Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Wacha kujidanganya...Kipindi hiki ndo worse kabisa maana wabunge wote si halali....Ni Bunge gani linaendeshwa na chama kimoja...???angalau kipindi hiki lilikuwa linafufuka lakini limepigwa nyundo moja wooote kimyaaaaa woote chali
Sasa kwani hili bunge limepatikana kipindi cha Samia au kipindi cha Jpm???? Naomba unijibu.Wacha kujidanganya...Kipindi hiki ndo worse kabisa maana wabunge wote si halali....Ni Bunge gani linaendeshwa na chama kimoja...???
ndugai ni mpuuzi fulani ambaye hapaswi kuonewa huruma. Yaani ni mshenzi na nusu amemuzia watu wengi sana.MACHACHE KUHUSU JOB NDUGAI
1. Hakuwa Spika Mtenda Haki.
2. Aliua Ofisi ya Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni.
3. Alifukuza Wabunge wa Upinzani Bungeni kadiri alivyotaka.
4. Alimuita Mbunge aliyejiuzulu Ubunge (Cecil Mwambe) aendelee kukaa bungeni.
5. Aliwaruhusu waendelee kukaa bungeni Wabunge wawili waliofukuzwa uanachama na Kamati Kuu ya Chadema (Lijualikali na David Silinde)
6. Aligoma kuidhinisha fedha za matibabu ya Tundu Lissu
7. Alimfuta Ubunge Tundu Lissu
8. Aliruhusu Watu 19 wasio na vyama kuwapo Bungeni(akina Mdee)
Kipindi ambacho ndugai ameanza kuhoji kuhusu mikopo ni kipindi kifupi sana lakini kipindi hicho ndo kimeonyesha uhai wa Spika wa bunge namna anavyopaswa kuisimamia serikali. Tafuteni video clip nzima ya siku ndugai anasema nchi hii itauzwa. Ukiitizama ile clip yoooooote utamsikia ndugai anaongea vitu very sensitive pamoja na kwamba alikuwa anaongea mambo mengine yalikuwa anaonyesha udhaifu wake lakini alikuwa anaikosoa serikali. Kabla hajazungumzia mikopo alizungumzia tabia ya serikali kuleta miswada ya fasta kipindi cha kuhairisha kikao cha bunge. Yaan siku ya kuhairisha kikao kuna ka neno au kaparagraph kanaletwa kanaharibu sheria au kanuni. Ile siku naweza sema ndugai alisimama kama spika licha ya mapungufu aliyokuwa nayo. Tafuten ile clip muisikilize yooteNi lini bunge lilifufuka? hizo pumba zake Ndugai aliongea bungeni au vichochoroni?
Ndugai alikuwa wa kuungwa mkono!Ndugai alishakubali hilo bunge kuchezewa, na tayari limeshutumiwa sana na kuwa dhaifu. Ila alipotaka kuhoji sasa ndio akaulizwa toka lini amekuwa wa kuhoji? Kwenye hili lilitokea sasa, wa kulaumiwa kabisa ni Ndugai mwenyewe, kwani tayari alishalimaliza bunge mbele ya serikali. Kibaya zaidi hata hayo maoni yake hakitatolea bungeni ambako angeweza kukaa na hizo kinga azitakazo. Kinga ya spika au mbunge ni ndani ya bunge.
Mimi nafurahia aendelee kukanyaga zaidi kwa sababu wanaojitokeza kumkosoa tunawashambulia kwa mawe kwa kuangalia sura zaoTamaa ya Samia kuutaka urais 2025 Kwa gharama yoyote ile italiangamiza Taifa. Na kuhusu Mahakama tayari nayo imeshakanyagwa hasa ukifuatilia mwenendo mzima wa kesi ya ugaidi inayomkabili Mbowe utaona kabisa majaji wanachofanya ni kuhalalisha hukumu ambayo tayari imeshaandikwa kwa matakwa ya mtawala.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Pamoja na udhaifu wake ila alichojaribu kukionyesha ndugai alipaswa kuungwa mkono kwani aliokuwa anatekeleza wajibu wake kama spika kuisimamia serikali. Sema amekumbuka shuka kumekucha na wabunge waliopo hawa akina kigwa akina kibajaji na type zoote ni watu njaaNdugai alikuwa wa kuungwa mkono!
Kama tulikuwa tunalaumu kwamba bunge ni kibaraka wa selikali iweje basi Ndugai alipojaribu kuchomoza makucha tuone anakosea!
Wengi wenu mnashangilia hili mkifikri aliekomolewa ni Ndugai,. Kwani Ndugai atapoteza nini akikosa hiyo nafasi kwa miaka 4 hii?
Hapa bunge ndio limeshambuliwa.
Wajinga hawawezi kuelewa ila baadae sana ndio watakuja kuelewa.
Mstaarabu kubaka bunge?Huyo ndugai angejaribu kufanya alichofanya kipindi cha magufuli huenda saivi angeshakutana na yesu. Mama ni mstarabu sana
Kweli kabisa yule dingi asingempa hata dakika mbili za kujielezaHuyo ndugai angejaribu kufanya alichofanya kipindi cha magufuli huenda saivi angeshakutana na yesu. Mama ni mstarabu sana
Mama anapaua tu bunge aliliua Magufuli na Ndugai siku nyingiHaya yote yanayotokea na kushangiliwa hayana lolote katika ustawi wa Taifa hili.
Tunakwenda kuangamia. Jana/Juzi kitendo cha kumkemea Ndugai hadharani akajiuzulu, maana yake Bunge limesalimu amri kwa Executive. Kinachofuata ni kumalizia Mahakama maana alishaianza kuiua.
Matokeao yake unaweza usiyaone leo, lakini inaweza kuleta hata vita ya wenyewe kwa wenyewe baada ya kuwepo makundi ya KUONEA na KUONEWKun
Kuna makundi yatakataa kuonewa na yataungwa mkono na mataifa yanayo-advocate HAKI.
Tumkemee mtawala huyu! Tupaze sauti kuua Muhumili wa Bunge! pamoja na kuwa Ndugai alkuwa shetani, nunda mla watu.
Duh!!!,Km ana presha, itabidi akae karibu Sana na hospitali awe chini ya uangalizi maalumu.Na huu sio mwisho ni mwanzo tuu watamsagia kunguni kama wote
Dili zake bungeni zitafunuliwa
Tenda zote za bunge alizojimilikisha
Miradi yake yote nje ya bunge
Matumizi mabaya ya madaraka
Kila kitu kitawekwa wazi
Ile clip anasema imetengenezwa, au wewe mwenzetu uko wapi?Kipindi ambacho ndugai ameanza kuhoji kuhusu mikopo ni kipindi kifupi sana lakini kipindi hicho ndo kimeonyesha uhai wa Spika wa bunge namna anavyopaswa kuisimamia serikali. Tafuteni video clip nzima ya siku ndugai anasema nchi hii itauzwa. Ukiitizama ile clip yoooooote utamsikia ndugai anaongea vitu very sensitive pamoja na kwamba alikuwa anaongea mambo mengine yalikuwa anaonyesha udhaifu wake lakini alikuwa anaikosoa serikali. Kabla hajazungumzia mikopo alizungumzia tabia ya serikali kuleta miswada ya fasta kipindi cha kuhairisha kikao cha bunge. Yaan siku ya kuhairisha kikao kuna ka neno au kaparagraph kanaletwa kanaharibu sheria au kanuni. Ile siku naweza sema ndugai alisimama kama spika licha ya mapungufu aliyokuwa nayo. Tafuten ile clip muisikilize yoote
Kwani Huyo mgogo alivyomdiss mama hadharani yeye ana Moyo wa plastic.?acha kukuza mamboHaya yote yanayotokea na kushangiliwa hayana lolote katika ustawi wa Taifa hili.
Tunakwenda kuangamia. Jana/Juzi kitendo cha kumkemea Ndugai hadharani akajiuzulu, maana yake Bunge limesalimu amri kwa Executive. Kinachofuata ni kumalizia Mahakama maana alishaianza kuiua.
Matokeao yake unaweza usiyaone leo, lakini inaweza kuleta hata vita ya wenyewe kwa wenyewe baada ya kuwepo makundi ya KUONEA na KUONEWKun
Kuna makundi yatakataa kuonewa na yataungwa mkono na mataifa yanayo-advocate HAKI.
Tumkemee mtawala huyu! Tupaze sauti kuua Muhumili wa Bunge! pamoja na kuwa Ndugai alkuwa shetani, nunda mla watu.
Hivi si Ndugai anayeishi na Wabunge ''COVID-19'' kinyume na sheria . Nani anaua Bunge!Ndugai alishakubali hilo bunge kuchezewa, na tayari limeshutumiwa sana na kuwa dhaifu. Ila alipotaka kuhoji sasa ndio akaulizwa toka lini amekuwa wa kuhoji? Kwenye hili lilitokea sasa, wa kulaumiwa kabisa ni Ndugai mwenyewe, kwani tayari alishalimaliza bunge mbele ya serikali. Kibaya zaidi hata hayo maoni yake hakitatolea bungeni ambako angeweza kukaa na hizo kinga azitakazo. Kinga ya spika au mbunge ni ndani ya bunge.
MACHACHE KUHUSU JOB NDUGAIWewe ndio wa kwanza toka juzi unashangilia huu ubakwaji wa bunge!
Nlitegemea mimi Ndugai angeungwa mkono lakini wapi.