Pre GE2025 Rais Samia ameinunua CHADEMA, maaskofu, wasanii, na wote wenye ushawishi ila bado simpendi mpaka kiama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Siongelei mimi binafsi, naongelea watoto wa wakulima ambao hawako kwenye huo mfumo wa ajira we kichwa panzi chura, kuwadi wa chura kiziwi.
 
Kwamba Samia kainunua Chadema umeandika Uongo, Vinginevyo hoja yako ilikuwa nzuri sana
Hajainunua yote ila kule kashaweka mfumo wake ambao ndio ulimpeleka abduli kwa lisu ill akahongwe na hao watu inaonekana ni wazito ndio maana lisu hawataji
 
Hajainunua yote ila kule kashaweka mfumo wake ambao ndio ulimpeleka abduli kwa lisu ill akahongwe na hao watu inaonekana ni wazito ndio maana lisu hawataji
Unajaribu kuhalalisha tuhuma zako bila ushahidi wowote
 
Mtanganyika yeyote mwenye akili timamu hawezi kumpenda huyo kikaragosi Kwa mambo yake ya hovyo anayoyafanya.
Kwanini unatusemea wote? Hebu jisemee nafsi yako tu. Ungekuwa na akili timamu ungekuwa unatumia fursa hizi kutengeneza fedha!!
 
Unajaribu kuhalalisha tuhuma zako bila ushahidi wowote
Kwani Lisu ni muongo kusema watu wa chadema walienda na abdul kwake kumhonga !? Na mpaka leo mwenyekiti hajawawafanya chochote wala kuongelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…