Huyo ndiye kaijenga.

Rejea salamu za Jk msibani.

Alitakuwa akabidhiwe siku nyingi
Watu wengine wanadandia tu topic kumshambulia Mama na kuna ziara alifanya JPM katika nyumba hii alikuwa na JK na akawaambia wale contractor wamalize nyumba haraka wanachelewesha.
 
Vipaumbele vya watawala wetu ni watawala wenyewe na sio masikini.
As if kazi tunazofanya sisi hohe hahe hatulitumikii taifa ila wao tu
Mshahara mkubwa vile na bado unapewa zawadi ila mwenye mshahara kidogo ajiandae na uzee kwa namna yake mwenyewe.
Kuna haja hii katiba ikaangaliwa upya,tuweke msisitizo kwenye hili.
 
Safi kabisa ,huku ajira , nyongeza ya mishahara mwaka Kesho , vutia wawekezaji , mambo ya madege tupa kule , Nani anafaidika na madege au napata sifa gan ujinga Sana tulilishwa
Ujinga hukulishwa, ila ww ni mjinga
 
Sasa alielalamika ni nani jamaa! Mie naona kazi iendelee tu
 
Basi sawa ila CCM inabidi tu wafunge virago ifakapo 2025
 
Tulia wewe! Mama anawakomesha mataga
 
Me nilidhani ile ya Mwl Nyerere ilijengwa na JWTZ kwa askari wake kujitolea kukatwa sehemu ya mishahara yao?
I stand to be corrected

View attachment 1778685

Je, ni lini sheria zitarekebishwa ili kila mstaafu ajengewe nyumba yenye hadhi ya kazi yake aliyokuwa anafanya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…