Rais Samia amewakosea sana watu wa Kizimkazi; awaombe radhi

Hawezi kuwaridhisha wote
Wapo ambao uwekezaji huo utakuwa na manufaa kwao
 
Hujielewi wewe
 
Ni bora umesema wewe ni mpemba, maana uliyosema ulipaswa uyaseme kwa Pemba ni siyo Unguja!.

Wewe unadhani maendeleo yanayofanyika kisiwa cha Unguja pesa inayokusanywa na ZRA inatosha?.

Skuli za magorofa kila eneo, masoko ya magorofa kila eneo, barabara za zege hadi mitaa isiyo rasmi, barabara za lami za njia mbili, hospitali za magorofa kika wilaya, viwanja vya mpira hadi shamba, bandari mpya, kiwanja cha ndege kipya, (bado ikulu mpya tu) aya madaraja ya juu (tunayodanganywa ni) frying over.

Hivyo ni kwa uchache tu, bado unataka kuona nini we mpemba tpaul ?
 
Kwani wapemba hatuhitaji kuendelezwa? Hatulipi kodi? Hizo pesa za ZRA mnazilipa nyie tu waunguja? Kama vipi tugawane mbao kila watu wakae kwenye kisiwa chao. Mmezidi ubaguzi.
 
Yakhe, si mliyataka wenyewe? Kwamba mamlaka ya Rais wa Muungano yanaishia kwenye kile kisiwa kidogo (jina nimelisahau). Wala msimlaumu.
 
Zanzibari ni White Collar Economy
-Maana yake serikali itajenga majengo na kuonesha kuwa uchumi umekuwa lakini kiuhalisia sio mzunguki wa hela uliokuwepo hapo ndio umefanya maendeleo hayo kwahiyo hata uwezo wa raia kupanga hayo majengo utakuwa ni mdogo na biashara hakuna zaidi ya watalii wa msimu. Hakuna tofauti na Ethiopia vijana wake kila siku wanakimbia nchi licha ya kuwa na miradi mikubwa Africa.
Mji kama DSM unaona kabisa unakuwa kutokana na mzunguko wa hela uliokuwepo hivyo ndio uchumi unataka
 
Wewe boya kweli, kama unajua wananchi wanaopelekewa maendeleo zanzibar ni sehemu ya Tanzania, kwa nini unahoji kupelekwa maendeleo Chato? Zanzibar mnachangia nini kwenye pato la Taifa kama siyo sifuri na Tanganyika ndo inawatunza kwa kila kitu, hamna tofauti Aboriginals wa Australia.
 
Zanzibari ni White Collar Economy
-Maana yake serikali itajenga majengo na kuonesha kuwa uchumi umekuwa lakini kiuhalisia sio mzunguki wa hela uliokuwepo hapo ndio umefanya maendeleo hayo kwahiyo hata uwezo wa raia kupanga hayo majengo utakuwa ni mdogo na biashara hakuna zaidi ya watalii wa msimu. Hakuna tofauti na Ethiopia vijana wake kila siku wanakimbia nchi licha ya kuwa na miradi mikubwa Africa.
Mji kama DSM unaona kabisa unakuwa kutokana na mzunguko wa hela uliko
 
Absolute Nonsense and Rubbish
 

Pemba kunaonewa sana, Hata Barabara zimewashinda kujenga
 

Yah, Hali ya maisha Zanzibar ni mbaya sana, CCM wameshindwa kabisa kuboresha maisha, wamekuja na style za kujenga majengo yanayovutia kwa pesa za mikopo na mashiraka kama ya ZSSF kubabaisha watu.
 

Miradi ya Dr Mwinyi mingi ni hela ya mkopo, Deni la zanzibar limekuwa kwa kiwango kikubwa sana toka aingie madarakani.
 
eti anahamisha masai badala achukue wanyama sijui ila we jamaa ni blue sana yaah ni empty
 
Kiuhalisia sijawahi kushawishiwa na huu muungano na hakuna wa kunishawishi Hivi lini tutapiga kura juu ya huu muungano wa kinyonyaji? Mimi naamini kama tutapewa nafasi ya kupiga kura kwa uhuru juu ya muungano utavunjika mapema kabla ng'ombe hawajapelekwa machungani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…