imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Wahuni wa Jiwe, tafsiri nzuri ya Kiongozi anaeikiuka Katiba ya Nchi kwangu ni Wahuni tu.Team jiwe wanaliwa vichwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wahuni wa Jiwe, tafsiri nzuri ya Kiongozi anaeikiuka Katiba ya Nchi kwangu ni Wahuni tu.Team jiwe wanaliwa vichwa
Hakika amelipwa machozi yake.Hii inastahili kabisa kuitwa zawadi ya Idd kwa watanzania
Ndugu yangu Chagu,mambo mazuri hayahitaji haraka,kwani hujasikia kwa wahenga kuwa mwenzako akinyolewa wewe tia maji.Ahaaa, hakuna haja ya kusubiri.
Hapana. Mimi NASIFIA mazuri yanapofanyika na NAKOSOA mabaya yakifanyika.Mmebadilishana wewe umechukua nafasi ya uvccm
John Mongella na Chalamila hawafaiNdugu tangy Chagu,mambo mazuri hayahitaji haraka,keanu hujasikia kwa wahenga kuwa mwenzako akinyolewa wewe tia maji.
Hawezi kuwaondoa kwa matakwa ya mtu tu, unatakiwa kuuanika uchafu wao ili kujustfy unachokisema vinginevyo itatafsiriwa kama chuki inafsi kati yako na hao unaowatajaOk tuelezane ukweli bila kupepesa macho ni Sabaya pekee ambaye hafai?
Mbona wengi tu ambao hawafai. Ambao kama mkuu wa nchi unatakiwa uwaondoe mara moja.
Mfano, ondoa mkuu wa mkoa wa Mwanza huyu hafai kabisa maana ni ni kama doli tu. Na kibaraka wa kutetea uvunjifu wa haki za binadamu. Mkuu wa mkoa wa Mbeya ondoa kabisa maana hafai na wala maelezo hayahitajiki.
Wahuni wa Mwendazake ni wengi kwahiyo Mama adili nao kwa Step ila hata ushauri wako sio mbaya Mama kwenda kwa mkupuo pia itakuwa sawa.Ahaaa, hakuna haja ya kusubiri.
sijawahi na sitawahi.Hahahaha... Unachonifurahisha tu ni jinsi ambavyo sasa hivi umechukua nafasi ya Bavicha kuwa mpinzani wa Serikali ya CCM.
Kipindi cha cloud media kimempa pigo kubwa sana huyu mtu.Wahuni wa Jiwe, tafsiri nzuri ya Kiongozi anaeikiuka Katiba ya Nchi kwangu ni Wahuni tu.
Pole Sabaya ,mwendo wa Siasa umeuliz
Ameen ameenInabidi uwe na akili nyingi sana ndipo uweze kuelewa vyema maana halisi ya kauli ya Mama kuwa "Mimi na Magufuli ni kitu kimoja". Na Mataga kamwe hamtaelewa badala yake kila siku mtakuwa mnaishia kushangaa namna Miungu-watu wanavyomomonyoka taratibu [emoji23][emoji23] Tulianza na jamaa uchwara(Kakurwa) tukaja mavieite(Chakubanga) na hatimaye Sabaya. Aishi maisha marefu Mama Samia[emoji120][emoji120]