Rais Samia amkabidhi Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Hati ya Kiwanja

Hao wameisha fika bei
 
Kila kauli ina walakini
 
Kla sku tunawambia enjoy maisha pambana na familia yako ila ukiangaika na siasa na wanasiasa utapotea
Unaangaikia wananchi wakat wananchi wenyeww ni majinga tena majinga hasa
Utakufa uache familia yako ikiteseka na hao wananchi unaowapambania ndo wakwanza kukuzalau na kukudhihaki
 
Kwa kiasi fulani umesema ukweli kabisa. Hata mimi kuna wakati mwingine huwa nasikia hasira mno ninapoona jinsi watanzania walivyo wajinga. Wao waambie Simba na Yanga, au Diamond. Yaani kila mtu akikaribiana na rais, akili zote humtoka na kujikuta anabwabwaja sifa. Wanasema makosa ya serikali wanaandamwa na dola na wananchi wanajifanya kama hawaoni. Ila subiri nikuambie. Kuna siku hawa wote wanaokaa kimya watakuja kulia na kusaga meno na kujuta ni kwa nini hawakupiga kelele. Nchi yetu ilipofikia sasa ikija kutokea fujo yoyote kuja kuirudisha tena kwenye utulivu itachukuwa muda mrefu mno. Hili ndilo linafanya wengine waone umuhimu wa kupiga kelele hata kama hawana support.
 

Sad part is wananchi wanajua ni wajinga, lakin hawataki kutoka huko maana ujinga umekuwa way of life.
Naona upinza wanapigania watu ambao hawako tayari kubadilika
 
TLS haiwezi kuwa na ajenda tofauti na matakwa ya serikali maana ni taasisi ya serikali. Ilianzishwa kwa mujibu wa sheria iliyopitishwa na bunge.
 
Uko sahihi. Mind your own business. Enjoy life.
 

Ushauri murua kutoka kwa walamba asali.



Kulikoni ndugu wewe ni mmoja wao?
 
HAO WANAOPIGA KELELE NDIYO WALETA FUJO NA HATUWAHITAJI HAPA NCHINI KWETU WENYEWE TUMETULIA SIJUI WANATAKA NINI?
 
RoDrick RaY unaamini kwenye past zaidi ya present, kwa hiyo kauli yako umejionesha vile ulivyo mtu asiyebadilika kifikra, unatembea na kuamini yaliyopita miaka yote.

Kama unaamini watanzania ni wajinga, wasiobadilika, kwanini basi serikali inahangaika kuwakamata wale wanaowaamsha hao watanzania wasiobadilika? hujioni ulivyolala kifikra?

Hizi fikra zako mgando kwa upande wa pili ndio zitaenda kuleta kilio mpaka kwa kizazi kijacho cha hili taifa, pake ambapo watakuta rasilimali zilizotakiwa kuwa zao, zimetolewa milele kwa waarabu, huku mjinga wa sampuli yako ukijidai ku mind your own business!.

Amka usiangamize mpaka kizazi kijacho kwa fikra zako mgando.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…