Rais Samia ameua Mhimili wa Bunge, bado kumalizia wa Mahakama. Haya si ya kushangilia

Kakifungu kale ka kipuuzi sana. Kenyewe kapo kukupa tu shavu umelala zako home huna kazi kanakuita njoo ujikalie kiti cha ufalme ni chako, uamini kinachotokea ka kifungu kanakwambia njo ule bata mpaka utachoka.

Embu nambie ka kifungu hako hako ikitokea la kutokea ya mungu mengi, yaani katatuchapa kiboko kisichoumiza unalia tutoka dar mpaka kigoma mwisho wa reli.
Hii nchi ngumu Sana.
 
Haya yote yanayotokea na kushangiliwa hayana lolote katika ustawi wa Taifa hili.

Tunakwenda kuangamia. Jana/Juzi kitendo cha kumkemea Ndugai hadharani akajiuzulu, maana yake Bunge limesalimu amri kwa Executive. Kinachofuata ni kumalizia Mahakama maana alishaianza kuiua.

Matokeao yake unaweza usiyaone leo, lakini inaweza kuleta hata vita ya wenyewe kwa wenyewe baada ya kuwepo makundi ya KUONEA na KUONEWKun

Kuna makundi yatakataa kuonewa na yataungwa mkono na mataifa yanayo-advocate HAKI.

Tumkemee mtawala huyu! Tupaze sauti kuua Muhumili wa Bunge! pamoja na kuwa Ndugai alkuwa shetani, nunda mla watu.
Samia hajaliua bunge, Ndugai ndio ameliua bunge baada ya kukubali kuwa kibaraka muovu wa executive..alianzia kwa Magufuli, bahati mbaya hatakiwi na huyu. Amejinyonga mwenyewe. Ingekuwa ni Samuel Sitta huyu mama asingethubutu kuleta fyoko zake. Mama alishaona udhaifu wa Ndugai akapita mulemule, bahati mbaya anajua Ndugai hana nguvu wala support yoyote kutoka kwa wabunge ama wananchi. Self destruct
 
MACHACHE KUHUSU JOB NDUGAI
1. Hakuwa Spika Mtenda Haki.
2. Aliua Ofisi ya Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni.
3. Alifukuza Wabunge wa Upinzani Bungeni kadiri alivyotaka.
4. Alimuita Mbunge aliyejiuzulu Ubunge (Cecil Mwambe) aendelee kukaa bungeni.
5. Aliwaruhusu waendelee kukaa bungeni Wabunge wawili waliofukuzwa uanachama na Kamati Kuu ya Chadema (Lijualikali na David Silinde)
6. Aligoma kuidhinisha fedha za matibabu ya Tundu Lissu
7. Alimfuta Ubunge Tundu Lissu
8. Aliruhusu Watu 19 wasio na vyama kuwapo Bungeni(akina Mdee)
Hayo yote tunayajua na hakuna asiejua makosa ya Ndugai!

Vipi sasa kushambuliwa kwake na taasisi ya urais kisa katoa maoni yake kuhusu mikopo?
 
Kujiudhuru sio shida, shida ni kuomba msamaha,hapo Ndio alibugi.
Yaani Kama kweli aliongea kishujaa mbona Tena akaanza kuhanya kwa Sala ya Toba,Mara kaikana sio yeye imetengenezwa khaaa....yeye Ile siku ya kwanza tu angejiuzulu angeonyesha Yuko makini
 
Kasema sio yeye clip imetengenezwa na God bless Lema
 
Ile clip anasema imetengenezwa, au wewe mwenzetu uko wapi?
Yeye anasema imetengenezwa lakini ogopa teknolojia. Wanasema mfa maji haishi kutapata. Na ukiwa muongo uwe na kumbukumbu. Ndugai anasema ile clip ilikuwa ya kutengenezwa ba wanahabari ili apate huruma lakini amechelewa maji yamefika shungoni.
Ile clip sio ya kutengenezwa. Kabla ya ile clip ndugai alishaanza kuwa mwimba ndani ya hii serikali.
Katikati ya mwezi Disemba mwaka ulioisha Ndugai alisikika akisema anakereka UMEME na MAJI kukatika katika hovyo. Lile lilikuwa tusi kwa serikali ya Samia.
Pamoja na mapungufu makubwa ya mzee ndugai sijapenda alichofanyiwa yeye, bunge na katiba kwa ujumla
 
Ndugai alishakubali hilo bunge kuchezewa, na tayari limeshutumiwa sana na kuwa dhaifu. Ila alipotaka kuhoji sasa ndio akaulizwa toka lini amekuwa wa kuhoji? Kwenye hili lilitokea sasa, wa kulaumiwa kabisa ni Ndugai mwenyewe, kwani tayari alishalimaliza bunge mbele ya serikali. Kibaya zaidi hata hayo maoni yake hakitatolea bungeni ambako angeweza kukaa na hizo kinga azitakazo. Kinga ya spika au mbunge ni ndani ya bunge.
Exactly, mambo ya kinga ni bungeni, ndani ya vikao vya kibunge, siyo Spika kuropokaropoka kwenye vijiwe vya kahawa.
Pia hakuna Bunge pale tunaloweza kusema ni muhimili, kile ni kikao kidogo cha wanalumumba, 80% hawana uhalali, wamepachikwa Kwa msaada wa wakurugenzi WA mwendakuzimu. Kuanzia askofu Rashid mpaka fudenge.

Hivi Yule Kalamaganda Akabugi wa kutokea jalalani yupo wapi??

Kazi iendelee!!

Everyday is Saturday.....................................😎
 
Haya yote yanayotokea na kushangiliwa hayana lolote katika ustawi wa Taifa hili.

Tunakwenda kuangamia. Jana/Juzi kitendo cha kumkemea Ndugai hadharani akajiuzulu, maana yake Bunge limesalimu amri kwa Executive. Kinachofuata ni kumalizia Mahakama maana alishaianza kuiua.

Matokeao yake unaweza usiyaone leo, lakini inaweza kuleta hata vita ya wenyewe kwa wenyewe baada ya kuwepo makundi ya KUONEA na KUONEWKun

Kuna makundi yatakataa kuonewa na yataungwa mkono na mataifa yanayo-advocate HAKI.

Tumkemee mtawala huyu! Tupaze sauti kuua Muhumili wa Bunge! pamoja na kuwa Ndugai alkuwa shetani, nunda mla watu.
Hivi hamuoni kwamba Magufuli ndo aliyeua kwa kushirikiana na Ndugai wakawaingiza covid19?
Sio Magufuli ndo alimwamuru Ndugai awe anawatoa wabunge ili yeye apambane nao nje?

Kosa la Ndugai liko wazi, kaongelea vijiweni.
After all Mama sasa anakwenda kutusaidia kuwatoa wale covid19
 
Kasema sio yeye clip imetengenezwa na God bless Lema
Hiyo ni baada ya kuona aliowafikishia ujumbe wameungana kumshambulia.

Hata ningekuwa mimi ningeukana, ya nini kuhangaika na wapumbavu wakati yeye anapata kila kitu?

Hata hivyo pamoja na kupanic kwa Hangaya ila ujumbe wa Ndugai utamtesa hadi anafika 2025
 
Hivi hamuoni kwamba Magufuli ndo aliyeua kwa kushirikiana na Ndugai wakawaingiza covid19?
Sio Magufuli ndo alimwamuru Ndugai awe anawatoa wabunge ili yeye apambane nao nje?

Kosa la Ndugai liko wazi, kaongelea vijiweni.
After all Mama sasa anakwenda kutusaidia kuwatoa wale covid19
Hilo lipo wazi JPM alishaliuwa bunge tangu zamani lilizikwa kimya kimya. Ila hivi karibuni msukule wa bunge lililokufa lilipiga chafya watu wa Executive na wabunge njaa wamepiga nyundo limekufa tena.
 
Hiyo ni baada ya kuona aliowafikishia ujumbe wameungana kumshambulia.

Hata ningekuwa mimi ningeukana, ya nini kuhangaika na wapumbavu wakati yeye anapata kila kitu?

Hata hivyo pamoja na kupanic kwa Hangaya ila ujumbe wa Ndugai utamtesa hadi anafika 2025
Anayeteseka Ni Mgogo na sio Hangaya......mbona kipindi Cha jiwe hakutuletea huo ujumbe?Sasa ndio kawa mwema akapumzike tu
 
Haya yote yanayotokea na kushangiliwa hayana lolote katika ustawi wa Taifa hili.

Tunakwenda kuangamia. Jana/Juzi kitendo cha kumkemea Ndugai hadharani akajiuzulu, maana yake Bunge limesalimu amri kwa Executive. Kinachofuata ni kumalizia Mahakama maana alishaianza kuiua.

Matokeao yake unaweza usiyaone leo, lakini inaweza kuleta hata vita ya wenyewe kwa wenyewe baada ya kuwepo makundi ya KUONEA na KUONEWKun

Kuna makundi yatakataa kuonewa na yataungwa mkono na mataifa yanayo-advocate HAKI.

Tumkemee mtawala huyu! Tupaze sauti kuua Muhumili wa Bunge! pamoja na kuwa Ndugai alkuwa shetani, nunda mla watu.
Hajaua mhimili wa bunge ni kutokuelewa kwako,kumbuka mkopo huo rais aliupeleka kwa spika,spika akauingiza kwenye kamati ya bajeti na hatimae bunge zima likapitisha,hapo rais kalitumia bunge,na kama spika alikuwa ana shida na huo mkopo palepale bungeni,angeukosoa,sasa kukurupuka nje ya bunge na kutoa lawama hizo sio sawa na rais kulaumu hajalikandamiza bunge

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Kifuatacho Ndugai ataachia jimbo la Kongwa.
Hawezi kuvumilia kukaa kwenye vivuli vya miti ya viunga vya Bunge.
Subiri sasa anaenda likizo ili asionekane maeneo ya Bunge
 
Haya yote yanayotokea na kushangiliwa hayana lolote katika ustawi wa Taifa hili.

Tunakwenda kuangamia. Jana/Juzi kitendo cha kumkemea Ndugai hadharani akajiuzulu, maana yake Bunge limesalimu amri kwa Executive. Kinachofuata ni kumalizia Mahakama maana alishaianza kuiua.

Matokeao yake unaweza usiyaone leo, lakini inaweza kuleta hata vita ya wenyewe kwa wenyewe baada ya kuwepo makundi ya KUONEA na KUONEWKun

Kuna makundi yatakataa kuonewa na yataungwa mkono na mataifa yanayo-advocate HAKI.

Tumkemee mtawala huyu! Tupaze sauti kuua Muhumili wa Bunge! pamoja na kuwa Ndugai alkuwa shetani, nunda mla watu.
Kama Job kujiuzuru ndio muhimili unaanguka bora uanguke tu, huyu mzee Mnyama kamnyima Tundu Lisu stahiki zake bila sababu na hata huruma ya kibinaadamu. M/M ilikuwa lazima amchukulie hatua humuhumu duniani, kawashikilia wabunge wasiokuwa na vyama kuua upinzani na lingine hakubaligi misamaha ya wengine.

Ameondoka JPM na nchi bado imesimama atakuwa huyu mgogo bhana. Anatakiwa na ubunge ajivue pia, mwanaume anakaa kusengenya raisi mwanamke si bora angemfata na kumwambia tu.
 
Huo mhimili wa bunge unatusaidia nini sisi hata ukifa ni sawa tu hakuna mbunge anayetetea wananchi bali matumbo yao!!
 
Hajaua mhimili wa bunge ni kutokuelewa kwako,kumbuka mkopo huo rais aliupeleka kwa spika,spika akauingiza kwenye kamati ya bajeti na hatimae bunge zima likapitisha,hapo rais kalitumia bunge,na kama spika alikuwa ana shida na huo mkopo palepale bungeni,angeukosoa,sasa kukurupuka nje ya bunge na kutoa lawama hizo sio sawa na rais kulaumu hajalikandamiza bunge

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Yule alikunywa kwa wingi pombe moja ya kigogo inaitwa Choya....ikalipuka akaanza kuropokwa
 
Ndugai alishakubali hilo bunge kuchezewa, na tayari limeshutumiwa sana na kuwa dhaifu. Ila alipotaka kuhoji sasa ndio akaulizwa toka lini amekuwa wa kuhoji? Kwenye hili lilitokea sasa, wa kulaumiwa kabisa ni Ndugai mwenyewe, kwani tayari alishalimaliza bunge mbele ya serikali. Kibaya zaidi hata hayo maoni yake hakitatolea bungeni ambako angeweza kukaa na hizo kinga azitakazo. Kinga ya spika au mbunge ni ndani ya bunge.
Big Yes.
 
Back
Top Bottom