- Thread starter
- #61
Hukumsikia katibu wa uenezi?Kwani atagombea ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hukumsikia katibu wa uenezi?Kwani atagombea ?
Hili niliwahi kushauri Kuwa kichaa sio mpaka kuokota makopo! Je, Tanzania tuna vichaa wengi kuliko tunavyojidhania?Kwa mfano tu si lazima kumpima mtu ili kujua kuwa ni kichaa
Sasa mkuu kama reality iko hivi kwanini tunapoteza pesa nyingi kwenye kuandaa uchaguzi? Na kwanini vyama vya siasa vinashiriki uchaguzi hali ya kuwa wanajua kabisa haiwezekani kuiondoa CCM madarakani?Sababu inayoifanya CCM isishindwe ni kwasababu CCM sio tu ni chama tawala, bali pia ni chama Dola! hivyo CCM kutumia Hooks & Crooks Kushinda Chaguzi, Inajua Ikishindwa Ndio Itakufa Jumla, Itakubali?
P
Kwa upande wa urais, wapinzani wanashiriki kujifurahisha tuu, ila ubunge, udiwani, na serikali za mitaa ndio stahiki zao.Sasa mkuu kama reality iko hivi kwanini tunapoteza pesa nyingi kwenye kuandaa uchaguzi? Na kwanini vyama vya siasa vinashiriki uchaguzi hali ya kuwa wanajua kabisa haiwezekani kuiondoa CCM madarakani?
Ikitokea hiyo nitakula mavi Yako,Samia hawezi shindwa na Vikaragosi wowoteHayo mawili ya mwanzo yako wazi, ila hili tatu linahitaji watu wenye akili tulivu kulikubali na kulielewa. Hatakuwa rais wa kwaza kushindwa uchaguzi kwani wapo walioshindwa na kuendelea kubaki madarakani. 2015, 2020 ni mifano hai, ila kwa sasa hali imebadilika, atalazimika kukubali na kuyapokea matokeo halali. Tuombe uzima
Kwa upande wa urais, wapinzani wanashiriki kujifurahisha tuu
Uchawa umekuacha mtupu kichwaniIkitokea hiyo nitakula mavi Yako,Samia hawezi shindwa na Vikaragosi wowot
Ndio maana huwa natilia shaka elimu inayotolewa na baadhi ya vyuo vyetu. Hivi kweli mtu msomi unaamini kuwa 2020 ulifanyika uchaguzi na matokeo tuliyoyangaziwa ni credible?Kwa upande wa urais, wapinzani wanashiriki kujifurahisha tuu, ila ubunge, udiwani, na serikali za mitaa ndio stahiki zao.
Kuelekea uchaguzi wa 2020 niliuliza, Kwa kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Kwa uchaguzi wa 2025 tumeisha shauri Kama Upinzani unataka mafaniko ya kweli iachane na 2025 lengo liwe 2030
The real chances ni kuanzia 2030!, Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!
P
Sometimes mnavilaumu tuu bure vyuo, ni watu tuu wenyewe yaani sisi Watanzania Watanzania ni ignorants au tumelogwa? Oktoba 25, tutafanya informed decision au tutachagua tuu?Ndio maana huwa natilia shaka elimu inayotolewa na baadhi ya vyuo vyetu. Hivi kweli mtu msomi unaamini kuwa 2020 ulifanyika uchaguzi na matokeo tuliyoyangaziwa ni credible?
Waandishi jitahidini kufanya tafiti ndipo muandike na kutoa ushauri sahihi. Mfano unamshauri vipi chizi kuacha kuokota makopo?Sometimes mnavilaumu tuu bure vyuo, ni watu tuu wenyewe yaani sisi Watanzania Watanzania ni ignorants au tumelogwa? Oktoba 25, tutafanya informed decision au tutachagua tuu?
Uchaguzi ule ni uchaguzi halali kabisa kwa mujibu wa African democracy ila pia tulitoa ushauri kabla Ombi Maalum, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa 2020, Uendeshwe kwa Ceteris Peribus, Sio Kwa Mutatis Mutandis. Tutabarikiwa! na tukashauri Ushindi mtamu ni ushindani katika uwanja sawa, sio ule wa mezani. Magufuli, kasi yako ni ushindi wa kishindo. Ruhusu ushindani wa haki, sawa na wazi
P
Tasnia ya habari Tanzania ni kama Gaza ilivyokaliwa na Israeli.Waandishi jitahidini kufanya tafiti ndipo muandike na kutoa ushauri sahihi. Mfano unamshauri vipi chizi kuacha kuokota makopo?
Kwa muundo wa huu uliopo ni ngumu kuitoa CCM hapo ilipo. Hayo mengine yote uliyoyaandika hapo yatabaki kuwa ni kujifurahisha tu, lakini CCM hawatoki madarakani kwa muundo huu uliopo.Hayo mawili ya mwanzo yako wazi, ila hili tatu linahitaji watu wenye akili tulivu kulikubali na kulielewa. Hatakuwa rais wa kwaza kushindwa uchaguzi kwani wapo walioshindwa na kuendelea kubaki madarakani. 2015, 2020 ni mifano hai, ila kwa sasa hali imebadilika, atalazimika kukubali na kuyapokea matokeo halali. Tuombe uzima
Magufuli alijua atabaki madarakani kwa mda mrefu!Kwa muundo wa huu uliopo ni ngumu kuitoa CCM hapo ilipo. Hayo mengine yote uliyoyaandika hapo yatabaki kuwa ni kujifurahisha tu, lakini CCM hawatoki madarakani kwa muundo huu uliopo.
Ova
Hapa sizungumzi kuhusu mtu, ila nazungumza kuhusu chama. CCM ikimpeleka Mama kwenye uchaguzi Mkuu ni lazima ashinde kutokana na muundo uliopo.Magufuli alijua atabaki madarakani kwa mda mrefu!
Acheni kumwita 'mama' mnaendeleza hisia za mfumo dume, inapotokea dosari kwake inavishwa kundi la wanawake badala ya kumtreat kama Rais wa nchi.Kwa kasi hii ya maendeleo huyu mama tuomuongezee miaka anayotaka hapo ikulu.
Mawazo yako niyakizamani sana.Endelea kukariri na kujifariji.Kwa upande wa urais, wapinzani wanashiriki kujifurahisha tuu, ila ubunge, udiwani, na serikali za mitaa ndio stahiki zao.
Kuelekea uchaguzi wa 2020 niliuliza, Kwa kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Kwa uchaguzi wa 2025 tumeisha shauri Kama Upinzani unataka mafaniko ya kweli iachane na 2025 lengo liwe 2030
The real chances ni kuanzia 2030!, Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!
P
Mkuu Gulwa , it's true, no research no right to speak. Mimi kwa upande wangu I did my homework well, siku zote nawaambia watu humu kuwa Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.Waandishi jitahidini kufanya tafiti ndipo muandike na kutoa ushauri sahihi. Mfano unamshauri vipi chizi kuacha kuokota makopo?
Hujamwelewa!Ataondoshwaje ikiwa yeye ana mamlaka 3 ya juu zaidi kikatiba??:-
1. Amiri jeshi mkuu.
2. Mkuu wa nchi (mihimili yote 3 iko chini yake).
3. Mwenyekiti wa chama tawala.
Huyo atakayemuondosha atapitia wapi na atakuwa amekaa wapi?