Tena Kuna vitoto kariakoo vimezaliwa pasi na natumaini kabisaKwann yy na siyo wengine? Kwann wa tabora na siyo wale wa mitaani kule lariakoo
Vijana bado wanaye.ila nyie vijana daahhh π π π
Bado wanaye mama yetu.Mh!!tutaona na kusikia mengi
Amekwambia anachokifanya kina lengo la kukufurahisha?. Sisi tuliomchagua tunaridhika na mengi anayoyafanya.Hata afanye zuri lipi kwa sasa hakuna atakae msifia au kumpongeza ashaharibu kitambo sana. Akitaka afanye zuri ambalo litagusa wote aachie kiti hapo
Umeuliza shwali la msingi sana. Sio Hawa bendera fuata upepo kusifia TU. Wanatupwa Kila siku Kila mji Tz. Watu Wana elimu za kijinga zanazotolewa kwa mihemko ya kisiasa bila kuwaamsha watu wajue kuwa kupata mimba bila mipango ni maafa. Wanaruhusu ngono holela na ndio matokeo yake haya, mwanamme na mwanamke wote hawajitambui.Watanzania kwa hili mama tumsifu lakini kwanini afanye kwa mmoja na wangapi wanatelekezwa ? Yeye kama Rais ana mpango gani na watoto kama huyo Grace Samia ?