Mwabukusi ni NCCRPamoja na kuwa ni Rais wa chama cha wanasheria lkn Rais Mwabukusi ni mfuasi wa chadema, ameenda kumtetea mhalifu aliyetaka kuharibu amani ya nchi kupitia mgongo wa TLS.
Mmechelewaaaaaaaaaaa
Mwanzo wa mwisho
Kiukweli sikuisoma hizo za mwenyezi nilipo angalia hizo picha. Sijui kwa nini macho yangu yaliishia kwa huyo mgeni. Ngoja nisome tena nimwangalie mwenyeji.!Sura ya mwenye ofisi pia inanena mengi.
Hakuna jipya hapo, ni story zile zile za kutaka rais asujudiwe.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma, tarehe 27 Agosti, 2025.
View attachment 3455282View attachment 3455283
Angekuwa mbowe gerezani na yeye anfeitwa. Lissu hataki mambo ya gizani hawezi kumuitaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma, tarehe 27 Agosti, 2025.
View attachment 3455282View attachment 3455283
Sawa kila la heri mkuu.Unazungumza kwa uchungu tu, bila kunuia unacho kiandika. Inaeleweka.
Sasa elewa kwamba mapambano ndiyo kwanza yanaanza. Jitoe huko kwenye uchungu usio kusaidia kitu chochote.
Mwabukusi hajawahi kuwa mwanachama wa Chadema wacha uongo huyu alikuwa NCCR Mageuzi na baadaye akawa kwenye taasisi ya Sauti ya WatanzaniaPamoja na kuwa ni Rais wa chama cha wanasheria lkn Rais Mwabukusi ni mfuasi wa chadema, ameenda kumtetea mhalifu aliyetaka kuharibu amani ya nchi kupitia mgongo wa TLS.
Mmechelewaaaaaaaaaaa
Hapana.Sura ya mwenye ofisi pia inanena mengi.
Acha hizo, hiyo SI sura ya ukarimu kwa mgeni!Hapana.
Sijaona chochote zaidi ya mwenyeji kumwacha mgeni ajirusherushe kama maharage yanayopikwa!
Ninachoona ni Mwenyeji kumpima mgeni wake kama kajaa vizuri kwenye mizani yake. Too bad!
Hatutashangaa kushupsza shingoMkuu vipi ikiwa kinyume chake!?
Ubabe wote wa mwabukusi kumbe hamna hamna ni kilele tu walisema wao ni wanasheria kumbe madem tu
USSR
Tusimuhukumu kabla ya kuona matunda ya mkutano wake! Huyu Malafyale hawezi kuwa msaliti ; ametulia baada ya kujiridhisha kuwa rafiki yake mdude bado yuko hai!Nami nimesoma hizo picha.
Sikupenda ufara huo. Matumaini yangu ni kuwa ni tofauti na yailyo zungumzwa.
Huyu Bwana kwa kelele zake nyingi ameaminisha watu kuwa ni mtu mwenye msimamo unao eleweka; lakini 'pose' za namna ile zinazungumza vingine kabisa.
Tundu Lissu hawezi kusimama namna hiyo; Mwalimu Nyerere asingeweza kuonyesha kujitweza kwa yeyote jinsi alivyoonyesha huyu bwana.
Na hasa, kumbuka, hata Mdude bado hatujui yuko wapi!
Picha mbaya kabisa.
Nitashangaa sana kama humjui Bi. Chura Kiziwi hadi sasa.Acha hizo, hiyo SI sura ya ukarimu kwa mgeni!
Tumeishi na Bi. Chura Kiziwi miaka yote hii, utashindwaje kujuwa ufundi wake wa kufanya maigizo?Acha hizo, hiyo SI sura ya ukarimu kwa mgeni!