Rais Samia ampandisha cheo ACP Awadhi Juma Haji kuwa Kamishina wa Polisi Zanzibar

Sio Mara mbili, kapanda mara nne, ACP—>SACP—>DCP—>CP—>Kamishna Zanzibar.
 
Mhh mbona kama sijaelewa maana huyu kamanda aliwahi kuwa Zanzibar sawa ila ni RPC Kagera sasa hapa sijaelewa Kamanda tena wa Zanzibar?
 
Ataenda HQ huyo nadhani ni mtu wa mahesabu
 
Sio Mara mbili, kapanda mara nne, ACP—>SACP—>DCP—>CP—>Kamishna Zanzibar.
Kamishna zanzibar sio cheo hiko.cheo ni CP kama ilivyo RPC sio cheo bali ACP au SACP ndio cheo chenyewe.
 
Mhh mbona kama sijaelewa maana huyu kamanda aliwahi kuwa Zanzibar sawa ila ni RPC Kagera sasa hapa sijaelewa Kamanda tena wa Zanzibar?
Jamaa alikuwa kamanda wa polisi mjini magharibi akahamia kagera amekaa muda mfupi ndio hii kapanda cheo,kapewa wadhifa wa kuwa mkuu wa polisi zanzibar,hivyo anarudi tena zenji akiwa kamishna tofauti na hapo awali alikuwa RPC tu,sasa hivi pale zenji yeye ndo anakuwa mkuu wa polisi,anakuwa na mamlaka makubwa kuliko mwanzo.

Huyu jamaa ni mchapa kazi,hana muhali kama waunguja wengi walivyo.
 
CP Mohamed aliekuwa kabla ya Awadh kaenda wapi?
 
Mkuu ina maana huyu sio yule aliyekuwa RTO kinondoni akashushwa cheo nakutupwa mtwara?
 
Mkuu ina maana huyu sio yule aliyekuwa RTO kinondoni akashushwa cheo nakutupwa mtwara?
Niliyoyaandika ndiyo ninayoyajua mkuu.

Amekuwa RPC wa mjini akiwa amebakisha cheo kimoja kuwa SACP.
 
Usiseme kwamba kavukishwa vyeo alafu ukatia na kamishna wa zanzibara kwamba ni cheo,huo ni uteuzi tu wa madaraka sio cheo
Ukamishna zanzibar sio cheo ni shavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…