Duc in altum
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 1,781
- 3,591
Binafsi simpendi Samia not personal but kwa vitu vyote anavyofanya kwa watanganyika.
Katoa Toto afya kadi kwa watoto watanganyika
Kaongeza mfumko wa Bei kuanzia nauli, vocha, mafuta,
Shilingi ya Tanzania inazidi kuporomoka kutoka 2200 mwaka 2021 mpaka 2700 mwaka 2024.
Kawawekea matozo ya kila namna watanganyika kwenye Luku, vocha, kutuma pesa au kupokea 10000 unakatwa 1000 kwenye miamala ya simu au kibenk.
Karudisha ile kauli "unanijua mimi nani" vijana kwa sasa makae kwa kutulia mtapigwa bunduki mchana kweupe,
Amehamasisha ufisadi kwa zile kauli za mle kwa urefu wa kamba zenu.
Hapendi kukosolewa. kutekwa, kupotezwa na kuuwawa ni Danika zero