibu naona mimiπŸ™ŠπŸ™ŠπŸ™ŠπŸ™ŠπŸ™Š...udin udin udin mtyupu.
 
Wakanunue mafuta ya bei rahisi URUSI, hili ndio jibu la kushuka kwa bei ya mafuta. Ulaya si hawayataki mafuta ya URUSI, sisi tunayataka tena leo leo.
Kuvuja kwa pakacha, ni nafuu kwa ..........
Hii nilishaisema na kushauri lakini wanaiogopa marekani wacha tupate shida
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ kaanza tena. Unamaanisha uislamu ulikuwepo hata kabla ya mtume Mohamad maana Yesu alikuwepo kabla ya mtume.
Naam, sasa jiulize wewe Yesu alikuwa dini gani?
 
Kirhuuuuuu!!!!....aibu naona mimiπŸ™ŠπŸ™ŠπŸ™ŠπŸ™ŠπŸ™Š...udin udin udin mtyupu.
Unaona donge tu. Kama "udini" ni Uislam basi ni lazima uone aibu, kwa kuwa wewe unaabudu binaadam mwenzio kwa kudanganywa na wazungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…