Rais Samia ampandisha cheo ACP Awadhi Juma Haji kuwa Kamishina wa Polisi Zanzibar

Rais wa jamhuri ya Muungano Samia Suluhu amempandisha cheo ACP Awadhi Juma kuwa kamishina na pia amempandisha tena na kuwa kamishina wa polisi Zanzibar.

Jamaa ameula kweli kweli maana amepandishwa mara mbili.

Hakika mama anaendelea kuupiga mwingi!

View attachment 2105032
Sio Mara mbili, kapanda mara nne, ACP—>SACP—>DCP—>CP—>Kamishna Zanzibar.
 
Mhh mbona kama sijaelewa maana huyu kamanda aliwahi kuwa Zanzibar sawa ila ni RPC Kagera sasa hapa sijaelewa Kamanda tena wa Zanzibar?
 
JPM alteua Mohamed Haji Kuwa Kamishna wa Polisi Zanzibar
February 10, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amempandisha cheo na kumteua Bw. Mohamed Hassan Haji kuwa kamishna wa Polisi Zanzibar.

Huyu aliekuwepo amestaafu au anakuja HQ kuwa kamishna kama mzee Musa Ali Musa?
Ataenda HQ huyo nadhani ni mtu wa mahesabu
 
Sio Mara mbili, kapanda mara nne, ACP—>SACP—>DCP—>CP—>Kamishna Zanzibar.
Kamishna zanzibar sio cheo hiko.cheo ni CP kama ilivyo RPC sio cheo bali ACP au SACP ndio cheo chenyewe.
 
Mhh mbona kama sijaelewa maana huyu kamanda aliwahi kuwa Zanzibar sawa ila ni RPC Kagera sasa hapa sijaelewa Kamanda tena wa Zanzibar?
Jamaa alikuwa kamanda wa polisi mjini magharibi akahamia kagera amekaa muda mfupi ndio hii kapanda cheo,kapewa wadhifa wa kuwa mkuu wa polisi zanzibar,hivyo anarudi tena zenji akiwa kamishna tofauti na hapo awali alikuwa RPC tu,sasa hivi pale zenji yeye ndo anakuwa mkuu wa polisi,anakuwa na mamlaka makubwa kuliko mwanzo.

Huyu jamaa ni mchapa kazi,hana muhali kama waunguja wengi walivyo.
 
Mkuu ina maana huyu sio yule aliyekuwa RTO kinondoni akashushwa cheo nakutupwa mtwara?
 
Niliyoyaandika ndiyo ninayoyajua mkuu.

Amekuwa RPC wa mjini akiwa amebakisha cheo kimoja kuwa SACP.
 
Back
Top Bottom