Rais Samia akutana na rais wa TLS, Mwabukusi - Ikulu ya Chamwino Dodoma

Kwa jinsi navyomuona Mwabukusi, hata kama analambishwa asali lakini si yeye anayeanzisha ombi la asali bali analazimishwa kulamba asali.

Namanisha, kuna watu wakienda sehemu ni kujichekesha chekesha na kunawa mikono na kusifia sifia mwisho wa siku wanaomba asali.

Kwa Mwabukusi inaweza kuwa tofauti kidogo, akienda sehemu lazima atoe changamoto bila kuomba asali, labda wao wenyewe ndio waanze kumbembeleza na vitisho juu. Katika hali ya kawaida, anachukua asali huku akipiga mkwara kwa sababu ni ngumu kushindana na chama tawala kinachomiliki dola. Ni mtu mmoja tu Tanzania anayeweza kugomea asali.
 
Tusimuhukumu kabla ya kuona matunda ya mkutano wake! Huyu Malafyale hawezi kuwa msaliti ; ametulia baada ya kujiridhisha kuwa rafiki yake mdude bado yuko hai!
Mimi sijahukumu chochote mkuu 'Ndinani'. Nasoma tu na kutafsiri ninacho kisoma hapo.
Ndiyo, kutokana na historia yake, ninayo matumaini kwamba ameongea mambo ya muhimu kuliko haya ya kusoma picha zinavyo onyesha.

Naamini kuwa hawezi kutoka kwenye mazuungumzo hayo bila ya kuzungumzia swala la Tundu Lissu. Kamwe siamini kuwa hilo linawezekana. Labda awe mwigizaji, kama alivyo huyo mwenyeji wake, jambo ambalo siamini.
 
Tungepata picha straight ungekubaliana NAMI,

Tatizo picha ni ya upande.
 
Huyu Mama sasa kaona maji yanazidi unga ndio maana anakubali kukutana na watu tena bila mashariti.

Kwa aliyotamka jana Rais wa TLS, angemuwekea kinyongo na wala asingekubali kukutananae.

Unaomba kikao na Rais Leo, kesho unakutananae!

Si bure hapa.
Ila nyumbu aisee, Kila mtu analofanya lazima mje na ujinga ujinga wenu.......akikaa kimya mmenena, akiongea mnanena pia.
 
Kuna movi
Kuna movie inaandaliwa ili nzi wa kijani waanze kudemka kuwa "mama ni msikivu".
 
. Ni mtu mmoja tu Tanzania anayeweza kugomea asal
Siyo kweli. Wapo waTanzania chungu nzima wasiokuwa tayari kujiuza na kuuza taifa lao kwa njia za kilaghai hivyo. Nihesabu miongoni mwa hao.
 
Haja toa tamko lolote baada ya mazungumzo yao. Inawezekana wamekubaliana akae kimya mpaka utekelezaji utakapofa nyika wa hayo waliozungumza!
 
Huyu Mama sasa kaona maji yanazidi unga ndio maana anakubali kukutana na watu tena bila mashariti.

Kwa aliyotamka jana Rais wa TLS, angemuwekea kinyongo na wala asingekubali kukutananae.

Unaomba kikao na Rais Leo, kesho unakutananae!

Si bure hapa.
Unajuaje kaomba Jana....haya mambo ya Dunia ya Tatu ni magumu,kuyatabiri!
 
Na askofu wa Jimbo kuu tabora alikuwepo ku-bargain,novena chali
Wewe utakuwa ni mgonjwa wa akili kuhusu haya maswala ya kidini.
Hii siyo kawaida. Mumngu wako ndivyo kakupa majukumu ya kumtumikia kwa njia za aina hii?
 
Tapeli wa Siasa
ZZK angetamani awe yeye
 
Huyu Mama sasa kaona maji yanazidi unga ndio maana anakubali kukutana na watu tena bila mashariti.

Kwa aliyotamka jana Rais wa TLS, angemuwekea kinyongo na wala asingekubali kukutananae.

Unaomba kikao na Rais Leo, kesho unakutananae!

Si bure hapa.
CCM na taasisi za serekali yao, si wa kuwaamini kabisa mpaka watende. Angalia msajiri alichofanyiwa ACT. Kakaa na utetezi wao kwa zaidi ya siku 10 bila kutoa uamuzi. Dakika za lala salama yahani masaa machache kuelekea urejeshaji wa form ndoa katangaza kuwa mgombea wao jana sifa!.
Ingawa ACT wameahidi kwenda mahakamani, binafsi sioni mahakama iliyo huru ya kusimamisha mchakato wa uchaguzi unaoendelea ili kuruhusu ufumbuzi wa zengwe la ACT.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…