Rais Samia amtimua Hanafi Hassan Msabaha, Mkuu wa Wilaya ya Mtwara kisa wananchi kurudisha Kadi za CCM

Mtumbuaji hamnazo na aliyetumbuliwa hamnazo..
Mkuu wa wilaya atatatua kero kwa pesa za mshahara wake?
Pelekeni pesa.
Hapo sababu haswa ni kurudishwa kadi ya CCM si jambo jingine
 
Msabaha kutokana na kushindwa kusikiliza kero za wananchi hadi kupelekea wananchi hao kurudisha kadi za chama cha Mapinduzi (CCM).
Mbona hilo hutokea maeneo kibao tu!! Zisharudishwa san.
 
Kwahiyo kurudisha kadi za CCM kumemuuma sana mpaka anamtimua kazi mtu!!!kwahiyo njia ya kufuta mkataba wa dp word ni kurudisha kadi za CCM,,,haya kina bi Tibaijuka na mzee Warioba mshapewa njia!!
 
Kwa hiyo njia pekee ya kuakoa BANDARI ZETU ni Kurudisha kadi za CCM?
 
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
 
Ili kadi zisirudishwe kero na wananchi na hoja zao zisikilizwe!! Hii ndio solution pekee na sio utumbuaji!! Kuna shida kubwa kiutawala kutowathamin wananchi pale wanapopinga jambo au kulalamikia changamoto kadha wa kadha!!
 
Nafikiri wangepelekewa maendeleo sijui kama wangewaza kuhusu upinzani au kurudisha hizo Kadi,,, mikoa ya huko ni kama imesahaulika,,,gesi,korosho, au basi
 
Mtwara huku lipumba aliujenga upinzani hasa jimbo là tandahimba, newala ,mtwara mjini na mtwara vijijini
 
Maandamano ya watumishi wa umma yapo kikatiba kabisa, mnakwama wapi walimu nk nk?
 
Hao wamechepusha miradi ya serekali kwenye sehemu ambayo ni ya cuf wakidhani wangemfurahisha rais,kumbe wamemchukiza vibaya sana. (MH.samia rais wa wote )
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…