Pre GE2025 Rais Samia ameinunua CHADEMA, maaskofu, wasanii, na wote wenye ushawishi ila bado simpendi mpaka kiama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nampenda kwa ajili ya Allah

Suala la kodi linaumiza sana, hapa nilipo nalipa
1. Kodi ya pango la serikali kila mwisho wa mwezi
2. Kodi ya eneo la serikali kila mwezi
3. Service levy tena ni kubwa
4.Kodi ya takataka
5. Maji
6. Umeme
7. Kurenew leseni kila mwaka

Yote haya ni ya nini! Tena kwa mtu mmoja tu!

Mh Rais naomba utupunguzie matozo yasiyo na maana, hapo ningeomba ibaki tozo ya "unaponunua umeme kwa maana kila mwisho wa mwezi" kama ni 1000/= ama 1500/= zinazobaki futilia mbali.

Mimi ni muislamu, wewe pia ni muislamu na unajua utakuja kuulizwa.

Ni hayo tu!
Hakuna uislamu kwenye tamaa ya madaraka na kula raha za dunia. Huyo bibi yako alishasahau misingi ya uislamu kitambo sana kwa kuendekeza anasa na sifa za kijinga.
 
Binafsi simpendi Samia not personal but kwa vitu vyote anavyofanya kwa watanganyika.
Katoa Toto afya kadi kwa watoto watanganyika

Kaongeza mfumko wa Bei kuanzia nauli, vocha, mafuta,
Shilingi ya Tanzania inazidi kuporomoka kutoka 2200 mwaka 2021 mpaka 2700 mwaka 2024.

Kawawekea matozo ya kila namna watanganyika kwenye Luku, vocha, kutuma pesa au kupokea 10000 unakatwa 1000 kwenye miamala ya simu au kibenk.

Karudisha ile kauli "unanijua mimi nani" vijana kwa sasa makae kwa kutulia mtapigwa bunduki mchana kweupe,
Amehamasisha ufisadi kwa zile kauli za mle kwa urefu wa kamba zenu.

Hapendi kukosolewa. kutekwa, kupotezwa na kuuwawa ni Danika zero
Jana nilikuwa naangalia bank statement yangu,levies za government ni nyingi haswa
 
Nampenda kwa ajili ya Allah

Suala la kodi linaumiza sana, hapa nilipo nalipa
1. Kodi ya pango la serikali kila mwisho wa mwezi
2. Kodi ya eneo la serikali kila mwezi
3. Service levy tena ni kubwa
4.Kodi ya takataka
5. Maji
6. Umeme
7. Kurenew leseni kila mwaka

Yote haya ni ya nini! Tena kwa mtu mmoja tu!

Mh Rais naomba utupunguzie matozo yasiyo na maana, hapo ningeomba ibaki tozo ya "unaponunua umeme kwa maana kila mwisho wa mwezi" kama ni 1000/= ama 1500/= zinazobaki futilia mbali.

Mimi ni muislamu, wewe pia ni muislamu na unajua utakuja kuulizwa.

Ni hayo tu!
Huyu Bibi angekua anamjua Allah asingetoa Toto afya kadi, akaanza kununua magoli ya simba na yanga na kuhonga wasanii
 
Binafsi simpendi Samia not personal but kwa vitu vyote anavyofanya kwa watanganyika.
Katoa Toto afya kadi kwa watoto watanganyika

Kaongeza mfumko wa Bei kuanzia nauli, vocha, mafuta,
Shilingi ya Tanzania inazidi kuporomoka kutoka 2200 mwaka 2021 mpaka 2700 mwaka 2024.

Kawawekea matozo ya kila namna watanganyika kwenye Luku, vocha, kutuma pesa au kupokea 10000 unakatwa 1000 kwenye miamala ya simu au kibenk.

Karudisha ile kauli "unanijua mimi nani" vijana kwa sasa makae kwa kutulia mtapigwa bunduki mchana kweupe,
Amehamasisha ufisadi kwa zile kauli za mle kwa urefu wa kamba zenu.

Hapendi kukosolewa. kutekwa, kupotezwa na kuuwawa ni Danika zero
Utakufa nacho kijiba cha roho.

Kondoo hajifichi
 
Back
Top Bottom