Pre GE2025 Rais Samia ameinunua CHADEMA, maaskofu, wasanii, na wote wenye ushawishi ila bado simpendi mpaka kiama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wewe Bibi unaona ni Sawa kutoa Toto afya kadi badala yake uanze kuwanunua maaskofu na watu wa mipira.
Allah na reasoning ni mbingu na ardhi kama anawataka mtetee waislamu wenzenu hata kama wanakosea
Hufanyi kazi, mbona hata mimi nisiefanya kazi Tanzania nna bima ya NSSF, wmnapoke yeyote yule. Mke, mume na watoto.

Tena na hela yangu nnayolipa inabaki kuwa ni akiba yangu.

Hivi kwanini kwanini kwa kuitwa na wazungu kondoo mmekuwa kondoo iweli kweli?
 
Binafsi simpendi Samia not personal but kwa vitu vyote anavyofanya kwa watanganyika.
Katoa Toto afya kadi kwa watoto watanganyika

Kaongeza mfumko wa Bei kuanzia nauli, vocha, mafuta,
Shilingi ya Tanzania inazidi kuporomoka kutoka 2200 mwaka 2021 mpaka 2700 mwaka 2024.

Kawawekea matozo ya kila namna watanganyika kwenye Luku, vocha, kutuma pesa au kupokea 10000 unakatwa 1000 kwenye miamala ya simu au kibenk.

Karudisha ile kauli "unanijua mimi nani" vijana kwa sasa makae kwa kutulia mtapigwa bunduki mchana kweupe,
Amehamasisha ufisadi kwa zile kauli za mle kwa urefu wa kamba zenu.

Hapendi kukosolewa. kutekwa, kupotezwa na kuuwawa ni Danika zero
Kanunua miili iharibikayo hajanunua mioyo iishiyo
 
CHADEMA bando ipo imara sn, umewahi kuona CCM wanaponda chama kingine tofauti na CDM? Sema CHADEMA wamebanwa na dola
 
Binafsi simpendi Samia not personal but kwa vitu vyote anavyofanya kwa watanganyika.
Katoa Toto afya kadi kwa watoto watanganyika

Kaongeza mfumko wa Bei kuanzia nauli, vocha, mafuta,
Shilingi ya Tanzania inazidi kuporomoka kutoka 2200 mwaka 2021 mpaka 2700 mwaka 2024.

Kawawekea matozo ya kila namna watanganyika kwenye Luku, vocha, kutuma pesa au kupokea 10000 unakatwa 1000 kwenye miamala ya simu au kibenk.

Karudisha ile kauli "unanijua mimi nani" vijana kwa sasa makae kwa kutulia mtapigwa bunduki mchana kweupe,
Amehamasisha ufisadi kwa zile kauli za mle kwa urefu wa kamba zenu.

Hapendi kukosolewa. kutekwa, kupotezwa na kuuwawa ni Danika zero
Wewe ni ccm na jirani yangu mkome
 
Angeinunua Chadema Ally Kibao angeuawa?
 
Back
Top Bottom