Rais Samia amteua Jacob John Mkunda kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF)

Baada ya Nyerere kupinduliwa na jeshi mwaka 1964, alipandisha vyeo watu waliomsapoti na kati ya hao waliomsapoti kulikuwa na wakabila. Mfano mzuri ni Musuguri alikuwa anashutumiwa kuwapendelea watu wa kanda ya ziwa.
We naye! Nyerere hakuwahi kupinduliwa. Ilikuwa ni mutiny.
 
Sawa na Waziri Mkuu kuwa Rais acha Nyerere hakuna Waziri Mkuu aliyechukua fomu ya Urasi akafaulu
 
Kamanda ni mpiganaji front. Ndio maana mkubwa humuita mdogo kamanda. Afande ni kiongozi

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Yakub hakuwa Luten General?
 
Utaratibu ni kwamba mkuu wa majeshi anapostaafu, chief of staff nae hustaafu kama hajafikia kjstaaf anapangiwa kazi ingine kama huyo aliyopewa ubalozi.

Lengo ni CDF mpya awe na CoS wake atakayefanya nae kazi kwa uelewano zaidi.
 
Kwa jinsi siasa zetu zilivyo jaa uchama, ubinafsi, Rushwa na matakataka mengine, Ki-intelligence Jeshi letu linaufahamu uwezo wa kijeshi wa nchi zinazotuzunguka? Maana this country kila kitu kinaongozwa na siasa.
 
26 February 2020

Operesheni safisha Katumba 2020

Akitowa taarifa ya operesheni hiyo inayojulikana kwa jina la Operesheni safisha Katumba 2020 mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Katavi Juma Homera ,Mkuu wa Brigedi ya Magharibi, Brigedia Jenerali Jacob Mkunda alisema kuwa katika operesheni hiyo walikamata bunduki 50.

Alifafanua kuwa katika bunduki hizo walizofanikiwa kuzikamata ni bunduki za kivita 13 aina ya SMG , Bunduki tatu aina ya G3, Raifo moja na Gobole 33.

Aidha wamekamata risasi 28 na mitego ya kukamatia wanyama 13

Brigedia Generali Mkunda alieleza kuwa katika msako huo wameweza kufanikiwa kuwakamata watuhumiwa 17 ambao na Raia wapya wa Tanzania wenye asili ya nchi ya Burundi katika ya watuhumiwa hao wanne wamekamatwa katika Makazi ya Wakimbizi ya Katumba Wilaya ya Mpanda na 14 wamekamatwa katika Makazi ya Wakimbizi ya Mishamo Wilaya ya Tanganyika

Alisema kuwa kwenye msako huu wameweza kubaini uwepo wa viwanda vya kutengeneza bunduki aina ya gobole kwenye makazi ya wakimbizi ya Mishamo ambazo zimekuwa zikitumika katika kufanyia ujangili wa kuua wanyama kwenye Hifadhi ya Taifa ya Katavi na kwenye mapori ya akiba .


Kamanda wa operesheni ya safisha Katumba 2020; kanali Evance Mallasa akionyesha moja ya silaha zilizokamtwa

Mzigo wa silaha zilizokamatwa katika makazi ya mishamo na katumba wanapoishi raia wapya wa Tanzania wenye asili ya Burundi

Source : michuzi jr
 
We naye! Nyerere hakuwahi kupinduliwa. Ilikuwa ni mutiny.

Mutiny Nyerere asingekimbia Ikulu na wanajeshi wasingefukuza maofisa wao. Soma New York Times ya mwaka 1964. Kilishanuka ila bahati yake Nyerere alirudishwa madarakani na Waingereza


 
General Nkunda ana wasifu mzuri aliishawahi kuwa Brigade commander baada ya hapo akawa Land Force commander then ndo akawa na cheo alicho nacho kabla ya cheo kipya cha CDF
 
Pongezi nyingi kwa Mkuu wetu mpya wa Majeshi pamoja na Mnadhimu Mkuu wa Majeshi.

Sisi kama wananchi tunategemea watatumikia kwa weledi na ubunifu wa hali ya juu ili Jeahi letu liendelee kuwa Jeshi imara na la kisasa zaidi.
Shida wanajiingiza sana kwenye chaguzi.
2020 walivalishwa nguo za mgambo na polisi ili kuchezea kura.
Hatujasahau hilo bw mabeyo
 
Tunaomba wewe utupe wasifu wako. Umekaa kimajungu tu. Tunapenda kujua mtu wa ovyo kama wewe huwa Ana CV gani. Be humble and share with us.
Kuhusu mimi mbona nimejieleza sana kwenye jukwaa hili jamani ! CV yangu ni fupi tu , mimi ni kijana Msomi na Tajiri ambaye ninamiliki kiwanda cha bidhaa zinazouzwa Ulaya tu , Kiwanda kiko Mbozi Road Temeke , DSM , nina Makazi Tanzania , (Tandika mwembeyanga na Kyela ) , Johannesburg , Ottawa , London na Marlyland .

Viongozi wako wananifahamu vizuri mno .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…