Duc in altum
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 1,781
- 3,591
- Thread starter
-
- #21
Atleast makosa yangu haya athiri watu milion zaidi ya 60, huyu Bibi anatoa bima ya watoto bil 30 alafu ananunua ndege yake kwa bil300Yatakapowekwa makosa yako hadharani.... hakika utashindwa rejesha kauli hii.
Mi nampenda mkuu.... hakuna mkamilifu
Huyu Bibi ni janga la taifaKwenye madini, kuna service levy, TRA nao wameingia n.k.
Hakuhonga watuJPM alisingiziwa mabaya mengi sana
Wewe Bibi wewe huna akili tuache watanganyika na nchi yetuFanya uende hospitali wakupime kama una akili
Hakuna uislamu kwenye tamaa ya madaraka na kula raha za dunia. Huyo bibi yako alishasahau misingi ya uislamu kitambo sana kwa kuendekeza anasa na sifa za kijinga.Nampenda kwa ajili ya Allah
Suala la kodi linaumiza sana, hapa nilipo nalipa
1. Kodi ya pango la serikali kila mwisho wa mwezi
2. Kodi ya eneo la serikali kila mwezi
3. Service levy tena ni kubwa
4.Kodi ya takataka
5. Maji
6. Umeme
7. Kurenew leseni kila mwaka
Yote haya ni ya nini! Tena kwa mtu mmoja tu!
Mh Rais naomba utupunguzie matozo yasiyo na maana, hapo ningeomba ibaki tozo ya "unaponunua umeme kwa maana kila mwisho wa mwezi" kama ni 1000/= ama 1500/= zinazobaki futilia mbali.
Mimi ni muislamu, wewe pia ni muislamu na unajua utakuja kuulizwa.
Ni hayo tu!
Jana nilikuwa naangalia bank statement yangu,levies za government ni nyingi haswaBinafsi simpendi Samia not personal but kwa vitu vyote anavyofanya kwa watanganyika.
Katoa Toto afya kadi kwa watoto watanganyika
Kaongeza mfumko wa Bei kuanzia nauli, vocha, mafuta,
Shilingi ya Tanzania inazidi kuporomoka kutoka 2200 mwaka 2021 mpaka 2700 mwaka 2024.
Kawawekea matozo ya kila namna watanganyika kwenye Luku, vocha, kutuma pesa au kupokea 10000 unakatwa 1000 kwenye miamala ya simu au kibenk.
Karudisha ile kauli "unanijua mimi nani" vijana kwa sasa makae kwa kutulia mtapigwa bunduki mchana kweupe,
Amehamasisha ufisadi kwa zile kauli za mle kwa urefu wa kamba zenu.
Hapendi kukosolewa. kutekwa, kupotezwa na kuuwawa ni Danika zero
Ili kuwa na uhakika, nani kati yenu "ana akili", napendekeza nyote wawili mwende mkapimwe. Kwa sasa hivi naona yeye ana akili kukushinda wewe!Fanya uende hospitali wakupime kama una akili
Ni wakati wake....angeingiza vita nchini na watu kuuawa labda.Atleast makosa yangu haya athiri watu milion zaidi ya 60, huyu Bibi anatoa bima ya watoto bil 30 alafu ananunua ndege yake kwa bil300
Alikuwa ni dhalimu, fullstop.JPM alisingiziwa mabaya mengi sana
Walimu mnamatatizo sana, ngoja tuwasamehe bureNi wakati wake....angeingiza vita nchini na watu kuuawa labda.
Bora dhalimu kuliko huyu bibiAlikuwa ni dhalimu, fullstop.
Huyu bibi ni janga la watanganyikaJana nilikuwa naangalia bank statement yangu,levies za government ni nyingi haswa
Huyu Bibi angekua anamjua Allah asingetoa Toto afya kadi, akaanza kununua magoli ya simba na yanga na kuhonga wasaniiNampenda kwa ajili ya Allah
Suala la kodi linaumiza sana, hapa nilipo nalipa
1. Kodi ya pango la serikali kila mwisho wa mwezi
2. Kodi ya eneo la serikali kila mwezi
3. Service levy tena ni kubwa
4.Kodi ya takataka
5. Maji
6. Umeme
7. Kurenew leseni kila mwaka
Yote haya ni ya nini! Tena kwa mtu mmoja tu!
Mh Rais naomba utupunguzie matozo yasiyo na maana, hapo ningeomba ibaki tozo ya "unaponunua umeme kwa maana kila mwisho wa mwezi" kama ni 1000/= ama 1500/= zinazobaki futilia mbali.
Mimi ni muislamu, wewe pia ni muislamu na unajua utakuja kuulizwa.
Ni hayo tu!
Huyu aende kuwa raisi wa Zanzibar kama anaitaka mno uraisiKwenye madini, kuna service levy, TRA nao wameingia n.k.
Hamna ubora wowote.Bora dhalimu kuliko huyu bibi
Kuongelea Tanganyika ni sawa na kucheza dansi na vipofu, au kufanya debate na marehemu.Wewe Bibi wewe huna akili tuache watanganyika na nchi yetu
Utakufa nacho kijiba cha roho.Binafsi simpendi Samia not personal but kwa vitu vyote anavyofanya kwa watanganyika.
Katoa Toto afya kadi kwa watoto watanganyika
Kaongeza mfumko wa Bei kuanzia nauli, vocha, mafuta,
Shilingi ya Tanzania inazidi kuporomoka kutoka 2200 mwaka 2021 mpaka 2700 mwaka 2024.
Kawawekea matozo ya kila namna watanganyika kwenye Luku, vocha, kutuma pesa au kupokea 10000 unakatwa 1000 kwenye miamala ya simu au kibenk.
Karudisha ile kauli "unanijua mimi nani" vijana kwa sasa makae kwa kutulia mtapigwa bunduki mchana kweupe,
Amehamasisha ufisadi kwa zile kauli za mle kwa urefu wa kamba zenu.
Hapendi kukosolewa. kutekwa, kupotezwa na kuuwawa ni Danika zero
Wewe Bibi unaona ni Sawa kutoa Toto afya kadi badala yake uanze kuwanunua maaskofu na watu wa mipira.Utakufa nacho kijiba cha roho.
Kondoo hajifichi