Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Nyerere alijaza watu wa kanda ya ziwa serikalini miaka lle ya awamu ya kwanza.Ulikuwa hujajiunga hapa jf, kipindi Cha dhalimu na chaguzi zake za kikanda na udini alikuwa anapewa ukweli wake. Tukasema dhalimu anatengeneza presidency mbaya maana viongozi wengine wafuatao watafanya kama yeye. Na huu kwa sasa utakuwa ndio utamaduni mpya.
Mwinyi akajaza jamaa zake kina RIP Hassan Diria na Fatuma Said Ali katika serikali yake awamu ya pili.
Mkapa, Kikwete hali kadhalika wameendeleza hulka hiyo hiyo. Ni mbaya kwa mtazamo wa jumla lakini ni kielelezo cha kiongozi anayetaka amani katika awamu yake haswa ile ya kikazi.