Rais Samia akutana na Baraza la Maaskofu (TEC), Kilaini aelezea Historia yake na utaifishaji wa mashule 1970

Aisee mwendazake kweli alizingua yani naona nyaisonga analalamika mbele ya mama rais Samia kwamba kanisa likipata hasara Sana kwenye taasisi zake za elimu nk. Aisee yani mwendazake Basi tu.
 
Kanisa ni moja tu katoliki Takatifu na la Mitume
Lakini limeacha ukweli wa biblia linafundisha mapokeo.Yesu alitabili mbwa mwitu wataingia kundini na kulivuluga kanisa ndiyo matokeo ya kuibuka kwa UProtestant Rafiki fikilia vizuri na jinfunze usikae ndani ya box
 
Umeandika Pumba tupu
 
"Wewe ndiye Petro,Na juu ya jiwe hili nitalijenga kanisa langu"
ooh kwahiyo petro ndiyo badala ya Yesu? nilidhani kanisa linajengwa juu ya msingi ambae ni yesu kristo kumbe limejengwa juu ya mwandamu petro! Ukristo hovyo kabisa huo bora kuwa mpagani tu
 
Meko atakufa na mtu. Yale magoti yote Yale??????. Kweli naanza kuamini majaribu ya Yesu pale mlimani yalikuwa mgumu.

Tunapofanya Toba tutafakari na matendo yetu. Asante.
 
Yule kwa Imani ya kikristo alipaswa KUTENGWA.
Walimheshimu usoni rohoni hawakuwa pamoja naye,Sifa ya viongozi wa dini waliosoma phylosoph huwa hawabishani kwa mtu asiyeshaulika.
Wangelazimisha angeua wengi kwa siri kupitia mamlaka.

Fikiri leo SAMIA kapewa risala nzito,then kikao cha ndani(siri) na maaskofu.
"YULE ALIKUWA MUUMINI KAIDI"kwa mwavuli wa Amani
 
Hakuwa Mkristo bali aliingia kanisani kupiga picha.
Mkristo halisi ni lazima aiishi sala ya Bwana.Yaani Baba yetu uliye mbinguni.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…