Rais Samia amekuwa Rais wa kwanza mwanamke, Makamu wa Rais wa kwanza kurithi Urais

Sasa mkuu kama reality iko hivi kwanini tunapoteza pesa nyingi kwenye kuandaa uchaguzi? Na kwanini vyama vya siasa vinashiriki uchaguzi hali ya kuwa wanajua kabisa haiwezekani kuiondoa CCM madarakani?
Kwa upande wa urais, wapinzani wanashiriki kujifurahisha tuu, ila ubunge, udiwani, na serikali za mitaa ndio stahiki zao.

Kuelekea uchaguzi wa 2020 niliuliza, Kwa kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?

Kwa uchaguzi wa 2025 tumeisha shauri Kama Upinzani unataka mafaniko ya kweli iachane na 2025 lengo liwe 2030

The real chances ni kuanzia 2030!, Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!

P
 
Hayo mawili ya mwanzo yako wazi, ila hili tatu linahitaji watu wenye akili tulivu kulikubali na kulielewa. Hatakuwa rais wa kwaza kushindwa uchaguzi kwani wapo walioshindwa na kuendelea kubaki madarakani. 2015, 2020 ni mifano hai, ila kwa sasa hali imebadilika, atalazimika kukubali na kuyapokea matokeo halali. Tuombe uzima
Ikitokea hiyo nitakula mavi Yako,Samia hawezi shindwa na Vikaragosi wowote
 
Kwa upande wa urais, wapinzani wanashiriki kujifurahisha tuu, ila ubunge, udiwani, na serikali za mitaa ndio stahiki zao.

Kuelekea uchaguzi wa 2020 niliuliza, Kwa kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?

Kwa uchaguzi wa 2025 tumeisha shauri Kama Upinzani unataka mafaniko ya kweli iachane na 2025 lengo liwe 2030

The real chances ni kuanzia 2030!, Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!

P
Ndio maana huwa natilia shaka elimu inayotolewa na baadhi ya vyuo vyetu. Hivi kweli mtu msomi unaamini kuwa 2020 ulifanyika uchaguzi na matokeo tuliyoyangaziwa ni credible?
 
Sometimes mnavilaumu tuu bure vyuo, ni watu tuu wenyewe yaani sisi Watanzania Watanzania ni ignorants au tumelogwa? Oktoba 25, tutafanya informed decision au tutachagua tuu?

Uchaguzi ule ni uchaguzi halali kabisa kwa mujibu wa African democracy ila pia tulitoa ushauri kabla Ombi Maalum, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa 2020, Uendeshwe kwa Ceteris Peribus, Sio Kwa Mutatis Mutandis. Tutabarikiwa! na tukashauri Ushindi mtamu ni ushindani katika uwanja sawa, sio ule wa mezani. Magufuli, kasi yako ni ushindi wa kishindo. Ruhusu ushindani wa haki, sawa na wazi
P
 
Waandishi jitahidini kufanya tafiti ndipo muandike na kutoa ushauri sahihi. Mfano unamshauri vipi chizi kuacha kuokota makopo?
 
Tasnia ya habari Tanzania ni kama Gaza ilivyokaliwa na Israeli.

Israeli wana uwezo wa kuzima maji, umeme na internet.

Hivyo ikiwa vyombo vya habari vyote viko chini ya uangalizi wa wizara ya habari, TCRA na MAELEZO, basi hapo hatuna vyombo huru vya habari.

Pia waandishi wengi wa habari wa sasa wameweka uandishi wa habari na miiko yake, kanuni na miongozo kapuni na wamebaki kuwa chawa na wapokea bahasha za khaki yaitwa “chequebook journalism”.
 
Hayo mawili ya mwanzo yako wazi, ila hili tatu linahitaji watu wenye akili tulivu kulikubali na kulielewa. Hatakuwa rais wa kwaza kushindwa uchaguzi kwani wapo walioshindwa na kuendelea kubaki madarakani. 2015, 2020 ni mifano hai, ila kwa sasa hali imebadilika, atalazimika kukubali na kuyapokea matokeo halali. Tuombe uzima
Kwa muundo wa huu uliopo ni ngumu kuitoa CCM hapo ilipo. Hayo mengine yote uliyoyaandika hapo yatabaki kuwa ni kujifurahisha tu, lakini CCM hawatoki madarakani kwa muundo huu uliopo.

Ova
 
Magufuli alijua atabaki madarakani kwa mda mrefu!
 
Hapa sizungumzi kuhusu mtu, ila nazungumza kuhusu chama. CCM ikimpeleka Mama kwenye uchaguzi Mkuu ni lazima ashinde kutokana na muundo uliopo.

Suala la Mungu kuingillia kati hilo ni jingine na halipo kwenye hoja ya mchango wangu kwe uzi wako.

Ova
 
Kwa kasi hii ya maendeleo huyu mama tuomuongezee miaka anayotaka hapo ikulu.
Acheni kumwita 'mama' mnaendeleza hisia za mfumo dume, inapotokea dosari kwake inavishwa kundi la wanawake badala ya kumtreat kama Rais wa nchi.

Mtuambie, ninyi ndio mnamsanifu, kwa kumwita 'mama' ili kumjengea mtazamo kwamba ni 'dhaifu'.

Nani asiefahamu kwamba Afrika ukisema 'mama' unamuhusianisha na udhaifu, ulegevu na kushindwa kujisimamia mpaka awepo baba?
 
....So long Viongozi wa Vyama mbadala vya Siasa watakuwa tayari kutamka, loud and clear, kwamba, wapo tayari kuachia mirija iliyopachikwa katika kipindi cha miezi 30 iliyopita, including mkataba wa Bandari, basi wataweza.

Zaidi ya hapo, nchi hii inahitaji mapinduzi, nguvu ya Mwananchi kuja kufikia maono ya mleta mada.
 
Kwa upande wa urais, wapinzani wanashiriki kujifurahisha tuu, ila ubunge, udiwani, na serikali za mitaa ndio stahiki zao.

Kuelekea uchaguzi wa 2020 niliuliza, Kwa kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?

Kwa uchaguzi wa 2025 tumeisha shauri Kama Upinzani unataka mafaniko ya kweli iachane na 2025 lengo liwe 2030

The real chances ni kuanzia 2030!, Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!

P
Mawazo yako niyakizamani sana.Endelea kukariri na kujifariji.
 
Waandishi jitahidini kufanya tafiti ndipo muandike na kutoa ushauri sahihi. Mfano unamshauri vipi chizi kuacha kuokota makopo?
Mkuu Gulwa , it's true, no research no right to speak. Mimi kwa upande wangu I did my homework well, siku zote nawaambia watu humu kuwa Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
hawaamini!.

Mtu ukiishamjua ni chizi, usimshauri chochote bali jitahidi tuu kumsitiri.
P
 
Ataondoshwaje ikiwa yeye ana mamlaka 3 ya juu zaidi kikatiba??:-
1. Amiri jeshi mkuu.
2. Mkuu wa nchi (mihimili yote 3 iko chini yake).
3. Mwenyekiti wa chama tawala.

Huyo atakayemuondosha atapitia wapi na atakuwa amekaa wapi?
Hujamwelewa!

Refer Kennedy, JPM n.k

Je mamlaka zao zilizuia kilichowapata!?

Kuna mungu pia na n.k!
 
Back
Top Bottom