Rais Samia akutana na Mwalimu Wake aliyemfundisha Chuo kikuu cha Mzumbe Mwaka 1983-1986

Waalimu wangu wa chuo sitaki hata kuwaona wajinga wale.

Walikua wanagawa maksi kwa machawa wao na wanafunzi wa kike waliokuwa wanatembea nao.
hivi ulimaliza chuo kweli kwa Sup zile, dah πŸ’

au hata ulivyoenda kusapua ukakamatwa tena?

ila Tatizo haiku walimu gentleman, ni wewe mwenyewe ndio ulikua issue πŸ’
One mjinga mwingine huyu.

Mmekusanyana wote kutembelea nyota za wengine.

Hapo ulipo unategemea unitukane ili upate ujiko. Fala mzee wewe. Fanya mambo yako achana na mimi.
kimaadili ni laana kutukana mtu mwenye mihemko, mapengo na upara kama inavyoonekana kwenye avatar yako πŸ’
 
Luca na wewe ni mashoger.

Hizi tuhuma zipo kwenye dawati letu.
 
Luca na wewe ni mashoger.

Hizi tuhuma zipo kwenye dawati letu.
Ni lazima upate ukichaa maana naona akili imekuruka na kukutoka kabisa na kubakia ukiropoka hovyo hovyo kama toto lililokosa malezi ya wazazi wake
 
ni lazima ungedisco tu hata ungepelekwa chuo gani kusoma 🀣
Kwanza linge disco mwaka wa kwanza na awamu ya kwanza kwa kupata supp katika masomo yote.kwanza sizani hata kama lingepata marks za kuliwezesha kuingia kwenye mtihani wa mwisho.maana lipo lipo tu.
 
..halafu hata hajataja majina ya hao waalimu.

..nchi hii tunatukuza sana wanasiasa na kusahau utumishi uliotukuka wa wengine wote.

..ukitaka kulijua hilo angalia jinsi SIKUKUU YA MASHUJAA inavyodogoshwa.
We kushoto kwa ni Dr Stella Malangalila mwanafunzi mwenzie na Samia enzi hizo na wa kulia Prof SabiΓ±a Gelleja ambaye ndiye aliyemfundisha Rais Samia
 
Kwa tabia za hovyo za Machadema wanaweza kuchukia 😁😁
 
Kwanza linge disco mwaka wa kwanza na awamu ya kwanza kwa kupata supp katika masomo yote.kwanza sizani hata kama lingepata marks za kuliwezesha kuingia kwenye mtihani wa mwisho.maana lipo lipo tu.
kana mihemko kweli, halafu hakana hoja wala mawazo mbadala, kana babaika tu 🀣

pole pole akiacha kiburi na mihemko, anaweza kujifunza mambo muhimu yakamsaidia πŸ’
 
Hapo mmoja atakuwa amebubujikwa na machozi ya furaha πŸ€ πŸ™ŒπŸ‘
 
Tunamshukuru pia Mzee Wetu Hebel Mwashambwa,,Kwa Kufanyika kwako!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…