Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
Lakini bado Samia ni Rais wao. Awe anaenda huko hata kuwasalimia tuMkuu PEMBA CCM ilishafukuzwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini bado Samia ni Rais wao. Awe anaenda huko hata kuwasalimia tuMkuu PEMBA CCM ilishafukuzwa
Hawezi kuwaridhisha woteNaingia kwenye mada moja kwa moja. Kabla sijaenda mbali naomba ku declare interest kwamba mm ni mtu mwenye asili ya Pemba. Nimesikitishwa sana na aina ya uwekezaji ambao mama Samia ameufanya hapa Kizimkazi. Inasikitisha sana.
Tangu Zanzibar iungane na Tanganyika, waZanzibar hawajawahi kuenjoy rasilimali za Tanzania ndewe wala sikio. Kila siku matanganyiko ndio yanafaidi rasilimali za nchi. Nilitegemea baada ya mzanzibar kupokea kijiti cha urais, Zanzibar ingepata afueni lakini kila kukicha inazidi kudidimia kwenye dimbwi la umasikini.
Rais Magufuli aliposhika usukani wa nchi alipeleka nyumbani kwao Chato maendeleo makubwa sana. Alijenga International Airport,,barabara na madaraja makubwa. Pia alisogeza huduma kwa wananchi kwa kuwajengea benki, chuo cha VETA na hospitali ya rufaa. Kana kwamba haya hayatoshi, Magufuli alianzisha mbuga ya wanyama Chato na kujenga ikulu ndogo. Haya ni baadhi ya mambo machache ninayoweza kuyakumbuka ambayo Magufuli aliwafanyia wananchi wake.
Sasa tukirejea kwa Rais Samia alichowafanyia wanaKizimkazi ni kichekesho na kituko cha mwaka. Eti kawajengea Football Academy na kuwapelekea tamasha! What kind of nonsense is this? Ndio maana nasema Wazanzibar hawaji kuendelea kamwe hata wakimpata Rais wa dunia. Mama Samia anashindwaje kuiga kwa mtangulizi wake anakuja kuwaletea wanaKizimkazi miradi uchwara ambayo hailingani hata kwa asilimia moja na miradi ambayo Magufuli aliwapelekea wanaChato?
Wazanzibar wataendelea kubaki hivi hivi hadi kiyama. Kila mtu mwenye nia njema alipoona mzanzibar kaingia ikulu alisema hewallah Mola atupe nini! Matokeo yake mzanzibar kabisa tena anayetarajiwa kuwanyanyua wazanzibar wenzake anawafanyia dhihaka. Yakhe unyonge huu hadi lini?
Wakati anahangaika kuwahamisha wamasai kutoka Ngorongoro kwenda Msomela tulidhani labda angewaacha wakae huko huko lakini ahamishe wanyama awalete Kizimkazi aanzishe mbuga ya Kizimkazi lakini ameamua kukomaa na wamasai na kuwaacha wanyama. Zanzibar hawana hata mbuga moja ya wanyama.
Rais Samia anashindwa nini kumzuia Rais mwinyi asiuze visiwa vyote walau aache kisiwa kimoja tukibadilishe kuwa mbuga ya wanyama? Mbuga zote zipo Tanganyika, sisi hatunayo hata moja. Kama Magufuli aliweza kuhamisha wanyama akaanzisha mbuga yeye anashindwaje?
Kusema kweli Rais Samia anapaswa awaombe radhi wazanzibar kwa hii dharau aliyowafanyia kuwapelekea miradi uchwara huku akiwaacha watanganyiia wakijipendelea kwa miradi mikubwa mikubwa. Inauma na inasikitisha sana.
tutakutafuta tukusikilize uso kwa uso☺️☺️☺️😭😭Kwanza muungano uvunjwe haraka
Hujielewi weweNaingia kwenye mada moja kwa moja. Kabla sijaenda mbali naomba ku declare interest kwamba mm ni mtu mwenye asili ya Pemba. Nimesikitishwa sana na aina ya uwekezaji ambao mama Samia ameufanya hapa Kizimkazi. Inasikitisha sana.
Tangu Zanzibar iungane na Tanganyika, waZanzibar hawajawahi kuenjoy rasilimali za Tanzania ndewe wala sikio. Kila siku matanganyiko ndio yanafaidi rasilimali za nchi. Nilitegemea baada ya mzanzibar kupokea kijiti cha urais, Zanzibar ingepata afueni lakini kila kukicha inazidi kudidimia kwenye dimbwi la umasikini.
Rais Magufuli aliposhika usukani wa nchi alipeleka nyumbani kwao Chato maendeleo makubwa sana. Alijenga International Airport,,barabara na madaraja makubwa. Pia alisogeza huduma kwa wananchi kwa kuwajengea benki, chuo cha VETA na hospitali ya rufaa. Kana kwamba haya hayatoshi, Magufuli alianzisha mbuga ya wanyama Chato na kujenga ikulu ndogo. Haya ni baadhi ya mambo machache ninayoweza kuyakumbuka ambayo Magufuli aliwafanyia wananchi wake.
Sasa tukirejea kwa Rais Samia alichowafanyia wanaKizimkazi ni kichekesho na kituko cha mwaka. Eti kawajengea Football Academy na kuwapelekea tamasha! What kind of nonsense is this? Ndio maana nasema Wazanzibar hawaji kuendelea kamwe hata wakimpata Rais wa dunia. Mama Samia anashindwaje kuiga kwa mtangulizi wake anakuja kuwaletea wanaKizimkazi miradi uchwara ambayo hailingani hata kwa asilimia moja na miradi ambayo Magufuli aliwapelekea wanaChato?
Wazanzibar wataendelea kubaki hivi hivi hadi kiyama. Kila mtu mwenye nia njema alipoona mzanzibar kaingia ikulu alisema hewallah Mola atupe nini! Matokeo yake mzanzibar kabisa tena anayetarajiwa kuwanyanyua wazanzibar wenzake anawafanyia dhihaka. Yakhe unyonge huu hadi lini?
Wakati anahangaika kuwahamisha wamasai kutoka Ngorongoro kwenda Msomela tulidhani labda angewaacha wakae huko huko lakini ahamishe wanyama awalete Kizimkazi aanzishe mbuga ya Kizimkazi lakini ameamua kukomaa na wamasai na kuwaacha wanyama. Zanzibar hawana hata mbuga moja ya wanyama.
Rais Samia anashindwa nini kumzuia Rais mwinyi asiuze visiwa vyote walau aache kisiwa kimoja tukibadilishe kuwa mbuga ya wanyama? Mbuga zote zipo Tanganyika, sisi hatunayo hata moja. Kama Magufuli aliweza kuhamisha wanyama akaanzisha mbuga yeye anashindwaje?
Kusema kweli Rais Samia anapaswa awaombe radhi wazanzibar kwa hii dharau aliyowafanyia kuwapelekea miradi uchwara huku akiwaacha watanganyiia wakijipendelea kwa miradi mikubwa mikubwa. Inauma na inasikitisha sana.
Kwani wapemba hatuhitaji kuendelezwa? Hatulipi kodi? Hizo pesa za ZRA mnazilipa nyie tu waunguja? Kama vipi tugawane mbao kila watu wakae kwenye kisiwa chao. Mmezidi ubaguzi.Ni bora umesema wewe ni mpemba, maana uliyosema ulipaswa uyaseme kwa Pemba ni siyo Unguja!.
Wewe unadhani maendeleo yanayofanyika kisiwa cha Unguja pesa inayokusanywa na ZRA inatosha?.
Skuli za magorofa kila eneo, masoko ya magorofa kila eneo, barabara za zege hadi mitaa isiyo rasmi, barabara za lami za njia mbili, hospitali za magorofa kika wilaya, viwanja vya mpira hadi shamba, bandari mpya, kiwanja cha ndege kipya, (bado ikulu mpya tu) aya madaraja ya juu (tunayodanganywa ni) frying over.
Hivyo ni kwa uchache tu, bado unataka kuona nini we mpemba tpaul ?
Wewe boya kweli, kama unajua wananchi wanaopelekewa maendeleo zanzibar ni sehemu ya Tanzania, kwa nini unahoji kupelekwa maendeleo Chato? Zanzibar mnachangia nini kwenye pato la Taifa kama siyo sifuri na Tanganyika ndo inawatunza kwa kila kitu, hamna tofauti Aboriginals wa Australia.Hilo mnaliona kwa waZanzibar tu lakini watanganyika wakifanya ni halali? Mbona hamkusema kipindi cha Magufuli? Halafu hawo wananchi wanaopelekewa maendeleo kwani wao sio sehemu ya watanzania? Kunya anye kuku tu, akinya bata ameharisha? Yakhe huna khaya? Ama kweli mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu.
Tusidanganyike ile ni nchi kamili Muungano ni geresha tu, ipo na Rais wake , bunge lake n.kKwani Zanzibar sio sehemu ya muungano?
Kama vile nini?Kwanini alitumia rasilimali za wazanzibar kujenga kwao Chato?
Absolute Nonsense and RubbishNaingia kwenye mada moja kwa moja. Kabla sijaenda mbali naomba ku declare interest kwamba mm ni mtu mwenye asili ya Pemba. Nimesikitishwa sana na aina ya uwekezaji ambao mama Samia ameufanya hapa Kizimkazi. Inasikitisha sana.
Tangu Zanzibar iungane na Tanganyika, waZanzibar hawajawahi kuenjoy rasilimali za Tanzania ndewe wala sikio. Kila siku matanganyiko ndio yanafaidi rasilimali za nchi. Nilitegemea baada ya mzanzibar kupokea kijiti cha urais, Zanzibar ingepata afueni lakini kila kukicha inazidi kudidimia kwenye dimbwi la umasikini.
Rais Magufuli aliposhika usukani wa nchi alipeleka nyumbani kwao Chato maendeleo makubwa sana. Alijenga International Airport, barabara na madaraja makubwa. Pia alisogeza huduma kwa wananchi kwa kuwajengea benki, chuo cha VETA na hospitali ya rufaa. Kana kwamba haya hayatoshi, Magufuli alianzisha mbuga ya wanyama Chato na kujenga ikulu ndogo. Haya ni baadhi ya mambo machache ninayoweza kuyakumbuka ambayo Magufuli aliwafanyia wananchi wake.
Sasa tukirejea kwa Rais Samia alichowafanyia wanaKizimkazi ni kichekesho na kituko cha mwaka. Eti kawajengea Football Academy na kuwapelekea tamasha! What kind of nonsense is this? Ndio maana nasema Wazanzibar hawaji kuendelea kamwe hata wakimpata Rais wa dunia. Mama Samia anashindwaje kuiga kwa mtangulizi wake anakuja kuwaletea wanaKizimkazi miradi uchwara ambayo hailingani hata kwa asilimia moja na miradi ambayo Magufuli aliwapelekea wanaChato?
Wazanzibar wataendelea kubaki hivi hivi hadi kiyama. Kila mtu mwenye nia njema alipoona mzanzibar kaingia ikulu alisema hewallah Mola atupe nini! Matokeo yake mzanzibar kabisa tena anayetarajiwa kuwanyanyua wazanzibar wenzake anawafanyia dhihaka. Yakhe unyonge huu hadi lini?
Wakati anahangaika kuwahamisha wamasai kutoka Ngorongoro kwenda Msomela tulidhani labda angewaacha wakae huko huko lakini ahamishe wanyama awalete Kizimkazi aanzishe mbuga ya Kizimkazi lakini ameamua kukomaa na wamasai na kuwaacha wanyama.
Zanzibar hawana hata mbuga moja ya wanyama. Rais Samia anashindwa nini kumzuia Rais Hussein Mwinyi asiuze visiwa vyote walau aache kisiwa kimoja tukibadilishe kuwa mbuga ya wanyama? Mbuga zote zipo Tanganyika, sisi hatunayo hata moja. Kama Magufuli aliweza kuhamisha wanyama akaanzisha mbuga yeye anashindwaje?
Kusema kweli Rais Samia anapaswa awaombe radhi wazanzibar kwa hii dharau aliyowafanyia kuwapelekea miradi uchwara huku akiwaacha watanganyiia wakijipendelea kwa miradi mikubwa mikubwa. Inauma na inasikitisha sana.
Ni bora umesema wewe ni mpemba, maana uliyosema ulipaswa uyaseme kwa Pemba ni siyo Unguja!.
Wewe unadhani maendeleo yanayofanyika kisiwa cha Unguja pesa inayokusanywa na ZRA inatosha?.
Skuli za magorofa kila eneo, masoko ya magorofa kila eneo, barabara za zege hadi mitaa isiyo rasmi, barabara za lami za njia mbili, hospitali za magorofa kika wilaya, viwanja vya mpira hadi shamba, bandari mpya, kiwanja cha ndege kipya, (bado ikulu mpya tu) aya madaraja ya juu (tunayodanganywa ni) frying over.
Hivyo ni kwa uchache tu, bado unataka kuona nini we mpemba tpaul ?
Zanzibari ni White Collar Economy
-Maana yake serikali itajenga majengo na kuonesha kuwa uchumi umekuwa lakini kiuhalisia sio mzunguki wa hela uliokuwepo hapo ndio umefanya maendeleo hayo kwahiyo hata uwezo wa raia kupanga hayo majengo utakuwa ni mdogo na biashara hakuna zaidi ya watalii wa msimu. Hakuna tofauti na Ethiopia vijana wake kila siku wanakimbia nchi licha ya kuwa na miradi mikubwa Africa.
Mji kama DSM unaona kabisa unakuwa kutokana na mzunguko wa hela uliko