Rais Samia akutana na rais wa TLS, Mwabukusi - Ikulu ya Chamwino Dodoma

Unategemea matunda gani? Hamuwajui vizuri hao watu nyie
 
Uchaguzi gani Tena ?
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma, tarehe 27 Agosti, 2025.
#haijapatakutokea
#Tukawashangaze
 

Attachments

  • VID-20250827-WA0212(1).mp4
    16.4 MB
Mwanzo wa mwisho
Hivi wewe ndugu yangu mbona uko kimya sana siku hizi tofauti na wakati ule dr. Slaa anagombea? njoo utoe nasaha zako humu walau ,mara moja kwa wiki au share zile linki zako za KLH News - Kijijini leo hii.. humu ndani.
 
ANGEKUWA MAGUFULI ANGEFUNGA MILANGO NA KATU ASINGEKUBALI KUSHIKANA MIKONO NA WANAOMTUKANA. NAAMINI KUWA UKIWA MAMA UNAKUWA NA UBINADAMU WA UPEKEE SANA...UNAKUWA MVUMILIVU NA WATOTO WENYE MAUDHI NAO UNAWAPA FUNGU LAO.
 
Hakuna jipya hapo,
Ninakubaliana na haya maneno; kwa masikitiko makubwa.
Samia na Genge lake wamekwisha hitimisha, liwalo na liwe.

Kumkaribisha na kumsikiliza Mwabukusi hakutaleta mabadiliko yoyote katika mipango ya uhujumu wa katiba ya nchi hii kuhusu uchaguzi Oktoba.
Swala hili wamekwisha lihitimisha, kilicho baki ni kutimiza tu mipango yao ya kunajisi nchi hii.

Kwa hiyo basi, ni wajibu wa wote wasiokubaliana na uovu huu kujipanga na kukataa kwa njia zozote zitakazo wezekana.
WaTanzania sasa ni lazima waondoke kwenye mawazo ya kuwa na matumaini ya kuwepo na mabadiliko kabla ya uchaguzi; sasa ni lazima kuingia kwenye hatua mpya ya kupanga kupambana na hujuma hizi, tokea sasa hadi sijui lini tutakapoweza kupata fursa ya kuleta mabadiliko nchini mwetu.
 
Mwabukusi keshalqmba asali tayari. Yaani ndiyo anarupoti upuuizi huu???!!! Na anajiona kafanya jambo la maana??
 
Huyu Mama sasa kaona maji yanazidi unga ndio maana anakubali kukutana na watu tena bila mashariti.

Kwa aliyotamka jana Rais wa TLS, angemuwekea kinyongo na wala asingekubali kukutananae.

Unaomba kikao na Rais Leo, kesho unakutananae!

Si bure hapa.
unajuaje kama aliyasikia ya mwabukusi
 
..bado Mama anaweza kushupaza shingo.

..Na kumuachia Tundu Lissu haitoshi, kama hataruhusiwa kufanya siasa, na hakutakuwa na MABADILIKO.

..pia kuna watu kama Deus Soka, Mdude Nyagali, nao wanapaswa kutendewa HAKI.
Kitendo cha mama kukutana na Rais wa TLS, mara Kardinali Rugambwa, inaonekana kama wameenda kumuombea Lissu msamaha,,,,, hapa wale wanaoshinikiza Lissu aachiwe bila masharti , kina Gwajima, Humphrey na wapinzani i e chadema hawata shupaza shingo kuwa ni shinikizo lao,,,, dizain kama anataka kuwaprove wrong kumbe nothing,,,,,
 

..amuachie, asimuachie, sidhani kama mtizamo wa wananchi juu yake utabadilika.
 
msamaha kwa kosa lipi
Wanatengeneza mazingira hayo, ili ionekane hawajamwqchia kwa shinikizo bali kuna watu/taasisi zilimuombea msamaha!

Ni ujinga ujinga tu yani !!!!!!

Raisi kwa mwavuli wake, anao uwezo wa kumuamuru DPP afutilie mbali hiyo kesi ya kutengenezwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…