Rais Samia akataa mwananchi kueleza shida kwenye mkutano, amtaka amfikishie kupitia mbunge

Sasa kilichomfanya asimame njiani ni nini? Kwanini asingelikwenda moja kwa moja uwanjani?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸΌπŸΌπŸ”₯🌟🌟
 
maneno yako ya mwisho yamechafua maana ya hoja yako nzito.
 
Uposawa mkuu, hakuna haja yakusimama kuongea na watu ambao hutaki kumsikiliza hata mmoja.
 
Sababu ya msingi ya Rais kusimama barabarani ni nini hasa, huku ni kutokujitambua na kutojua uwajibikaji, in rare occasion chipping from the grassroots it's a good thing, a big shame and worse empty mind
 
Kilichomsimamisha njiani ni nini kama sio mataizo binafsi ya wananchi? Kwanini ana sima simama njiani ikiwa anaogopa maswali? Kwanini ana simama simama?
 
Kama hataki kuwasikiliza wananchi amefuata nini huko?
 
Ninyi sijui huko chuoni mlipitaje mkapewa mpaka vyeti vya INTERNSHIP sakala wewe....

Elimu gani unayozungumza ?!!!

Kusahihisha THESES za PhD students?!!?

Kama ndivyo basi marais wangetakiwa wawe maprofesa nguli wanaofundisha vyuoni....

Ulivyo zwazwa hujui kuwa ndani ya CCM tunafanya vetting hata kwa majina ya wagombea ubunge....

Mule Bungeni wale wabunge walioshia darasa la 7 waliiruka vetting ?!!! [emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]

Ulikwenda kusomea "kidigrii" ukagraduate na "uchooookoor"?!!

Gasho koko wee
 
Hapana, Rais anatakiwa ashughulike na mambo ya kitaifa. Huyo raia unaweza kukuta analalamikia kesi ya mirathi ya familia yao au kucheleweshwa mshahara kazini kwake.
Taifa linaanza na mwananchi mmoja mmoja! Au awamu hii tunaposema taifa tunamaamisha matajiri?
 
Sababu ya msingi ya Rais kusimama barabarani ni nini hasa, huku ni kutokujitambua na kutojua uwajibikaji, in rare occasion chipping from the grassroots it's a good thing, a big shame and worse empty mind
Kwanini asingetembea tuu hadi Nagwanda kuhutubia tuu au uwanja wa Ilulu kuhutubia? Kilichomsimamisha njiani ni nini?
 
Huyu Mzanzibar sijui kapatwa na nini?
 
Mtanikumbuka
Ule mtindo wa Magufuli ulikuwa ni upumbavu tu kwa wananchi wapumbavu. Hakukuwa na leadership pale. Hivi Rais mmoja utawezaje kumsikia kila mwananchi?

Endelea hivyo hivyo Samia na wala usiingie mtego wa kugawa hela barabarani
 


Kama Kwa matope haya unayoyaonyesha umeyajaza kichwan ,nawee ndo Mfanya Vetting, kumbe ndio maana NCHI inajiendea endea, imagine Mfanya Vetting ndio mwenye matope ya namna hii .


Mjinga Mmoja wee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…