Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Kuusubiria uvunjike ni UWEHU,tutakufa tutaucha ukiwa imara zaidi karibuni bara mnunue mashamba.Hakuna kitu kinachodumu milele hhlo zingatia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuusubiria uvunjike ni UWEHU,tutakufa tutaucha ukiwa imara zaidi karibuni bara mnunue mashamba.Hakuna kitu kinachodumu milele hhlo zingatia
Ndiyo Ukweli WenyeweCha mjinga huliwa na wengi.
🗾🏊
Tumewanyonya sana acha nao wafaidi keki ya umoja wetu hatuishi milele.Hapa utawasikia WADANGANYIKA wakisema mama atawale mpaka 2030 hapo ndo unajua WATANGANYIKA hamnazo hapa nakuhakikishia atakopa awezavyo unajua hana madhara ila mwisho wa siku zanzibar itakuwa na hela nyingi sana huku mzigo unawalemea WATANZANIAhususani wa bara! Ndugai alihoji badala ya kutizama hoja wanataka aachie ngazi! Wenyeviti wa CCM wa mkoa wengi ni Mafisadi hawawatizami wananchi!
Hapa utawasikia WADANGANYIKA wakisema mama atawale mpaka 2030 hapo ndo unajua WATANGANYIKA hamnazo hapa nakuhakikishia atakopa awezavyo unajua hana madhara ila mwisho wa siku zanzibar itakuwa na hela nyingi sana huku mzigo unawalemea WATANZANIAhususani wa bara! Ndugai alihoji badala ya kutizama hoja wanataka aachie ngazi! Wenyeviti wa CCM wa mkoa wengi ni Mafisadi hawawatizami wananchi!
Kwa kweli ni ujinga wa hali ya juu! Muungano huu ndo mtajua hamjui ndo maana CCM iliweka utaratibu kuwa Rais wa jamhuri ya muungano atokee Bara maana ndo kwenye raslimali na uchumi makubwa anapotokea Zanzibar anatumia mwanya kujinufaisha! Hivi akira lets say 1000 zitoke uwape watu wasiozidi milion mbili nafasi 200 huku milioni 60 unawapa 800 uwiano gani huu wa kijinga! Nasema tena mama anapaswa apumzike 2025 tumpe mtanganyika urais!Muda utaongea
Hujui kinachojadiliwa.Inakopa Tanzania au Tanganyika?
Kama ni Tanzania basi Zanzibar ni sehemu ya Tanzania.
Ngoja nitoe mfano. Ndugu watatu walikaa kikao ili kuchangia harusi ya mwanafamilia wakakubaliana kila mwanafamilia atoe laki mbili. Mmojja alikuwa na watoto saba wakubwa, mwingine wawili na mwimgine mmoja. Yule mwenye wtoto saba alichangia milioni moja laki sita na mwenye mtoto mmoja laki nne pamoja na mchango wa baba.Inakopa Tanzania, Zanzibar inapata mgao,je Deni linalipwaje?Walipa kodi wote wa Tanzania watalipa au wanaachiwa wa Tanganyika peke yao?
Kenyatta alisema ukiongoza watanganyika ni kama unaongoza maiti hakuna mtu anahoji! Yaani kwenye hili akili zetu hazijafanya kazi! Tatizo kuwa ni watunasiasa malaya malaya! Ndugai ilikuwa ni kumuunga mkono sana kwenye hili! Huyu mama atatunyoosha ashajua wengi hatujitambui!Mimi kusema kweli, sikuona kosa la Ndugai, sbb kahoji mkopo unafanya nn, ikiwa tumepitisha tozo? Sbb Ndugai kasema, tozo zinatumika kujenga madarasa na hosp. kauliza tu, sasa mikopo ya nini, sbb nchi tayari ina deni kubwa sana, 70 tril sio mchezo. Kosa hapo liko wapi?
Labda alikosea tu kusema nchi itapigwa mnada, ila kiuhalisia alikuwa na hoja kubwa sana juu ya mikopo, yaani tusikope kope tu, hali sio nzuri kwa deni lilipofikia.
Wachache watalipa kidogo na wengi watalipa kingiWatakaolipa hiyo mikopo ni Watanzania wakiwemo wazanzibari hivyo usiogope.
Mwenda zake alitufundisha hivyo kwamba Tanzania ni chato na waimba mapambio wakasifu na kumwabudu. Sasa Kuna ubaya gani Tanzania ikiwa Zanzibar? Atakuja mwingine naye atapeleka kwao.Hata hii trillion 7 wanayopigia kelele zanzibar itapata trillion 1.3 kwa hiyo yenye faida ni zanzibar ila watanganyika faida ni ndogo ukilinganisha na eneo na idadi ya watu!
Rais kwa kuwa ni Mzanzibar anatumia ho mwanya ila kwa vile watanganyika hatuwezi kuhoji na ukihoji unasakamwa kama Ndugai!
The level of reasoning is very low! Ni mda wa wazanzibar kutumia kivuli ya Watanganyika kujimemesha!
Watanganyika mna roho mbaya sijawai kuona.wakati uamsho wanukataa muungano mlisema wametumwa na waarabu kufanya ugaidi ili nchi itawaliwe kisultan matokeo mkawapa kesi za ugaidi na wengine kufia jela .sasa hivi rais wa tz akipeleka msaada zanzibar mnasema tanganyika inayonywa na zanzibar.sasa mnataka wanzanzibar wafe njaaa.Hata hii trillion 7 wanayopigia kelele zanzibar itapata trillion 1.3 kwa hiyo yenye faida ni zanzibar ila watanganyika faida ni ndogo ukilinganisha na eneo na idadi ya watu!
Rais kwa kuwa ni Mzanzibar anatumia ho mwanya ila kwa vile watanganyika hatuwezi kuhoji na ukihoji unasakamwa kama Ndugai!
The level of reasoning is very low! Ni mda wa wazanzibar kutumia kivuli ya Watanganyika kujimemesha!
Tunasonga mbele fitina hazina nafasi,Ndiyo Ukweli Wenyewe
Nasema Uongo Ndugu Zangu
Nimeangalia asubuhi hii sherehe za mapinduzi Tbc, wanaongelea viwanda vilivyofufuliwa awamu hii, hospitali kubwa kila wilaya, kituo cha afya kila 5km, nk, nk..Hata hii trillion 7 wanayopigia kelele zanzibar itapata trillion 1.3 kwa hiyo yenye faida ni zanzibar ila watanganyika faida ni ndogo ukilinganisha na eneo na idadi ya watu!
Rais kwa kuwa ni Mzanzibar anatumia ho mwanya ila kwa vile watanganyika hatuwezi kuhoji na ukihoji unasakamwa kama Ndugai!
The level of reasoning is very low! Ni mda wa wazanzibar kutumia kivuli ya Watanganyika kujimemesha!
Ndio hapo sasa,kwani Zanzibar sio Tanzania...?Inakopa Tanzania au Tanganyika?
Kama ni Tanzania basi Zanzibar ni sehemu ya Tanzania.
Tanganyika ina ziada gani ya kupeleka misaada huko?...rais wa tz akipeleka msaada zanzibar mnasema tanganyika inayonywa na zanzibar.sasa mnataka wanzanzibar wafe njaaa.
Hilo halina haja,Muda umefika tujue Tanganyika na Zanzibar zinachangia shs ngapi kwenye pato la Tanzania. Itasaidia sana kumaliza huu mjadala.
Hapo kwenye kulipa sasa ndio changamoto.Inakopa Tanzania, Zanzibar inapata mgao,je Deni linalipwaje?Walipa kodi wote wa Tanzania watalipa au wanaachiwa wa Tanganyika peke yao?