Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Naishi Zanzibar namfahamu huyo Kamanda.Naona watu wengi SNA wanamsifia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naishi Zanzibar namfahamu huyo Kamanda.Naona watu wengi SNA wanamsifia
Sio Mara mbili, kapanda mara nne, ACP—>SACP—>DCP—>CP—>Kamishna Zanzibar.Rais wa jamhuri ya Muungano Samia Suluhu amempandisha cheo ACP Awadhi Juma kuwa kamishina na pia amempandisha tena na kuwa kamishina wa polisi Zanzibar.
Jamaa ameula kweli kweli maana amepandishwa mara mbili.
Hakika mama anaendelea kuupiga mwingi!
View attachment 2105032
OK.. Ila sio mzenji.. Ni mrangi wa kondoa aNaishi Zanzibar namfahamu huyo Kamanda.
Acha upuuzi huko makanisa yamejaa, huyu bibi ushungi ni mdini snHakuna na kama wapo wataje, na sio kila mkristo ni Polisi huko Unguja na sio kila Polisi anastahili kupandishwa vyeo
Mhh mbona kama sijaelewa maana huyu kamanda aliwahi kuwa Zanzibar sawa ila ni RPC Kagera sasa hapa sijaelewa Kamanda tena wa Zanzibar?Rais wa jamhuri ya Muungano Samia Suluhu amempandisha cheo ACP Awadhi Juma kuwa kamishina na pia amempandisha tena na kuwa kamishina wa polisi Zanzibar.
Jamaa ameula kweli kweli maana amepandishwa mara mbili.
Hakika mama anaendelea kuupiga mwingi!
View attachment 2105032
Na huyu unamwonaje ana akili?Hivi kumbe rais anaandikia left. Wanakuaga na akili haoo. Hongera kamishna awadh kwa uteuzi
Ataenda HQ huyo nadhani ni mtu wa mahesabuJPM alteua Mohamed Haji Kuwa Kamishna wa Polisi Zanzibar
February 10, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amempandisha cheo na kumteua Bw. Mohamed Hassan Haji kuwa kamishna wa Polisi Zanzibar.
![]()
JPM Amteua Mohamed Haji Kuwa Kamishna wa Polisi Zanzibar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amempandisha cheo na kumteua Bw. Mohamed Hassan Haji kuwa kamishna wa Polisi Zanzibar.globalpublishers.co.tz
Huyu aliekuwepo amestaafu au anakuja HQ kuwa kamishna kama mzee Musa Ali Musa?
Kamishna zanzibar sio cheo hiko.cheo ni CP kama ilivyo RPC sio cheo bali ACP au SACP ndio cheo chenyewe.Sio Mara mbili, kapanda mara nne, ACP—>SACP—>DCP—>CP—>Kamishna Zanzibar.
Jamaa alikuwa kamanda wa polisi mjini magharibi akahamia kagera amekaa muda mfupi ndio hii kapanda cheo,kapewa wadhifa wa kuwa mkuu wa polisi zanzibar,hivyo anarudi tena zenji akiwa kamishna tofauti na hapo awali alikuwa RPC tu,sasa hivi pale zenji yeye ndo anakuwa mkuu wa polisi,anakuwa na mamlaka makubwa kuliko mwanzo.Mhh mbona kama sijaelewa maana huyu kamanda aliwahi kuwa Zanzibar sawa ila ni RPC Kagera sasa hapa sijaelewa Kamanda tena wa Zanzibar?
Ataenda HQCP Mohamed aliekuwa kabla ya Awadh kaenda wapi?
Mkuu ina maana huyu sio yule aliyekuwa RTO kinondoni akashushwa cheo nakutupwa mtwara?Jamaa alikuwa kamanda wa polisi mjini magharibi akahamia kagera amekaa muda mfupi ndio hii kapanda cheo,kapewa wadhifa wa kuwa mkuu wa polisi zanzibar,hivyo anarudi tena zenji akiwa kamishna tofauti na hapo awali alikuwa RPC tu,sasa hivi pale zenji yeye ndo anakuwa mkuu wa polisi,anakuwa na mamlaka makubwa kuliko mwanzo.
Huyu jamaa ni mchapa kazi,hana muhali kama waunguja wengi walivyo.
Niliyoyaandika ndiyo ninayoyajua mkuu.Mkuu ina maana huyu sio yule aliyekuwa RTO kinondoni akashushwa cheo nakutupwa mtwara?
Nafahamu kuhusu hiloKamishna zanzibar sio cheo hiko.cheo ni CP kama ilivyo RPC sio cheo bali ACP au SACP ndio cheo chenyewe.
Usiseme kwamba kavukishwa vyeo alafu ukatia na kamishna wa zanzibara kwamba ni cheo,huo ni uteuzi tu wa madaraka sio cheoNafahamu kuhusu hilo
Unapotumia Id mbili kuwa makini.Nalifahamu sana hilo jambo
Na kuutupa mwili nako ni sleep of what??Slip of gun
Slip of mindNa kuutupa mwili nako ni sleep of what??
Ukamishna zanzibar sio cheo ni shavuUsiseme kwamba kavukishwa vyeo alafu ukatia na kamishna wa zanzibara kwamba ni cheo,huo ni uteuzi tu wa madaraka sio cheo
Akili yako imekufaAwamu hii waislamu wanakula kuku kwa mrija,kuanzia mawaziri mpaka mapolisi.
Siku ya leo tu kafanya teuzi tatu,na wote ni waislamu.sijui haoni hata aibu