MTK
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 8,924
- 6,854
Novena za kutosha siku 9/9!!!Halafu alikuwa anawaambia mniombee no wonder walimwombea kweli hajamaliza 10yrs.Usicheze na taasisi za dini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Novena za kutosha siku 9/9!!!Halafu alikuwa anawaambia mniombee no wonder walimwombea kweli hajamaliza 10yrs.Usicheze na taasisi za dini
Nyau wewe!Kitendo Cha Rais Samia kukutana na viongozi wa kanisa katoliki pekee ni cha kibaguzi sana Rais anahubiri haki huku akijua kuwa tabia aliyoianzisha ya kuwagawa Watanzania kwa imani ya Dini zao si cha kiungwana Tanzania ina madhehebu mengi sana kwa nn ukutane na dhehebu moja tu uyaache mengine huo sio ubaguzi? najitahidi sana kulazimisha kukupicgis debe lkn dah yataka moyo kwa hiyo utakutana na wasabato, Walutheri, waanglikani, PAG, Washia wasuni hapana umekosea sana
Hata kumbu kumbu hana. Alisha kutana pia na viongozi wa dini zote pale dodoma.Umesahau alipokutana na Viongozi wa BAKWATA wakaomba tende ziondolewe kodi kipindi cha mfungo?
Acha kulia lia......Kitendo Cha Rais Samia kukutana na viongozi wa kanisa katoliki pekee ni cha kibaguzi sana Rais anahubiri haki huku akijua kuwa tabia aliyoianzisha ya kuwagawa Watanzania kwa imani ya Dini zao si cha kiungwana Tanzania ina madhehebu mengi sana kwa nn ukutane na dhehebu moja tu uyaache mengine huo sio ubaguzi? najitahidi sana kulazimisha kukupicgis debe lkn dah yataka moyo kwa hiyo utakutana na wasabato, Walutheri, waanglikani, PAG, Washia wasuni hapana umekosea sana
Hakuna Dhehebu lenye nguvu katika Tawala za Kisiasa za Tanzania kama la Katoliki.Kitendo Cha Rais Samia kukutana na viongozi wa kanisa katoliki pekee ni cha kibaguzi sana Rais anahubiri haki huku akijua kuwa tabia aliyoianzisha ya kuwagawa Watanzania kwa imani ya Dini zao si cha kiungwana Tanzania ina madhehebu mengi sana kwa nn ukutane na dhehebu moja tu uyaache mengine huo sio ubaguzi? najitahidi sana kulazimisha kukupicgis debe lkn dah yataka moyo kwa hiyo utakutana na wasabato, Walutheri, waanglikani, PAG, Washia wasuni hapana umekosea sana
lakini lazima kodi ilipwe...Unataka hospital iendeshwe Kama madrasa ?
Shule iendeshwe Kama mikutano ya hadhara?
Kuna costs za uendeshaji.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Hakuna Dhehebu lenye nguvu katika Tawala za Kisiasa za Tanzania kama la Katoliki.
Ukitaka Kuongoza vyema shikamana vizuri na Kanisa Katoliki kwani wana ushawishi mkubwa.
Na hata huko CCM kwenyewe wanajua kuwa wakimteua Mgombea Urais Mkristo basi ni lazima awe Mkatoliki.
Marais wote wa Kiislamu nchini Tanzania nao hulazimika Kulikumbatia Kanisa Katoliki na kuna muda hadi baadhi ya Maelekezo ya namna ya Kuongoza hutoka Kwao.
Mwisho ushawishi mkubwa lililonalo Ksnisa Katoliki nchini ni kwamba pia ndiyo Dhehebu lenye Rasilimali za Kutosha, limejikita katika nyanja mbalimbali muhimu katika Jamii kubwa ya Watanzania na pia ndiyo Dhehebu ambalo Kiasili si tu lina Wasomi wengi nchini bali pia ndiyo Dhehebu lenye Watu Intelligent and Critical Thinkers sana.
Pole kwa Kulichukia Kanisa Katoliki ila umelikuta na utaliacha ila cha msingi tu na Wewe badili Dini au Dhehebu na uje kuwa Mkatoliki kama Sisi Wengine nakuhakikishia hutojutia na hata Uwezo wako wa Akili utaongezeka kwakuwa huku kuna 'Geniuses' tupu hadi raha.
Nilipozaliwa GENTAMYCINE na kujikuta ni Mkristo tena wa Dhehebu 'tukuka' la Katoliki nilifurahi mno na bahati nzuri hata Elimu yao yenye Uthamani wa Kipekee Ubongoni nilianza kuipatia pale St. Peters Kindagarten School Oysterbay na Kuimalizia katika Chuo Kikuu Bora chenye Wahadhiri 'very Brainy' cha SAUT Mwanza ambacho hakiishii tu kutoa Taaluma Bora kwa Mwanafunzi bali pia kinamfanya 'Candidate' wake awe 'Thinker' katika Jamii na Taifa kutokana na Mawazo yake.
Karibu sana huku 'Ukatolikini' hutojuta.
"MUNGU FUNDI UJUE"in Kipozeo"s voice[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Acha unafiki wewe toka lini MWENDAZAKE MASALIA, akampenda Mama Samia?kuna mtu aliyewagawa WaTz, kama mwendazake(shame on u), kilio walichotoa leo hao TEC, ndio kilio cha madhehebu yote, tena inawezekana kwa wengine huko ndio msiba kabisa!!ila jamaa hakuwa na roho za ubinadamu kabisa, eti niombeeni , daaa!!hao unaowaomba wakuombee kumbe vituko unavyowafanyia, KIBWENGO asubiri!!!MUNGU FUNDI
Hivi hii takataka muraga iko wapi siku hizi??Unategemea jema gani kutoka kwa sukumagang hasa watu kama Muraga?
Sawa Papa mtarajiwaWakatoliki Wana hospital 60 Tena kubwa na ziko vijiji. Vituo vya afya 128 na dispensary zaidi ya 1000 kwa kwa mchango huu nchini. Rais akiitwa hawezi kukataa
Unaonyesha jinsi gani usivyo na akili kufikiri kila mtu humu ni msabato.Wewe umekaririshwa nini na mama Elen G White?
Uliotukuka kabisa Mkuu ila wasitununie.[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Katika ubora wako, bravo.
Tumsifu Yesu Kristu....Sawa Papa mtarajiwa
Jadili hoja iliyoko mezani. Acha kujadili mtu aliekufa.Acha unafiki wewe toka lini MWENDAZAKE MASALIA, akampenda Mama Samia?kuna mtu aliyewagawa WaTz, kama mwendazake(shame on u), kilio walichotoa leo hao TEC, ndio kilio cha madhehebu yote, tena inawezekana kwa wengine huko ndio msiba kabisa!!ila jamaa hakuwa na roho za ubinadamu kabisa, eti niombeeni , daaa!!hao unaowaomba wakuombee kumbe vituko unavyowafanyia, KIBWENGO asubiri!!!MUNGU FUNDI