Haya makanisa yako chini ya TAG?kanisa la calvary assemblies of God askofu wake ni maboya, hilo kanisa la mwamposa lipo chini ya calvary assemblies of God na leo hii wakati wa uzinduzi Maboya ndio ametambulishwa askofu kiongozi juu ya mwamposa, ndiye aliyetoa neno na ndiye aliyezindua kanisa, yupo hapo hadi sasaivi amevaa magwanda, na amesema wakati wanaanz akanisa lao hilo la calvary walikiuwa na vijana wadogo wengi na mwamposa ni mmoja wapo. hayo ameyasema maboya mwenyewe.
tofauti ya hawa na wale ni kwamba, wale walikuwa wanahubiri injili, ila hawa wanapiga pesa na kuhubiri madanganyifu. lazaro na kulola walikuwa watumishi halisi waliohubiri toba ndio maana Mungu aliendelea kuonekana na kuwatumia, hawa wa siku hizi hawana Mungu, wana miungu.You are right, basi tusiwalaumu na hawa wa leo tukaona kama wanachezea u assemblies, Mungu atawasamehe na wao
mi mwenyewe sikujua kama arise and shine ipo chini ya calvary assemblies of god ya maboyaInaitwa calvary assemblies of God Arise and shine .nimelijua hilo leo pia
hapana, yapo chini ya mtume maboya, sio Tanzania assemblies of God, ni calvary assemblies of God. wanatembelea nyota ya hilo neno "assemblies" na kufanya waasemblies wote wawe wa kiulola au lazaro na walokole wote waonekane waongowaongo, hawa ndio wamechafua ulokole in short.Haya makanisa yako chini ya TAG?
Jamaa ana akili. Usimwone ana bichwa lenye kona kona kama limao ukamdhania ni kilaza.Hivi ni mwamposa ndo yupo smart au watu ndo wajinga sana..🤔
Jambo dogo sanaRais Samia kushiriki Uzinduzi wa Hema la Mwamposa leo Julai 5, 2025 Viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe - Dar es Salaam.
Sahihi 1,000,000%Huo utakuwa ni ukumbi siyo kanisa.
Hata siku moja, kanisa halifunguliwi bali huwa linawekwa wakfu au linabarikiwa. Na mambo hayo hayafanywi na viongozi wa kisiasa bali wale tu waliowekwa wakfu.
AmenUfalme wa YESU kiristo unajengwa
Inabidi nguvu iliyotumika kupanda huu ujinga ndo itumike kuutoa jamani ni huzuni Kwa kweliMwamposa yupo smart pia watu ni wajinga
Duniani hata familia yako itakutenga ukiwa masikini, u need to have money inorder for u to be a family member in your own familyWananchi wamesalitiwa,walikua wanalalamika njia imezibwa,sehemu ya watoto kucheza imechukuliwa,miundombinu ya maji imeharibiwa leo Rais anahusika na uzinduzi ama kweli maskini hana chake
yule ni mlutheri mwenye huduma yake inayojitegemea ya ManaMwl Mwakasege , ana kanisa kubwa balaa pale Dodoma ,ila mzee wa watu katulia sana hanaga makeke, sasa hawa wa juzi ,utawashangaq
Sishangai, ndege wanaofanana huruka pamoja. Amekuwa mtu wa kushiriki katika mambo madogo madogo kama matamasha ya muziki, tuzo za wasanii na wachekeshaji, na kampeni zisizo na uzito wa kitaifa kama 'Kitumbua cha Mama' au 'Mama Ongea na Mwanao'. Kuanzia kampeni za nishati safi ya kupikia hadi kupokea tuzo zisizo na mchango wa moja kwa moja kwa masuala nyeti ya taifa, amekuwa akionesha mwelekeo wa kutanguliza maigizo badala ya majukumu ya msingi. Kwenye matukio ya kitaifa yenye umuhimu mkubwa, amekuwa akionekana kuyumba katika hotuba zake, jambo linalodhihirisha udhaifu wake katika kuchakata na kuelewa taarifa nyeti zinazohusu mustakabali wa nchi.Rais ni mtu mkubwa, hizo petty issues angewatuma hata manaibu waziri, Kuna mambo mengi sana ya kushughulikia katika nchi.
ndio unashangaa leo?Kanisa halizinduliwi bali huwekwa wakfu kwa maombi ya viongozi wa dini ila hii ya wanasiasa na hizi brass band za polisi ndo umemfunua Mwamposa kama mtumishi wa shetani na si wa Mungu.
Tetesi huwa kweli ndiyo kama hivi.ndio unashangaa leo?
Sahihi kabisa.Watu wanatapeliwa kwa kukosa ufahamu.
Waislam nawapendea msimamo.
Hawawezi kuzinduliwa msikiti na Mkristo milele ukiwaacha akina shekhe ubwabwa.
Mwamposa anapotosha sana.
Raisi angefaa kuwa miongoni mwa waalikwa lkn uzinduzi wenyewe ufanywe na makuhani/wachungaji na maaskofu
mfunguliwe macho ya rohoni muwafahamu vema viongozi wenu wa dini ni kina nani hasaTetesi huwa kweli ndiyo kama hivi.