Ujamaa ni mhimu
JF-Expert Member
- Sep 30, 2022
- 1,203
- 1,011
Kwahyo wewe mwenye fuvu lililojaa mende unawazidiii hao wanasheria uelewaa? Hovyo kabisa. Acha roho mbaya, unawapangia cha kufanya?? Mbona hukumkataza mbowe alipoenda ikuluu.Huna unacho kijua wewe ni type ya wale ambao fuvu limebeba kamasi badala ya akili,some time muwe mnajikita kwenye magroup ya miziki kule ndio levo zenu
Kuna tofauti kati ya wanyama na binadamu.Vipi kama Serikaki haifuati katiba unazani kuna watakacho weza kufanya? Wafuatilie Law Society of Kenya uone kazi zao hawana muda wakujikomba kwa watawala.
Hongo ya kuwaziba midomo hiyo..Vipi kama Serikaki haifuati katiba unazani kuna watakacho weza kufanya? Wafuatilie Law Society of Kenya uone kazi zao hawana muda wakujikomba kwa watawala.
Pia hakuna tena kumchagua Lissu wala Shangazi kama rais wa TLSHiyo ni rushwa.anatoa rushwa ili avunje sheria kwa kukandamiza Uhuru was maoni kama anavyowafanya Dr slaa
Pongezi kwa TLSRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Harold Sungusia Hati ya Kiwanja kilichopo Arusha kwa ajili ya Ujenzi wa Ofisi zao mara baada ya ma
Kwa nn apewe ktk kipindi hiki?., huoni kuwa ni km ushawishi unatafutwa kwa nguvu zote?kwani mtu akipewa hati ya kiraka na serikali yake na ni mtanzania kuna ubaya gani
Kwa nini iwe sasakwani mtu akipewa hati ya kiraka na serikali yake na ni mtanzania kuna ubaya gani
Tunangojea anitokeze chawa flani awajengee hiyo ofc. Toka lini Hati ya kiwanja anakabidhi Rais ...dah!Kwani mtu akipewa hati ya kiraka na serikali yake na ni mtanzania kuna ubaya gani
Ntashangaa. Namwaminia Sungusia, labda aanze leo maana naambiwa kila jambo lina mwanzo ...nkEXACTLY, HAROLD SUNGUSIA MLA RUSHWA
Kila mtu anabei yakeKwamba TLS wamefika bei na tayari wamenunuliwa🙄
Ndio lengo lake, nawakubali sana wale Kenya law Socirty of Kenya wako serious mnoKwa hiyo Rais anatoa rushwa waziwazi kwa TLS ili TLS inyamazie uvunjwaje wa sheria nchini?
Hii ni aibu kubwa sana . Anataka TLS isitoe nyaraka nyingine za kuchambua mwenendo wa kisheria nchini kama walivyofanya kwenye mkataba wa Bandari?.
AIBU AIBU AIBU.
Huyu mama atanunua wangapi ili tu dili lake la kugawa bandari zetu zote kwa waarabu lifanikiwe?
Hawa TLS ni wamehongwa kiwanja, ni aibu kuu kwa taasisi kama ile kuanza kutafuta huruma kwa watawala,Ukimsikiliza huyo Rais wa TLS Sungusa kuna kitu amekisema
'' Tupo tayari kutoa elimu ya sheria kuhusu KATIBA inayohusu mambo yanayowagusa Wananchi kiuchumi na kimaisha''
Si elimu ya Haki Jinai wala si elimu ya Mirathi au Elimu ya Ardhi. Ni elimu ya KATIBA
Hii kauli inaashiria kwamba TLS watapewa kazi ya kutoa elimu ya katiba kwa kushirikiana na ''Msajili wa vyama', Kamati ya Prof Mkandara na Tume ya Haki jamii. Yote hayo ni katika kutekeleza kile serikali inataka.
Si tuliambiwa TLS walikuwa na Kiwanja wakati wa Tundu Lissu halafu Fatma Karume na hata Hosea. Hivi walianzaje kujenga bila kuwa na hati? Mbona hatujasikia hati ya taasisi nyingine kama chama cha Injinia, Madaktari au Wahasibu vikitolewa Ikulu !
Nimesikia mtu mmoja akisema TLS ni '' Tanzania Lost Society'' !
JokaKuu Pascal Mayalla