Rais Samia amuasili mtoto mchanga aliyetelekezwa Nzega
Kesi ipo palepale, tunataka miili ya ndugu zetu kukaisitiri. Dhambi haifutwi kwa dhambi.
Mtoto mwenyewe shombe shombe wa kishia - asituzuge bado tuna machungu saaana.
 
Kwann yy na siyo wengine? Kwann wa tabora na siyo wale wa mitaani kule lariakoo
Tena Kuna vitoto kariakoo vimezaliwa pasi na natumaini kabisa

Ukiviangalia machoni unaona haka katoto hakana cha kupoteza

Vina nyuso sugu zilizokosa matumaini na furaha katika upendo Yaani kama vinakula ganja wakati ni vitoto

Unajua.! wanachoshindwa hawa watu waliofundishwa upuuzi wa darasani peke yake ni kutokuwa na jicho

Ukiangamiza nafsi nyingi ambazo zililikuwa bado na uhitaji wa somo duniani kivuli chao hakiondoki haraka kinarandaranda

Ili uweze kuzima vitu hivyo unapaswa wewe uwe na deni kubwa kuliko Lao kitu ambacho hakiwezekani kwa watu TZ wa wakati huu hayupo mwenye deni hilo

Namna hiyo ya hali huamsha uhalifu katika mioyo ya binadamu dhaifu na ni hatari

Maana yake nafsi iliyopotea wakati na sisi tupo hasira yake wote inatuhusu kwakuwa wakati inadhurumiwa tulikaa kimya kwa kupenda na bila kupenda

Niamini Kuna kitu kizito kinakuja kitatupa funzo kwa njia ngumu sana
 
Video inajieleza.



Uzi tayari.😂😂😂
 
Hata afanye zuri lipi kwa sasa hakuna atakae msifia au kumpongeza ashaharibu kitambo sana. Akitaka afanye zuri ambalo litagusa wote aachie kiti hapo
Amekwambia anachokifanya kina lengo la kukufurahisha?. Sisi tuliomchagua tunaridhika na mengi anayoyafanya.

Pia tambueni kitakwimu sisi tupo wengi hivyo hakuna namna mnaweza kumtikisa Rais SSH, huo ubaguzi wenu utaendelea kuwatesa mpaka uzeeni.
 
Watanzania kwa hili mama tumsifu lakini kwanini afanye kwa mmoja na wangapi wanatelekezwa ? Yeye kama Rais ana mpango gani na watoto kama huyo Grace Samia ?
Umeuliza shwali la msingi sana. Sio Hawa bendera fuata upepo kusifia TU. Wanatupwa Kila siku Kila mji Tz. Watu Wana elimu za kijinga zanazotolewa kwa mihemko ya kisiasa bila kuwaamsha watu wajue kuwa kupata mimba bila mipango ni maafa. Wanaruhusu ngono holela na ndio matokeo yake haya, mwanamme na mwanamke wote hawajitambui.
 
Back
Top Bottom