Rais Samia akipokea Kombe la Dunia, Ikulu, Dar es Salaam Mei 31, 2022

Kwa mara ya kwanza umeandika pointi,lile ni replica wamecoat gold juu tu lenyewe linalindwa kama Rais anavyolindwa
TFF na Serikali ( hasa Madame Rais ) kwa pamoja watuombe Radhi Watanzania kwa Kutudanganya mchana kweupe kuwa lile Kombe alilobeba Juzi Rais ndiyo Kombe la Dunia lenyrwe ( Original )
 
akubishie nani wakati hauna hoja wala point yoyote juu unachotaka kubishiwa
Hoja yangu ambayo Mpumbavu ( Popoma ) Wewe na hao ( hawa ) Wote waliokupa Likes kamwe hamuwezi Kuielewa ni kwamba FIFA hutembeza Kombe la la Dunia 'Replica' na kamwe siyo lile 'Original' lenyewe hivyo Wizara husika, Rais Samia na Rais wa TFF watuombe Radhi Watanzania wenye Akili Kubwa kwa Kutudanganya kuwa lile la Juzi ndiyo lenyewe.
 
Kuna miaka lile kombe liliwahi ibwa.

Sikumbuki ilikuwa nchi ipi.

Naona wamejiongeza.
Ni kweli kabisa Mkuu na hii ndiyo sababu Kuu ya FIFA kuamua kutengeneza Kombe la Dunia 'Replica' na lile la 'Original' Kulindwa penginge kuliko hata alindavyo Mama yenu wa Kizanzibari anayetawala Bara nzima.
 
Watanzania wengi akiwemo Rais Samia na Wasaidizi wake hili walikuwa hawalijui hivyo si tu Wamedanganywa bali Wamesanifiwa na Kudharauliwa pia.
 
Watakuja nayo yote, original na fake,

Kwa Mheshimiwa watapeleka original mtaani tutaona fake.
Na Wewe Siku hizi umeanza kurukwa Akili? Narudia kusema tena nikijiamini 100% kuwa FIFA hutembeza Kombe la Dunia 'Replica' na siyo 'Original' kama mlivyodanganywa na hata lile la Juzi alilobeba Mama yenu Kikatiba ni 'Replica' japo kwa 'Uzuzu' wenu Uliowatukuka mmeaminishwa kuwa ndiyo lenyewe.
 
Sasa wafanyeje kama mtu anapenda show off ata kitaan ukijifanya bishoo sana wajanja zaidi yako wanakupa ata midosho upigilie then wanakusifia umeulamba mkali
Mkuu nimecheka mpaka basi..........!!!!!
 
Nani kakudamganya kuwa kombe bado lipo kwa Ufaransa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…