Rais Samia amteua Balozi Ali Idi Siwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa

Another smartphone on wrong hands.
 
kwan TISS inahusiana na maswala ya ndan au nje ? kipi kinakufanya uwaone walioish nje wanafaa kwenye TISS kulio walioishi ndan ?
 
Ni vema pia kuwaza kuwa kuwepo kwake Rwanda kunaweza kutusaidia maana huenda nae kaja na ya huko maana tusisahau hata CAT alibadili system yote, aligundua nini? Huenda na wetu alikuwa kikazi zaidi na aliplay smart.
 
Siku tutakayoweza kutenganisha maslahi ya chama na maslahi ya nchi inaweza kutusaidia sana.
Usiibebe CCM uache vyama Kama chadema viongozi nchi,huko ni kuitakia mema nchi au kuitumbukiza shimoni!?..siku jamii ikielimika na kuchagua wawakilishi kwa sera zao na si dini au mkumbo,siku hiyo idara itaacha uchaguzi ashindwe yoyote na haitatia mkono ccm
 
Kagame Kuna balozi wa tz alimkataa,nadhani ni yule dingi aliyehudumu ikulu ya jakaya
 
Marekebisho yaliyofanywa kwenye sheria ya TISS yamezuia hilo, mtu yeyote aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa TISS hawezi kuteuliwa katika nafasi yoyote ya utumishi katika serikali.

Nimeshangaa kuona huyu aliyetolewa kupewa ubalozi.


 
Marekebisho yaliyofanywa kwenye sheria ya TISS yamezuia hilo, mtu yeyote aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa TISS hawezi kuteuliwa katika nafasi yoyote ya utumishi katika serikali.

Nimeshangaa kuona huyu aliyetolewa kupewa ubalozi.


Marekebisho yalifanyika lini mkuu, hilo jambo lilikuwa linanikera sana. Mtu ndio kwanza ana taarifa za motomoto akaondolewa muda huohuo anapewa post nchi nyingine.
Nchi nyingi hata Deputy hapelekwi nje labda miaka kadhaa ipite. Ni bora umpe ubalozi mkuu mstaafu wa polisi au jeshi kuliko usalama.
 
Intelligence services do not like their officers to remain in one place indefinitely lest they become too comfortable, in the same way agent runners are ROTATED ,to ensure that they do not lose objectivity or end up too heavily invested in one case or a single spy,....Mwisho wa kunukuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…