Rais Samia akutana na Baraza la Maaskofu (TEC), Kilaini aelezea Historia yake na utaifishaji wa mashule 1970

Kitendo Cha Rais Samia kukutana na viongozi wa kanisa katoliki pekee ni cha kibaguzi sana Rais anahubiri haki huku akijua kuwa tabia aliyoianzisha ya kuwagawa Watanzania kwa imani ya Dini zao si cha kiungwana Tanzania ina madhehebu mengi sana kwa nn ukutane na dhehebu moja tu uyaache mengine huo sio ubaguzi? najitahidi sana kulazimisha kukupicgis debe lkn dah yataka moyo kwa hiyo utakutana na wasabato, Walutheri, waanglikani, PAG, Washia wasuni hapana umekosea sana
Nyau wewe!
 
Acha kulia lia......
kumbe una akili ndogo kiasi hiki
 
Rais angekuwa mgalilaya si ungejinyonga....😆😆😆😆😆😆
 
Kitendo Cha Rais Samia kukutana na viongozi wa kanisa katoliki pekee ni cha kibaguzi sana Rais anahubiri haki huku akijua kuwa tabia aliyoianzisha ya kuwagawa Watanzania kwa imani ya Dini zao si cha kiungwana Tanzania ina madhehebu mengi sana kwa nn ukutane na dhehebu moja tu uyaache mengine huo sio ubaguzi? najitahidi sana kulazimisha kukupicgis debe lkn dah yataka moyo kwa hiyo utakutana na wasabato, Walutheri, waanglikani, PAG, Washia wasuni hapana umekosea sana
Hakuna Dhehebu lenye nguvu katika Tawala za Kisiasa za Tanzania kama la Katoliki.

Ukitaka Kuongoza vyema shikamana vizuri na Kanisa Katoliki kwani wana ushawishi mkubwa.

Na hata huko CCM kwenyewe wanajua kuwa wakimteua Mgombea Urais Mkristo basi ni lazima awe Mkatoliki.

Marais wote wa Kiislamu nchini Tanzania nao hulazimika Kulikumbatia Kanisa Katoliki na kuna muda hadi baadhi ya Maelekezo ya namna ya Kuongoza hutoka Kwao.

Mwisho ushawishi mkubwa lililonalo Ksnisa Katoliki nchini ni kwamba pia ndiyo Dhehebu lenye Rasilimali za Kutosha, limejikita katika nyanja mbalimbali muhimu katika Jamii kubwa ya Watanzania na pia ndiyo Dhehebu ambalo Kiasili si tu lina Wasomi wengi nchini bali pia ndiyo Dhehebu lenye Watu Intelligent and Critical Thinkers sana.

Pole kwa Kulichukia Kanisa Katoliki ila umelikuta na utaliacha ila cha msingi tu na Wewe badili Dini au Dhehebu na uje kuwa Mkatoliki kama Sisi Wengine nakuhakikishia hutojutia na hata Uwezo wako wa Akili utaongezeka kwakuwa huku kuna 'Geniuses' tupu hadi raha.

Nilipozaliwa GENTAMYCINE na kujikuta ni Mkristo tena wa Dhehebu 'tukuka' la Katoliki nilifurahi mno na bahati nzuri hata Elimu yao yenye Uthamani wa Kipekee Ubongoni nilianza kuipatia pale St. Peters Kindagarten School Oysterbay na Kuimalizia katika Chuo Kikuu Bora chenye Wahadhiri 'very Brainy' cha SAUT Mwanza ambacho hakiishii tu kutoa Taaluma Bora kwa Mwanafunzi bali pia kinamfanya 'Candidate' wake awe 'Thinker' katika Jamii na Taifa kutokana na Mawazo yake.

Karibu sana huku 'Ukatolikini' hutojuta.
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Katika ubora wako, bravo.
 
Hilo la kukutano na TEC kawaida maana tayari viongozi wa dini kiujumla alikutana nao pale Chimwaga UDOM ,, hata wengine walokole, wasabato, walutheli , walohinja, waganga, washia, wasuni, wabudha, wayahudi, naamin atakutana nao kwa nyakati tofauti ,Hilo halina shaka nchi hii huwezi kuiongoza bila kuwa karibu na viongozi wa dini, Mfano kulingana Tangazo la TBC mwaka 2012 asilimia 70% ya watanzania ni wakristo na 30% ni waislamu japo aliyetoa huo mchanganuo alishambuliwa Lakin uhalisia ndo huo.Sasa wawezaje kuongoza nchi bila hao mabwana.
 
Acha unafiki wewe toka lini MWENDAZAKE MASALIA, akampenda Mama Samia?kuna mtu aliyewagawa WaTz, kama mwendazake(shame on u), kilio walichotoa leo hao TEC, ndio kilio cha madhehebu yote, tena inawezekana kwa wengine huko ndio msiba kabisa!!ila jamaa hakuwa na roho za ubinadamu kabisa, eti niombeeni , daaa!!hao unaowaomba wakuombee kumbe vituko unavyowafanyia, KIBWENGO asubiri!!!MUNGU FUNDI
"MUNGU FUNDI UJUE"in Kipozeo"s voice[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Wakatoliki Wana hospital 60 Tena kubwa na ziko vijiji. Vituo vya afya 128 na dispensary zaidi ya 1000 kwa kwa mchango huu nchini. Rais akiitwa hawezi kukataa
 
Acha unafiki wewe toka lini MWENDAZAKE MASALIA, akampenda Mama Samia?kuna mtu aliyewagawa WaTz, kama mwendazake(shame on u), kilio walichotoa leo hao TEC, ndio kilio cha madhehebu yote, tena inawezekana kwa wengine huko ndio msiba kabisa!!ila jamaa hakuwa na roho za ubinadamu kabisa, eti niombeeni , daaa!!hao unaowaomba wakuombee kumbe vituko unavyowafanyia, KIBWENGO asubiri!!!MUNGU FUNDI
Jadili hoja iliyoko mezani. Acha kujadili mtu aliekufa.

Halafu jambo la pili, kifo ni jambo la kila mtu. Ni mtu taahira tu atafurahia kifo cha mtu mwingine maana hata wewe utakufa. Kwa hiyo wewe ukifa Mungu atakua sio fundi ama atakua fundi maiko? Ama huo ufundi wa mungu uko kwenye kifo cha Magufuli tu ila wengine wakifa anakua sio fundi?

Ni mtu asie na akili tu anaweza kujadili mtu aliekufa.
 
Back
Top Bottom