Rais Samia aitisha kikao cha dharura usiku huu (Mei, 08 2022) Ikulu Dar Es Salaam kujadili mafuta

Rais Samia aitisha kikao cha dharura usiku huu (Mei, 08 2022) Ikulu Dar Es Salaam kujadili mafuta

Rais Samia ameitisha kikao ikulu udiku huu kujadili kupanda kwa bei ya mafuta , huku kikao hiko kikihudhuriwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, Waziri wa Nishati January Makamba, Kamishna Mkuu wa TRA Alphayo Kidata na wajumbe wengineo

Tutarajie tamko la namna gani baada ya kikao hiko ndugu mdau wa jamii forums?

=======

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameitisha Kikao cha dharura usiku wa leo tarehe 08 Mei Ikulu ya Dar es Salaam kujadili tatizo la kupanda kwa bei ya mafuta nchini.

Miongoni mwa waliohudhuria kikao hicho ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Nishati January Makamba, Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato ya Tanzania (TRA) Alphayo Kidata na makatibu wakuu wao.

Katika kikao hicho, Rais Samia amewaagiza viongozi hao kutafuta suluhisho la haraka katika kukabiliana na tatizo hilo la Upandaji wa bei ya Mafuta nchini.

View attachment 2217468
Baada ya hapo walewale waliomdanganya watasema tufanye maandamano kumpongeza
 
Waafrika tunapenda sana kula imagine kikao serious kama hicho kimejaa machupa na majuisi sijui makorosho kwani wangekula baada ya kumaliza ingekuwaje? Hatuko serious kabisa kila sehemu tunawaza kula kula hovyo tu.
Hovyo kabisa mkuu.
 
Hii siyo vizuri kwa afya ya mkuu wa nchi.

Mheshimiwa angewapa dondoo wasaidizi wake ambao ni mawaziri wenye dhamana wampatie taarifa na mapendekezo yao ifikapo kesho asubuhi juu ya kupata jibu la kutatua kadhia hii.

Kazi ingekuwa mawaziri husika pamoja makatibu wakuu kujikusanya usiku huu pamoja na makamishina, wakurugenzi na wataalamu kutafuta jibu muafaka.
Yaani Mama anaonesha low IQ wakati yeye ni akili
kubwa mno. Aache kabisa kuishi maisha ya kuiga, awe yeye kama yeye. Asijifananishe na Dkt Magufuli au Dkt Kikwete, we need Mama Samia yule mwenye akili na ubunifu!!!! Mama Samia Amka toka huko uliko, tenda wewe kama wewe, yaani kama ulivyokuwa mwanafunzi mwenye akili
Za ziada mpaka kumaliza shahada yako hapo Chuo Kikuu Mzumbe enzi zile IDM Mzumbe, watanzania tunahitaji ule uwezo wako na akili zako za kuongoza, usiongoze kwa kuangalia nani atasema nini au eti nisije kuonekana hapa kama Dkt Magufuli, yaani kuwa wewe kama wewe. Naamini ungetumia akili zazko leo hii pasingekuwa na hizi kelele za watu kukuchukia, yaani wala tusingefika huku ila wewe uliamua kuazima akili za wengine ktk kuongoza. Wewe ndiye rais yaani wewe hata ukisema leo mtu asiishi unauwezo wa kufanya hivyo na katiba inakulinda, hivyo jiamini kabisa watanzania wanasubiri kwa hamu kumuona huyo Mama Samia Suluhu Hassan aliyemaliza shahada ya uongozi ambayo enzi zile tupo Mzumbe ilikuwa kozi ngumu mno mwaka 1986 na jina namba 8 kwenye graduation book. Tunakupenda Mama, achana na wanaokuzunguka kukudanganya tumia report na utashi wako, fanya vile moyo wako unavyoona ni sahihi, tunajua inside you Mama Samia siyo huyo ambaye unatuonesha, wewe ni Mama mwenye upendo, huruma kubwa sana kwa Watanzania na Watanzania wanajua kabisa ila mpaka sasa wanamuomba huyo Mama Samia aje atuongoze
 
Pole sana mama SSH, kwa bahati mbaya sana hapo ulipo una 'mbwamwitu' wabaya sana!
Kuna biashara inapigiwa upatu na wasaidizi wako tena wapo hapo na mmoja simuoni hapo!
Take care mama yetu ila hujachelewa, na kuna mzee unatakiwa kumvalia 'miwani ya mbao' kwani sio mshauri mzuri.
 
Nimemsikiliza Waziri Bashe muda mfupi uliopita alipokuwa akichangia hoja ya wizara ya viwanda na uwekezaji, yule kijana ni hazina maana variables zote za kilimo na viwanda kwa hakia viko mdomoni kwake. Nigependa sana awe waziri wetu wa fedha going forward.
 
Rais Samia ameitisha kikao ikulu udiku huu kujadili kupanda kwa bei ya mafuta , huku kikao hiko kikihudhuriwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, Waziri wa Nishati January Makamba, Kamishna Mkuu wa TRA Alphayo Kidata na wajumbe wengineo

Tutarajie tamko la namna gani baada ya kikao hiko ndugu mdau wa jamii forums?

=======

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameitisha Kikao cha dharura usiku wa leo tarehe 08 Mei Ikulu ya Dar es Salaam kujadili tatizo la kupanda kwa bei ya mafuta nchini.

Miongoni mwa waliohudhuria kikao hicho ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Nishati January Makamba, Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato ya Tanzania (TRA) Alphayo Kidata na makatibu wakuu wao.

Katika kikao hicho, Rais Samia amewaagiza viongozi hao kutafuta suluhisho la haraka katika kukabiliana na tatizo hilo la Upandaji wa bei ya Mafuta nchini.

View attachment 2217468
Wakanunue mafuta ya bei rahisi URUSI, hili ndio jibu la kushuka kwa bei ya mafuta. Ulaya si hawayataki mafuta ya URUSI, sisi tunayataka tena leo leo.
Kuvuja kwa pakacha, ni nafuu kwa ..........
 
Wewe unachojua ni udini tu!
.
Kama vipi kaungane na alshabab wenzio wakupe na mabomu njoo uwalipue wakristo wote
Kama kwa neno "udini" unamaanisha Uislam, basi naam, hujakosea. Al Shabab hawakuanishwa na Uislam, labda huyajuwi tu, umejazwa ujinga ukakujaa.
 
Akitaka aachwe akalee wajukuu zake au akacheze filamu na piraa maana ndicho anachoweza mama piraa.
Hueleweki, wewe hata kujieleza shida. Mama'ko bila kuchezea pira usingezaliwa wewe. Au wewe ndiyo katika wale wa singo mother? Kila anaeingia nyumbani kwenu unaambiwa "mwamkie baba'ko"?
 
Wakanunue mafuta ya bei rahisi URUSI, hili ndio jibu la kushuka kwa bei ya mafuta. Ulaya si hawayataki mafuta ya URUSI, sisi tunayataka tena leo leo.
Kuvuja kwa pakacha, ni nafuu kwa ..........
Mafuta ya bei rahisi yapo sehemu nyingi tu, siyo Urusi tu. hata ya bure yapo. Unafikiri mama alitembelea nchi z Kiarabu kustarehe, alikuwa na agenda ya kazi, mojawapo ni hii ya mafuta kama ulikuwa huelewi. Tena siyo mafuta ya kununuwa tu, ni mafuta ya kuja kuchimbwa hapahapa kwetu na kutengeza ma refinery ya mafuta ambayo mikataba yake ilikuwa tayari ikafutwa na bwana yule.

Tume ya mafuta iliyowekwa na Magufuli ndiyo bomu, maa astuke mapema tu. Kwa kikao cha jana na team zilizoitwa Ikulu, nahisi mama kishastuka.
 
Pole sana mama SSH, kwa bahati mbaya sana hapo ulipo una 'mbwamwitu' wabaya sana!
Kuna biashara inapigiwa upatu na wasaidizi wako tena wapo hapo na mmoja simuoni hapo!
Take care mama yetu ila hujachelewa, na kuna mzee unatakiwa kumvalia 'miwani ya mbao' kwani sio mshauri mzuri.
Duh! Mmeanza kulialia sasa!??, si mlisema anaupiga mwingi?
Wabongo ni watu wa ajabu sana!
 
Kama kwa neno "udini" unamaanisha Uislam, basi naam, hujakosea. Al Shabab hawakuanishwa na Uislam, labda huyajuwi tu, umejazwa ujinga ukakujaa.
Ndio umejaa uislamu!

Sasa nakushauri nenda kwa alshabab au magadi wengine wanaojilipua kwa mabomu kwa ajili ya kumpigania Allah huko duniani, kisha waambie wakupe mabomu alafu ukifika nayo hapa nchini lipua Wakristo wote ili uislamu wako ukujae zaidi.
 
Ko ukipewa jina rukhsa ndo umefanya makubwa? 😂 huyu nae utasema ye ni royal tour ko kafanya makubwa. Ila waliofungua uwekezaji huna habari nao!! Waliopambania uhuru wa nchi hiina nchi zingine hawana la maana.
Waliopambania Uhuru wa nchi hii huwajui wewe, Nyerere ni mmoja wapo tu, 90% ni Waislam. Ptia jukwaa la historia la JF utawaona.
 
Mafuta ya bei rahisi yapo sehemu nyingi tu, siyo Urusi tu. hata ya bure yapo. Unafikiri mama alitembelea nchi z Kiarabu kustarehe, alikuwa na agenda ya kazi, mojawapo ni hii ya mafuta kama ulikuwa huelewi. Tena siyo mafuta ya kununuwa tu, ni mafuta ya kuja kuchimbwa hapahapa kwetu na kutengeza ma refinery ya mafuta ambayo mikataba yake ilikuwa tayari ikafutwa na bwana yule.

Tume ya mafuta iliyowekwa na Magufuli ndiyo bomu, maa astuke mapema tu. Kwa kikao cha jana na team zilizoitwa Ikulu, nahisi mama kishastuka.
Duh! Magufuri wapi na wapi kupanda bei ya mafuta? Kwa kusingizia vita ya Urusi, hata ikiundwa tume toka mbinguni!!, wapigaji ni kwa sasa!
 
Hapa ndo akili zako huwa zinakutoka. Yaani unaona kama dini ulianzisha wewe na inakuingizia kipato hivyo hutaki ikufie. Eti hakuna viongozi bora wa nchi hii zaidi ya waislamu, naanza kumuona J.K. Nyerere ni kwa nini alikataa kabisa kuongelea udini 😂😂
Duh upo kwenye kipato? Uislam unanifundiha nilivyonavyo vyote si vyangu, nimevikuta na ntaondoka ntaviacha. Ni ujuha tu kufikiria kipato wakati yupo mwenye Mali yake daima. Hamuazimi isipokuwa amtakae na kwa kudra zake.
 
Siku udini (hizi za kuletewa na watawala wa kikoloni) ukikuisha na kuanza kuujua ubinadamu utainjoi maisha. Kwa sasa endelea kutafakari ya kuwa Mungu anampenda mtu yeyote hata asiye na dini ila mwenye kutenda mema au anapenda wa dini flani flani tu? Ukilijua hilo basi rudi na tafakari za mambo ya kidunia
Biblia inasema...

ungu akanena maneno haya yote akasema,
2 Mimi ni Bwana, Mungu wako, niliyekutoa katika nchi ya Misri, katika nyumba ya utumwa.
3 Usiwe na miungu mingine ila mimi.
4 Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia.
5 Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, Bwana, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao,
6 nami nawarehemu maelfu elfu wanipendao, na kuzishika amri zangu.
 
Back
Top Bottom