Rais Samia ameua Mhimili wa Bunge, bado kumalizia wa Mahakama. Haya si ya kushangilia

Rais Samia ameua Mhimili wa Bunge, bado kumalizia wa Mahakama. Haya si ya kushangilia

Wacha kujidanganya...Kipindi hiki ndo worse kabisa maana wabunge wote si halali....Ni Bunge gani linaendeshwa na chama kimoja...???
Sasa kwani hili bunge limepatikana kipindi cha Samia au kipindi cha Jpm???? Naomba unijibu.
Nikuulize kipindi JPM anakopa ni spika gani au ni mbunge gani ulisikia anasema au kutoa kauli. Si afadhali kipindi cha samia ambacho alikopa spika akasimama akatoa kauli yake yalio mkuta ndo hayo. Unadhani ndugai kipindi magufuri anakopa angeweza simama na kuongea alichoongea juzi. Dakika zisingeisha nakwambia. Kingemkuta kitu.
Simtetei samia hali kadhalika simtetei jpm lakini nataka kukwambia mbegu iliyopandwa na CCM ya kufanya siasa za matumbo siasa za kusifia sifia siasa za uwoga kumuogopa rais ni siasa mbaya sana tangu Nyerere hadi samia. Suluhisho hapa ni katiba mpya itakayopunguza madaraka ya Rais.
 
MACHACHE KUHUSU JOB NDUGAI
1. Hakuwa Spika Mtenda Haki.
2. Aliua Ofisi ya Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni.
3. Alifukuza Wabunge wa Upinzani Bungeni kadiri alivyotaka.
4. Alimuita Mbunge aliyejiuzulu Ubunge (Cecil Mwambe) aendelee kukaa bungeni.
5. Aliwaruhusu waendelee kukaa bungeni Wabunge wawili waliofukuzwa uanachama na Kamati Kuu ya Chadema (Lijualikali na David Silinde)
6. Aligoma kuidhinisha fedha za matibabu ya Tundu Lissu
7. Alimfuta Ubunge Tundu Lissu
8. Aliruhusu Watu 19 wasio na vyama kuwapo Bungeni(akina Mdee)
ndugai ni mpuuzi fulani ambaye hapaswi kuonewa huruma. Yaani ni mshenzi na nusu amemuzia watu wengi sana.

Ila hichi kitendo kilichotokea kinatukumbusha umuhimu wa katiba mpya itakayo kuwa na mizania kwenye mihimili yetu.
 
Wewe ndio wa kwanza toka juzi unashangilia huu ubakwaji wa bunge!

Nlitegemea mimi Ndugai angeungwa mkono lakini wapi.
 
Ni lini bunge lilifufuka? hizo pumba zake Ndugai aliongea bungeni au vichochoroni?
Kipindi ambacho ndugai ameanza kuhoji kuhusu mikopo ni kipindi kifupi sana lakini kipindi hicho ndo kimeonyesha uhai wa Spika wa bunge namna anavyopaswa kuisimamia serikali. Tafuteni video clip nzima ya siku ndugai anasema nchi hii itauzwa. Ukiitizama ile clip yoooooote utamsikia ndugai anaongea vitu very sensitive pamoja na kwamba alikuwa anaongea mambo mengine yalikuwa anaonyesha udhaifu wake lakini alikuwa anaikosoa serikali. Kabla hajazungumzia mikopo alizungumzia tabia ya serikali kuleta miswada ya fasta kipindi cha kuhairisha kikao cha bunge. Yaan siku ya kuhairisha kikao kuna ka neno au kaparagraph kanaletwa kanaharibu sheria au kanuni. Ile siku naweza sema ndugai alisimama kama spika licha ya mapungufu aliyokuwa nayo. Tafuten ile clip muisikilize yoote
 
kwani aliye lifanya bunge Liwe kamati ya cam.ni ndugai umesahau ile kauli yake akitaka asitake tutamuongezea muda
 
Ndugai alishakubali hilo bunge kuchezewa, na tayari limeshutumiwa sana na kuwa dhaifu. Ila alipotaka kuhoji sasa ndio akaulizwa toka lini amekuwa wa kuhoji? Kwenye hili lilitokea sasa, wa kulaumiwa kabisa ni Ndugai mwenyewe, kwani tayari alishalimaliza bunge mbele ya serikali. Kibaya zaidi hata hayo maoni yake hakitatolea bungeni ambako angeweza kukaa na hizo kinga azitakazo. Kinga ya spika au mbunge ni ndani ya bunge.
Ndugai alikuwa wa kuungwa mkono!

Kama tulikuwa tunalaumu kwamba bunge ni kibaraka wa selikali iweje basi Ndugai alipojaribu kuchomoza makucha tuone anakosea!

Wengi wenu mnashangilia hili mkifikri aliekomolewa ni Ndugai,. Kwani Ndugai atapoteza nini akikosa hiyo nafasi kwa miaka 4 hii?

Hapa bunge ndio limeshambuliwa.

Wajinga hawawezi kuelewa ila baadae sana ndio watakuja kuelewa.
 
Nimesikitika Sana, Chombo Cha kuwatetea mwananchi ambayo ni Bunge kimepondwa pondwa na Serikali.
 
Tamaa ya Samia kuutaka urais 2025 Kwa gharama yoyote ile italiangamiza Taifa. Na kuhusu Mahakama tayari nayo imeshakanyagwa hasa ukifuatilia mwenendo mzima wa kesi ya ugaidi inayomkabili Mbowe utaona kabisa majaji wanachofanya ni kuhalalisha hukumu ambayo tayari imeshaandikwa kwa matakwa ya mtawala.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Mimi nafurahia aendelee kukanyaga zaidi kwa sababu wanaojitokeza kumkosoa tunawashambulia kwa mawe kwa kuangalia sura zao
 
Ndugai alikuwa wa kuungwa mkono!

Kama tulikuwa tunalaumu kwamba bunge ni kibaraka wa selikali iweje basi Ndugai alipojaribu kuchomoza makucha tuone anakosea!

Wengi wenu mnashangilia hili mkifikri aliekomolewa ni Ndugai,. Kwani Ndugai atapoteza nini akikosa hiyo nafasi kwa miaka 4 hii?

Hapa bunge ndio limeshambuliwa.

Wajinga hawawezi kuelewa ila baadae sana ndio watakuja kuelewa.
Pamoja na udhaifu wake ila alichojaribu kukionyesha ndugai alipaswa kuungwa mkono kwani aliokuwa anatekeleza wajibu wake kama spika kuisimamia serikali. Sema amekumbuka shuka kumekucha na wabunge waliopo hawa akina kigwa akina kibajaji na type zoote ni watu njaa
 
Huyo ndugai angejaribu kufanya alichofanya kipindi cha magufuli huenda saivi angeshakutana na yesu. Mama ni mstarabu sana
Mstaarabu kubaka bunge?
 
Haya yote yanayotokea na kushangiliwa hayana lolote katika ustawi wa Taifa hili.

Tunakwenda kuangamia. Jana/Juzi kitendo cha kumkemea Ndugai hadharani akajiuzulu, maana yake Bunge limesalimu amri kwa Executive. Kinachofuata ni kumalizia Mahakama maana alishaianza kuiua.

Matokeao yake unaweza usiyaone leo, lakini inaweza kuleta hata vita ya wenyewe kwa wenyewe baada ya kuwepo makundi ya KUONEA na KUONEWKun

Kuna makundi yatakataa kuonewa na yataungwa mkono na mataifa yanayo-advocate HAKI.

Tumkemee mtawala huyu! Tupaze sauti kuua Muhumili wa Bunge! pamoja na kuwa Ndugai alkuwa shetani, nunda mla watu.
Mama anapaua tu bunge aliliua Magufuli na Ndugai siku nyingi
 
Na huu sio mwisho ni mwanzo tuu watamsagia kunguni kama wote
Dili zake bungeni zitafunuliwa
Tenda zote za bunge alizojimilikisha
Miradi yake yote nje ya bunge
Matumizi mabaya ya madaraka
Kila kitu kitawekwa wazi
Duh!!!,Km ana presha, itabidi akae karibu Sana na hospitali awe chini ya uangalizi maalumu.
 
Kipindi ambacho ndugai ameanza kuhoji kuhusu mikopo ni kipindi kifupi sana lakini kipindi hicho ndo kimeonyesha uhai wa Spika wa bunge namna anavyopaswa kuisimamia serikali. Tafuteni video clip nzima ya siku ndugai anasema nchi hii itauzwa. Ukiitizama ile clip yoooooote utamsikia ndugai anaongea vitu very sensitive pamoja na kwamba alikuwa anaongea mambo mengine yalikuwa anaonyesha udhaifu wake lakini alikuwa anaikosoa serikali. Kabla hajazungumzia mikopo alizungumzia tabia ya serikali kuleta miswada ya fasta kipindi cha kuhairisha kikao cha bunge. Yaan siku ya kuhairisha kikao kuna ka neno au kaparagraph kanaletwa kanaharibu sheria au kanuni. Ile siku naweza sema ndugai alisimama kama spika licha ya mapungufu aliyokuwa nayo. Tafuten ile clip muisikilize yoote
Ile clip anasema imetengenezwa, au wewe mwenzetu uko wapi?
 
Haya yote yanayotokea na kushangiliwa hayana lolote katika ustawi wa Taifa hili.

Tunakwenda kuangamia. Jana/Juzi kitendo cha kumkemea Ndugai hadharani akajiuzulu, maana yake Bunge limesalimu amri kwa Executive. Kinachofuata ni kumalizia Mahakama maana alishaianza kuiua.

Matokeao yake unaweza usiyaone leo, lakini inaweza kuleta hata vita ya wenyewe kwa wenyewe baada ya kuwepo makundi ya KUONEA na KUONEWKun

Kuna makundi yatakataa kuonewa na yataungwa mkono na mataifa yanayo-advocate HAKI.

Tumkemee mtawala huyu! Tupaze sauti kuua Muhumili wa Bunge! pamoja na kuwa Ndugai alkuwa shetani, nunda mla watu.
Kwani Huyo mgogo alivyomdiss mama hadharani yeye ana Moyo wa plastic.?acha kukuza mambo
 
Ndugu wakianza kugombana chukua jembe ukalime.
 
Ndugai alishakubali hilo bunge kuchezewa, na tayari limeshutumiwa sana na kuwa dhaifu. Ila alipotaka kuhoji sasa ndio akaulizwa toka lini amekuwa wa kuhoji? Kwenye hili lilitokea sasa, wa kulaumiwa kabisa ni Ndugai mwenyewe, kwani tayari alishalimaliza bunge mbele ya serikali. Kibaya zaidi hata hayo maoni yake hakitatolea bungeni ambako angeweza kukaa na hizo kinga azitakazo. Kinga ya spika au mbunge ni ndani ya bunge.
Hivi si Ndugai anayeishi na Wabunge ''COVID-19'' kinyume na sheria . Nani anaua Bunge!
Ndugai si ndiye aliagizwa awatoe nje washughulikiwe na akatenda, nani anaua Bunge
Ndugai huyu si ndiye aliyepitisha miswada ya hovyo ukiwemo wa kinga yake, nani anaua Bunge
Ndugai huyu si ndiye alimdhalilisha Prof Assad na kushangilia ujahilia, nani anaua Bunge
Ndugai huyu si ndiye alishindwa kuunda kamati ya kuchunguza risasi za TL, nani kaua Bunge

Orodha ya madhila ya Ndugai ina kurasa zaidi ya 101 , mwacheni tu tusimsikie tena
Bunge limepoteza maana kipindi cha Ndugai, yeye kaliua halafu mnasema kuna kuliua tena

JokaKuu
 
Ndugai aliyeongoza kikao cha bunge kumpaka matope na kumdharirisha CAG prof ASSAD ndo huyu huyu ambaye kikao kijacho wanashuka naye jumla jumla.
Muosha huoshwa malipo tunalipwa hapa hapa dunia.
Lakini binafsi sijapenda alichofanyiwa ndugai na atakachofanyiwa japo naye alikuwa na mapungufu sana.
 
Back
Top Bottom