Rais Samia akishiriki Uzinduzi wa Hema la Mwamposa, Julai 5, 2025 Viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe

Inasikitisha mkuu
 
Kweli rais wa nchi unahudhuria ufunguz wa kanisa makanisa yapo meng utaingia mangapi au ndio kampeni kisa mwamposa ana watu
na kutaka kubrainwash watanzania kuhalalisha upuuz wenu wa kufungia makanisa yanayopinga vitendo viovu
 
Rubbish. Je kuna huduma ya hospital au shule hapo?
==
Kanisa la huduma ya Arise & Arise limezindua Hema lililogharimu jumla ya TZS15bn na kuajiri wafanyakazi 1,000 kabla na Wakakti wa Ujenzi wake.
Wenye akili wamemtenga ndio maana anatafuta matapeli wa kupiga nao picha
Hivi ni mwamposa ndo yupo smart au watu ndo wajinga sana..[emoji848]
Laiti ningemjua mganga wake nami ningefungua kanisa langu.
 
Sijawahi kuona serikali ikihudhuria matukio ya makanisa yasiyo ya kikatoliki na kilutheri, ndio nimeona leo kwa mwamposa
 
==
Kanisa la huduma ya Arise & Arise limezindua Hema lililogharimu jumla ya TZS15bn na kuajiri wafanyakazi 1,000 kabla na Wakakti wa Ujenzi wake.
Ivi kanisa hili limejengwa katika eneo la zamani la kiwanda kilichokufa, Tanganyika Packers, ambacho kilikuwa kiwanda cha kusindika nyama nchini !?. Anyway, kwa mtazamo wangu, haya yote ni viwanda tu vya aina tofauti. Kiwanda hiki kipya ni cha kukusanya fedha kutoka kwa watu wasiojiuliza mara mbili. Unfortunately, kimefunguliwa rasmi na Rais wa nchi.
 
Hivi imekuwaje akaruhusiwa kujenga kanisa kwenye Ardhi ambayo ni Mali ya Serikali.
Au serikali imemkodishia ?
 
==
Kanisa la huduma ya Arise & Arise limezindua Hema lililogharimu jumla ya TZS15bn na kuajiri wafanyakazi 1,000 kabla na Wakakti wa Ujenzi wake.
Weka picha basi au video tuone huo uzinduzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…