Duc in altum
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 1,781
- 3,591
Sasa kwanini alazimishe si akalee wajukuuAnajua hakubaliki na ndio maana anatumia nguvu kubwa kununua watu
Uchu wa madarakaSasa kwanini alazimishe si akalee wajukuu
Hao ni matapeli wa madhabahu sijawahi kuwa chukulia seriousChura Kiziwi, unaopswa kuwachukia zaidi na hata kuwachukulia sheria mkononi ni hao wanao 'nunulika', BTW Hao mnaowaita ma 'baba askofu' ni wahuni tu kama wahuni wengine
Madaraka yanalevya lakini huyu Bibi amezidiUchu wa madaraka
Thubutu labda akate moto, ila hata kama amelazwa atapigia kampeni ICUUzuri hagombei 2025
Watanganyika mnamuelewa huyu bibiBinafsi simpendi Samia not personal but kwa vitu vyote anavyofanya kwa watanganyika.
Katoa Toto afya kadi kwa watoto watanganyika
Kaongeza mfumko wa Bei kuanzia nauli, vocha, mafuta,
Shilingi ya Tanzania inazidi kuporomoka kutoka 2200 mwaka 2021 mpaka 2700 mwaka 2024.
Kawawekea matozo ya kila namna watanganyika kwenye Luku, vocha, kutuma pesa au kupokea 10000 unakatwa 1000 kwenye miamala ya simu au kibenk.
Karudisha ile kauli "unanijua mimi nani" vijana kwa sasa makae kwa kutulia mtapigwa bunduki mchana kweupe,
Amehamasisha ufisadi kwa zile kauli za mle kwa urefu wa kamba zenu.
Hapendi kukosolewa. kutekwa, kupotezwa na kuuwawa ni Danika zero
Naamini hata machawa wake hawezi kumpenda zaidi ya kula hongo za kodi zetuMtanganyika yeyote mwenye akili timamu hawezi kumpenda huyo kikaragosi Kwa mambo yake ya hovyo anayoyafanya.
Huyu Bibi hata kiama sitakuja kumpendaBinafsi simpendi Samia not personal but kwa vitu vyote anavyofanya kwa watanganyika.
Katoa Toto afya kadi kwa watoto watanganyika
Kaongeza mfumko wa Bei kuanzia nauli, vocha, mafuta,
Shilingi ya Tanzania inazidi kuporomoka kutoka 2200 mwaka 2021 mpaka 2700 mwaka 2024.
Kawawekea matozo ya kila namna watanganyika kwenye Luku, vocha, kutuma pesa au kupokea 10000 unakatwa 1000 kwenye miamala ya simu au kibenk.
Karudisha ile kauli "unanijua mimi nani" vijana kwa sasa makae kwa kutulia mtapigwa bunduki mchana kweupe,
Amehamasisha ufisadi kwa zile kauli za mle kwa urefu wa kamba zenu.
Hapendi kukosolewa. kutekwa, kupotezwa na kuuwawa ni Danika zero
Fanya uende hospitali wakupime kama una akiliBinafsi simpendi Samia not personal but kwa vitu vyote anavyofanya kwa watanganyika.
Katoa Toto afya kadi kwa watoto watanganyika
Kaongeza mfumko wa Bei kuanzia nauli, vocha, mafuta,
Shilingi ya Tanzania inazidi kuporomoka kutoka 2200 mwaka 2021 mpaka 2700 mwaka 2024.
Kawawekea matozo ya kila namna watanganyika kwenye Luku, vocha, kutuma pesa au kupokea 10000 unakatwa 1000 kwenye miamala ya simu au kibenk.
Karudisha ile kauli "unanijua mimi nani" vijana kwa sasa makae kwa kutulia mtapigwa bunduki mchana kweupe,
Amehamasisha ufisadi kwa zile kauli za mle kwa urefu wa kamba zenu.
Hapendi kukosolewa. kutekwa, kupotezwa na kuuwawa ni Danika zero
Hatumpendi.Watanganyika mnamuelewa huyu bibi
Yatakapowekwa makosa yako hadharani.... hakika utashindwa rejesha kauli hii.Huyu Bibi hata kiama sitakuja kumpenda